Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

Mfano Leo hii bosi wa airtel atekwe apigwe au chukulia mfano dr olimboka apigwe ila sio kwa kiasi kile atashindwa kutoroka na kukimbia nchi za nje ?pesa atakua nazo na assist ya mke ,wenzake nk

Wakati ule bado pesa alikuwa nazo tu na connection mke ,marafiki nk..lakini kwenye mahojiano alisema alienda hospital kutibiwa so malaga alienda baadae kabisa

Huyu past inamsumbua ana tatizo la kisaikolojia na hakubali hivyo anajipa hope tu ,aidha alidhulumiwa stahiki zake au ahadi ,wee mtu tokea miaka 10+ anasubiri pesa kutoka urusi tu

Na huenda kwa panic yake akakutana na matapeli wa mtandao ndio wanamdanganya akate bima ya dollar mia na nusu eti atumiwe pesa ,huu ni utapeli kama ya wale jamaa mbagala wanachezesha kamari ya assets eti ukishinda utoe 100,000 upewe zawadi akina mama wanapigwa kweli

Dr asaidiwe kisaikolojia
Precisely man...sema sijui kwa nini watanzania wengi akili zetu nyepesi hivi
 
He talks with confidence that he owns 10 Companies/industries 'Ambazo Nyingi zinazalisha Mbolea na kemikali za kilimo'
Awamu ya 5 inasema inchi ya Viwanda kumbe tuna Mtanzania Mwenye viwanda nje ambapo tukimshawisha anaweza akanzisha kimoja hapa Tanzania Tumsaidie kwnza apone halafu tuone km anaweza leta hivyo viwanda huku(Anzisha Tanzania)
Good idea jamaa kweli anahitaji msaada.. Kuanza naamini kuthibitisha kama hizo pesa zipo si kazi ngumu na kama ni kweli asaidiwe akae sawa kiakili then awekeze kama anavyoitaji kufanya
 
Kitu pekee mpaka sasa kinanipa mashaka katika maelezo ya Dr ni hili swala la money transfer hasa kwenye inquiry aliyoipata kutoka kwenye hiyo Bank anayodai inamtumia pesa za kununua nyumba.

Ambapo anatakiwa alipe asilimia 25 ya billion kama tatu ambayo itakua sio chini ya million 725 sasa kwenye hoja kwamba bank samemdai bima ya hiyo pesa ambayo amesema ni dollar za kimarekani 150 kama sikosei, hapo pana utata

Sidhani kama million 725 zinaweza kulipiwa bima ya 332,500 hapa kidogo nilitaka maelezo labda kama nilimsikia vibaya nitarekebishwa.
Bank yoyote haiwezi kuacha ku honor instruction ya mteja kisa kiasi kidogo hicho cha fedha ya bima..hata kama ingekuwa ni dola 15,000...Wanakata kwenye account...simple kwa sababu hata transfer za kawaida huwa zina fee na zinakatwa upfront

The guy is sick

Yale mateso yalifanya apoteze network..Though ni mtu genius
 
Good idea jamaa kweli anahitaji msaada.. Kuanza naamini kuthibitisha kama hizo pesa zipo si kazi ngumu na kama ni kweli asaidiwe akae sawa kiakili then awekeze kama anavyoitaji kufanya
Mbaya zaidi wauliza maswali hawaendi mbali na kuvijua hivyo viwanda
dunia ni sehemu ndogo sana.Wangefanya hata correspondences na PR teams za hivyo viwanda
 
Yeah! Naunga hoja sababu first time naiona ile crip video nilijua tu huyu jamaa ni wazimu...the way ana-react the way anavyoongea nilijua tu

Hila nilijikosea wenda jamaa anaakili timamu na sio wazimu alikuwa akiongea vitu straight sana...
D:d:d:d
 
