Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

ili iweje...? serikali kupitia jeshi la polisi wameshamuhoji muhusika na wameshaona dishi limecheza
wewe unataka uchunguzi ufanywe ili upate nini?
Gosh..Guys Get back on your senses

Nani amekwambia uchangie matibabu?
Sasa why wanamuacha mtaani? Akianza utapeli
 
Kwani nchi haijui iliwapeleka watu wangapi kusoma russia. Mimi nimefundishwa chemistry na one of the best in chemistry na amesoma russia mpaka enzi za kikwete ndo wakaja kumchukua na gari la serikali. The guy anajua kemia sio kitoto anapiga chemical formula za hatari. Ndio maana hii story siichukulii juu juu
 
Dr. anavyoonekana si wa kawaida...Kuna siku watu watakuja kustaajabu sana Na watatafuta pa kuziweka sura zao.Pamoja Na dhoruba zote ali/anazopitia ila me Bado naamini yule mzee sio kama tunavyomuona....usidaharau kiumbe yeyote anayeitwa binadamu..utaumbuka.
Upo sahihi Majira yatatuambia
 
we babako akiumwa public inachangia? sio jukumu la polisi kuchangia wagonjwa
Unaakili ndogo sana we jamaa hata sibishani na wewe maana uwezo wako wa kufikiri ulipoishia ni nyuma sana ya uwezo wangu ulipoanzia. Rejea visa mbali mbali vya watuhumiwa waliokamatwa na mwisho polisi wakatangaza ni matatizo ya akili ndo uje kuongea pumba humu
 
Unaakili ndogo sana we jamaa hata sibishani na wewe maana uwezo wako wa kufikiri ulipoishia ni nyuma sana ya uwezo wangu ulipoanzia. Rejea visa mbali mbali vya watuhumiwa waliokamatwa na mwisho polisi wakatangaza ni matatizo ya akili ndo uje kuongea pumba humu
sawa.kwaheri
 
Kwa kuanzia tu wangeanza kucheki passport yake na kuangalia nchi alizoenda na tarehe zake kama zinashabihiana.

Yaani hii inaonesha nchi yetu haiko serious wanausalama wanashindwa kupata full information ya huyo mtanzania tena ni mtu aliyesoma maanake ni rahisi kupata information
 
Hili ni kweli kabisa,kinachonishangaza ni hao wanaomuhoji kushindwa kuuliza maswali kuhusu baadhi ya taarifa kama alizozitafuta britanicca huko Russia.

Mfano:
1.Ni kweli alitibiwa Dnipro,Ukraine?
2.Ni watekaji wa aina gani waliomfanya mbali na kuingia Tanzania bado hakujiona salama akakimbila Malaga,Spain?
3.Alipata wapi mtaji wa kuanzisha kampuni kubwa katika kipindi kifupi tu cha kufanaya kazi ya kufundisha akifanikiwa kuvuka vikwazo vyote vya ubaguzi,communism nk?
4.Nani alifinance safari nzima toka Russia to TZ na kisha TZ to Malaga (Hapa ni pamoja na hifadhi ya huko Malaga for all his time of stay)?
5.Toka afike hapa Tanzania amewahi ripoti katika chombo chochote cha serikali kuomba msaada kuhusu mali na haki zake zilizo Russia?
6.Kwanini atembelewe na Mmarekani kwanza baada ya tatizo na si mwingine yeyote(kulikuwa na interest gani ya mmarekani kwake?)
Nk Nk
vya kuongezea kipindi hicho chote cha maisha yake hakuwa na mawasiliano na watanzania wenzake eiza walikuwa wanaishi wote urusi au bongo ambao wanaweza kumuelezea yeye na kuverify hiyo situation yake?[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50]
 
Nadaldhani hizo dola zake ni utapeli wa kimtandao ambapo Dr. Luis hajagundua so inadhihirisha pia kuwa ni insane
 
Back
Top Bottom