MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
ni kweli alienda uturuki tena ulikua msimu wa majira ya barid sijui kwann akirudi au ndo hakuzoea mazingira manake wabongo sie ndo tunajijua tukienda ulaya.Alishaenda mbn Ulaya! Kuna club ya uturuki ilimchukua. Nashangaa amerud Simba sijui Kwa nn.
Labda Kwa mkopo.
Ingia Google Wikipedia utaona inaonesha bado ni mchezaji wa uturuki.