MAJIYAPWANI JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,726 Reaction score 2,691 Nov 7, 2022 #21 Tripo9 said: Alishaenda mbn Ulaya! Kuna club ya uturuki ilimchukua. Nashangaa amerud Simba sijui Kwa nn. Labda Kwa mkopo. Ingia Google Wikipedia utaona inaonesha bado ni mchezaji wa uturuki. Click to expand... ni kweli alienda uturuki tena ulikua msimu wa majira ya barid sijui kwann akirudi au ndo hakuzoea mazingira manake wabongo sie ndo tunajijua tukienda ulaya.
Tripo9 said: Alishaenda mbn Ulaya! Kuna club ya uturuki ilimchukua. Nashangaa amerud Simba sijui Kwa nn. Labda Kwa mkopo. Ingia Google Wikipedia utaona inaonesha bado ni mchezaji wa uturuki. Click to expand... ni kweli alienda uturuki tena ulikua msimu wa majira ya barid sijui kwann akirudi au ndo hakuzoea mazingira manake wabongo sie ndo tunajijua tukienda ulaya.
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,258 Reaction score 10,014 Nov 7, 2022 #22 OKW BOBAN SUNZU said: Shadeeya unaonaje hapo mla mihogo mwenzangu Click to expand... Ila mtani wangu Shadeeya rais wenu kawaweza kwa hilo jina.
OKW BOBAN SUNZU said: Shadeeya unaonaje hapo mla mihogo mwenzangu Click to expand... Ila mtani wangu Shadeeya rais wenu kawaweza kwa hilo jina.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Nov 7, 2022 #23 Bill said: Ila mtani wangu Shadeeya rais wenu kawaweza kwa hilo jina. Click to expand... Acha tu Mtani. Sema nini sisi wasikilizaji ndo tumekuza maneno.
Bill said: Ila mtani wangu Shadeeya rais wenu kawaweza kwa hilo jina. Click to expand... Acha tu Mtani. Sema nini sisi wasikilizaji ndo tumekuza maneno.
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Nov 7, 2022 #24 Kuna wanawake wa africa magharibi wangapi katika vikosi vya hizo timu za ulaya ulizozitaja? Tuwape mawakala lawama kwa kuweka facts
Kuna wanawake wa africa magharibi wangapi katika vikosi vya hizo timu za ulaya ulizozitaja? Tuwape mawakala lawama kwa kuweka facts
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,258 Reaction score 10,014 Nov 7, 2022 #25 Shadeeya said: Acha tu Mtani. Sema nini sisi wasikilizaji ndo tumekuza maneno. Click to expand... Ni kweli. Si unajua tena utani
Shadeeya said: Acha tu Mtani. Sema nini sisi wasikilizaji ndo tumekuza maneno. Click to expand... Ni kweli. Si unajua tena utani
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Nov 8, 2022 #26 Bill said: Ni kweli. Si unajua tena utani Click to expand... Hakika na usishangae hili nalo likatuganda zaidi ya lile la yule mshabiki.
Bill said: Ni kweli. Si unajua tena utani Click to expand... Hakika na usishangae hili nalo likatuganda zaidi ya lile la yule mshabiki.