Hey anaclaim anacompany ya chemicals kama ni kweli na mzee anahiyo knowledge we huoni ni faida kwa taifa kuelekea tanzania ya viwanda?
ujue watanzania ni wavivu sana kufikiri..hivyo viwanda viko wapi?
Vinaitwaje?
Vinazalisha product zipi?
Kama viwanda hivyo vipo its simple unawasialiana na PR teams unaujua ukweli
shida ya wabongo akili zetu maji mnooo..na tunapenda vitu vyepesi vyepesi

Huyo jamaa ni mgonjwa....ni genius in nature..lakini dishi lilicheza baada ya kuteswa
 
I concur!
Police wetu ni INSANE,
Waandishi wetu wa habari ni INSANE,
Yono Auction ni INSANE,
Serikali yetu ni INSANE,
Wana JF wengi ni INSANE,
Rais wetu (sio wa TZ, sina 7mil) naye ni INSANE!

Kama nchi haiwezekani jambo la Dr Shika likawa catch word kwa zaidi ya wiki, kwenye nchi yenye changamoto lukuki, police hadi RPC naye yupo kwenye sintofahamu hii! We are almost all insane!
 
Kaka hivi unafahamu nchi zenye security tight? Yaani utoroke Russia kienyejienyeji tu? Kaka issue iko hivi, kavunjwa mbavu tano, kakatwa vidole viwili na kimoja kimepondekapondeka na jamaa kaweza kuruka ukuta, alijinyanyuaje juu ya ukuta huku mbavu zimevunjika?

Ndio maana nasema huyu Mzee anakitu kizito sana anachokijua, kaka hivi kweli unaweza kuniambia huyo mzee alitekwa kwa sababau gani hasa?
Kama ulisikiliza video aliyokuwa anahojiwa alisema waliomteka walitaka wapewe $1.5 Million kama sijakosea ,wakati anapewa mateso wale watesaji walikuwa wanasema wewe nyani una pesa halafu sisi na watoto wetu hatuna pesa..kwa Maelezo haya ya Dr shika utekaji huu una sura ya kijambazi na Dr aliwaita mafia

Ndio Russia wana security tight kama ni majambazi walimteka kama alivyosimulia hakuna ajabu ya yeye kuondoka Russia sababu alikuwa hatafutwi na vyombo vya usalama au serikali sasa ulinzi huo tight kama unaondoka njia kwa halali hakuna tabu kabisa

Lakini wapo wanasema hapana Dr anaficha na anaongopa wana speculate alikuwa anatumiwa na CIA na akastukiwa hvyo KGB wakamdaka na wenzie na kuwapa mateso na kama hawa wanao speculate wapo sahihi basi hio kampuni lazima ingefungwa na mali zake kuwa frozen na Mali ya wahusika pia ,kama ndio hvyo na aliweza kupona na obvious kama angekuwa na account benki basi zingefungwa tu so option iliyobaki ni yeye kukimbia nchi na kama kweli alikuwa anatumiwa na CIA basi mpaka hapo mission ni failed na atakuwa hana msaada kama vile tissue na kuwa dumped ndio akajikuta bongo land jiji la jua Kali na joto

Kama Maelezo yake ya mwanzo ni ya kweli au aliongopa "ficha" na Maelezo ya wadadisi ni kweli jamaa asaidiwe anaweza kuwa na msaada ila past ni past ishapita ,ashapoteza

Nb:alisema baadhi ya adhabu ya hao mafia ni kiti cha umeme ,je majambazi wa huko ng'ambo viti vya umeme wanatumia katika adhabu zao. Hapa ndio ananipa mashaka tu
 
Hujasikiliza kwa umakini katekwa kisa watekaji wanataka hela usikimbilie kujudge kwani serikali itapoteza nini kumfuatilia huyu mzee in details waangalie je aliwahi kuwa huko urussi? Na aliondokaje ondokaje huko

