Oppah Clement angekuwa anatokea Africa ya Magharibi sasa hivi angekuwa anachezea Real Madrid W/Barcelona W au Bayern Munich W, Mawakala mbona mmelala?

Oppah Clement angekuwa anatokea Africa ya Magharibi sasa hivi angekuwa anachezea Real Madrid W/Barcelona W au Bayern Munich W, Mawakala mbona mmelala?

Alishaenda mbn Ulaya! Kuna club ya uturuki ilimchukua. Nashangaa amerud Simba sijui Kwa nn.

Labda Kwa mkopo.
Ingia Google Wikipedia utaona inaonesha bado ni mchezaji wa uturuki.
ni kweli alienda uturuki tena ulikua msimu wa majira ya barid sijui kwann akirudi au ndo hakuzoea mazingira manake wabongo sie ndo tunajijua tukienda ulaya.
 
Kuna wanawake wa africa magharibi wangapi katika vikosi vya hizo timu za ulaya ulizozitaja?

Tuwape mawakala lawama kwa kuweka facts
 
Back
Top Bottom