Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Haswa haswa wafia diniKuna watu wanamuona Putin kama ka Mungu flan.
Sasa kama wangeishi zama za Hitler sijui wangemuita nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa haswa wafia diniKuna watu wanamuona Putin kama ka Mungu flan.
Sasa kama wangeishi zama za Hitler sijui wangemuita nani
Hiyo Vita ya Ukraine siyo vya mlengo wa kidini hata chembe moja.Haswa haswa wafia dini
Tusubiri msimu wa mvua za masika uchanganye, unaweza kushuka naradiKwa huku kijijini katavi itafika lini
Hii niliisema zamani kwenye FB na sio bye bye tu na itavunjika vipande vipande zile state 54 zitataka kila moja iwe nchi kamili na serikali zake usa itakuwa nyumba ya buibui 9Bayti ankabut)Bye bye America!
Unakuwa shabiki wa vita kamq mnashabikiq simbq na yanga..very sad kwq mtu kama wewe ninqye kuheshimuVita ni maarifa na Putin anayo mengi.
Acha kukariri na physics yako uliyosoma MchikichiniKisayansi hamuna kitu kama hicho
Someni Newtons Laws of Motion
To every action there is an equal and opposite reactionMarekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia.
Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima.
Hakuna mfumo wa kuizuia.
Ni Hypersonic hivyo inaweza kusafiri kwa kasi ya Mach 10 (kilometa 3 kwa sekunde, huwezi kuiona muenendo wake wa kasi kwa macho).
Inabeba vichwa vingi kwa mara moja ambavyo vikitawanyika huko angani kila kimoja kinaweza kujiongoza kufuata 'target' yake sehemu tofauti na vichwa vingine.
Russia imesema itakuwa inatoa taarifa kabla haijafanya shambulizi, tahadhari kwa raia eneo inalotaka kulishambulia waweze kuondoka lengo likiwa kupunguza maafa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Muelekeo wa vita kati ya Ukraine na Russia umechukua sura mpya baada washirika wa Ukraine kuruhusu silaha za masafa marefu walizo wapa Ukraine zitumike kushambulia ndani ya ardhi ya Russia inayotambuliwa kimataifa.
Baada ya Ukraine kuzitumia hivi karibuni Russia amejibu mapigo kwa kuifanyia majaribio silaha yake mpya Oreshnik.
Ni teknolojia mpya ya Hypersonic Intermediate range ballistic missile.
Ina uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia (nuclear payload), kwa sasa imetumia vilipuzi vya kawaida(conventional bomb) lengo kutoa onyo tu. Pentagon wakiri silaha hiyo ni tishio lakini wana amini Ukraine itaweza kuhimili maafa yake.
Naomba wale wadau wa mambo ya silaha waje watoe maoni yao. Narudia, wale wadau wanaojua mambo ya silaha siyo shabiki wa vita vya Ukraine au NATO na Russia.
CC: T14 Armata waite wadau wengine tujadili wengine tujifunze.
Siku hizi mama naona umeanza kupata utulivu wa akiliMbona Ukraine wamepoa hawajaendelea tena kutumia silaha zao za masafa marefu baada ya jaribio hilo moja tu?
Sijawahi kukosa utulivu wa akili Mkuu, hata hivyo asante kwa kuona hivyo.Siku hizi mama naona umeanza kupata utulivu wa akili
Hata chizi kuna muda akili inakaa sawa kidogo halafu ndio inapotea tena,hivi kama ingekuwa wewe unapigwa missiles kama zile halafu hat mtetezi wako unayemwamini unamuuliza wamenipiga na nini halafu anakwambia hajui ungeacha kuogopa?Mbona Ukraine wamepoa hawajaendelea tena kutumia silaha zao za masafa marefu baada ya jaribio hilo moja tu?
Mkuu unawaelewesha hawa ng'ombe watakuelewa kweli?Hiyo Vita ya Ukraine siyo vya melengo wa kidini hata chembe moja.
Siyo ya uislam na Ukristo.