We umeanzia mjadala kati, na wala sikuwa naongea na wewe uliyesikiliza vizuri, niliyemjibu kaelewa kwa sababu tumeanzia mbali
 
ujue watanzania ni wavivu sana kufikiri..hivyo viwanda viko wapi?
Vinaitwaje?
Vinazalisha product zipi?
Kama viwanda hivyo vipo its simple unawasialiana na PR teams unaujua ukweli
shida ya wabongo akili zetu maji mnooo..na tunapenda vitu vyepesi vyepesi

Huyo jamaa ni mgonjwa....ni genius in nature..lakini dishi lilicheza baada ya kuteswa
We uko Urusi? Au umekaa tu kwenye keyboard hapo. Ndio maana nasema serikali wachukue maelezo wayaangalie in details kuclear hii ishu. What is waseme tumchangie matibabu kumbe ni anamahela yake benki wajanja wanapiga
 
ili iweje...? serikali kupitia jeshi la polisi wameshamuhoji muhusika na wameshaona dishi limecheza
wewe unataka uchunguzi ufanywe ili upate nini?
Gosh..Guys Get back on your senses

Nani amekwambia uchangie matibabu?
 
Kama ulisikiliza video aliyokuwa anahojiwa alisema waliomteka walitaka wapewe $1.5 Million kama sijakosea ,wakati anapewa mateso wale watesaji walikuwa wanasema wewe nyani una pesa halafu sisi na watoto wetu hatuna pesa..kwa Maelezo haya ya Dr shika utekaji huu una sura ya kijambazi na Dr aliwaita mafia

Ndio Russia wana security tight kama ni majambazi walimteka kama alivyosimulia hakuna ajabu ya yeye kuondoka Russia sababu alikuwa hatafutwi na vyombo vya usalama au serikali sasa ulinzi huo tight kama unaondoka njia kwa halali hakuna tabu kabisa

Lakini wapo wanasema hapana Dr anaficha na anaongopa wana speculate alikuwa anatumiwa na CIA na akastukiwa hvyo KGB wakamdaka na wenzie na kuwapa mateso na kama hawa wanao speculate wapo sahihi basi hio kampuni lazima ingefungwa na mali zake kuwa frozen na Mali ya wahusika pia ,kama ndio hvyo na aliweza kupona na obvious kama angekuwa na account benki basi zingefungwa tu so option iliyobaki ni yeye kukimbia nchi na kama kweli alikuwa anatumiwa na CIA basi mpaka hapo mission ni failed na atakuwa hana msaada kama vile tissue na kuwa dumped ndio akajikuta bongo land jiji la jua Kali na joto

Kama Maelezo yake ya mwanzo ni ya kweli au aliongopa "ficha" na Maelezo ya wadadisi ni kweli jamaa asaidiwe anaweza kuwa na msaada ila past ni past ishapita ,ashapoteza

Nb:alisema baadhi ya adhabu ya hao mafia ni kiti cha umeme ,je majambazi wa huko ng'ambo viti vya umeme wanatumia katika adhabu zao. Hapa ndio ananipa mashaka tu

Kaka na ndio point tunazoongea, je unaamini alikuwa na hizo pesa?
Je kwenye mazungumzo yake hajatamka neno KGB?
Je kwenye mazungumzo yake hajatamka kuwa alikuwa anahofia kufatiliwa huko Russia?
Je kwenye maongezi yake akuhofia kufatiliwa Tanzania? Na nani?
Kwa nini aliona usalama wake hapa Tanzania ni mdogo mpaka akakimbilia Malaga Spain?
Ke huko Malaga-Spain alikuwa analindwa na nani?
Russia kuna Balozi za nchi nyingi, iweje yeye awe assisted na USA Embassy
Iweje USA Embassy waangaike kuhamisha pesa zake kwenye account zilizopo nchi mbalimbali
Anasema alikuwa na mtaji kidogo na Rafiki zake walimpa pesa za kuweza kununua viwanda vikubwa namna hiyo?
Urafiki wake na Gorbachev ulianzia wapi?

Maswali ni mengi sana
 
Back
Top Bottom