Ukraine analishambulia kanisa la Orthodox nchini kwake. Wamarekani na washirika wake wakristo kwanini waunge mkono mtu Kama huyo?
Russia ni nchi ya kikristo kiasi kikubwa.
Fuatilia vizuri.
Mimi muandishi wa makala hii siyo muislam. Nimezaliwa familia ya waumini wa ukristo wakatoliki na kubatizwa kanisa katoliki la mitume.
IPO siku Putin atajua kuwa mabeberu sio watuPutin anachorwa kwa makusudi na kwa nia ovu katika taswira ya mtu muovu na watu wanaotaka kuendelea kuishikilia dunia yote chini ya utumwa na unyonyaji wao.
Hii ni Vita ya kutaka kubadili mfumo wa kuendesha maisha ya watu Kati ya waliokuwa wanashikilia mfumo kikundi kidogo kutawala na kuwanyonya wengi na wale wanaotaka mfumo mpya wa usawa katika kujiamulia mambo, usawa katika ushindani wa kibiashara, n.k.
upo sahihi umechambua kwa ujuzi bila ushabikiHapo hamna kitu kipya hizo teknolojia zipo tangu miaka ya 1980s.
Multiple Independent Reentry Vehicles (MIRVs) zipo kwa makombora mengind ya Urusi, Marekani na nchi chache. Nchi ya kwanza kutengeneza MIRVs ni Marekani ambayo kutokana na mkataba wa silaha za nyuklia START II Marekani ilipanga kuachana na MIRVs 2014, ingawa haizuii kuendelea. Hata Urusi kuna muda waliacha na sasa ndio wakitaka waendelee.
Kuhusu silaha kuzuilika. Urusi yenyewe ina makombora ya tangu 1970s ambayo ukiwaambia wayafyatue kisha wayadungue kwa mifumo yao ya 2020s hawawezi. Missile tech inaenda kwa kasi zaidi kuliko anti-missile tech. Kutengeneza sumu ni rahisi sana kuliko kutengeneza dawa ya sumu. Urusi haina mfumo wa kuzuia ICBM hata liwe la Pakistan.
Upo sahihi kuhusu Multiple Independent Reentry Vehicles (MIRVs).Hapo hamna kitu kipya hizo teknolojia zipo tangu miaka ya 1980s.
Multiple Independent Reentry Vehicles (MIRVs) zipo kwa makombora mengind ya Urusi, Marekani na nchi chache. Nchi ya kwanza kutengeneza MIRVs ni Marekani ambayo kutokana na mkataba wa silaha za nyuklia START II Marekani ilipanga kuachana na MIRVs 2014, ingawa haizuii kuendelea. Hata Urusi kuna muda waliacha na sasa ndio wakitaka waendelee.
Kuhusu silaha kuzuilika. Urusi yenyewe ina makombora ya tangu 1970s ambayo ukiwaambia wayafyatue kisha wayadungue kwa mifumo yao ya 2020s hawawezi. Missile tech inaenda kwa kasi zaidi kuliko anti-missile tech. Kutengeneza sumu ni rahisi sana kuliko kutengeneza dawa ya sumu. Urusi haina mfumo wa kuzuia ICBM hata liwe la Pakistan.
This narrative of longivity of the military operation as a failure is no longer significant in the politics of multipolar world order as the war is almost won by Russia.Russia ilishapitwa na sera. What started as a military operations and world thought it'll end in few days it has been a long unending war. Russia is full of propaganda
There is nothing like lightening speed, Russia rumbles now coz the west has abandoned Ukraine. Russia as we knew it then wouldn't have been in unending war with a country like Ukraine , As a matter of fact, this war has exposed Russia's vulnerability and countries like Germany right now can defeat it in a matter of minutes. That's the hard truth but let it sink in.This narrative of longivity of the military operation as a failure is no longer significant in the politics of multipolar world order as the war is almost won by Russia.
Unipolar and hegemony of the West is in the brink of collapse.
If Russian propaganda is what makes it win the war, why not use it?
Ukraine is losing it's territory in a lighting speed as we speak.