Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe

The West has abandoned Ukraine by allowing it to strike targets deep inside Russian internationally recognized territory?
Abandoned while adding more munitions like anti-personnel bombs? Which is violation of Anti-personnel bombs treaty.
I'm starting to question your logic of abandoning something.
 
Just let it slide, but as of now it's better you talk of china in military superiority rather than Russia which has been dwarfed by a weak nation like Ukraine
 
Nimeishia km 3 per second hapo umetupiga
Mach 10 badili kwenda kwenye Km/s.
Nenda Google andika "Convert Mach 10 to km/s".
Wabongo kwa ujuaji na ubishi tupo vizuri.
Anyway, seeing is believing. Jionee mwenyewe. Kasome makala huko BBC, CNN, Forbes, RT, Sputinik, n.k. kuhusu hilo tukio na hiyo speed ya Mach 10.
 
Naona NATO wamemuita Zelensky wakajadili hilo kifupi mMrusi hazuiliki,hili kombora kwenye 2018-2020 niliona Putin akilizindua Dunia ilikataa na kumuita muongo nimejionea mwenyewe ni balaa zito kabisa kombora linalia mlio wa boeing yaani Mfyuuuuuuuuuuu likifika unasikia kitiiiiiiiiiiiing! Na mwanga mkali kama balbu inataka kufa Kwa kweli waweza ukany. Kabisa
 
Kahawa hiyo weka hata kavideo nami nione
 
😁😁😁 Na bado upo hapo hapo Kwa Malkia kimbia mkuu
 
Hata chizi kuna muda akili inakaa sawa kidogo halafu ndio inapotea tena,hivi kama ingekuwa wewe unapigwa missiles kama zile halafu hat mtetezi wako unayemwamini unamuuliza wamenipiga na nini halafu anakwambia hajui ungeacha kuogopa?
😁😁😁😁😁
 
Na ndo maana ukifika huko level za juu kwenye makombora kila nchi ina doctrine yake hasa kwenye mabomu ya nuclear, maana kila nchi inajua haiwezi kuyazuia ishu inakuja nani atamuwahi mwenzie na kuleta maafa zaidi kuliko mwenzie, tuseme vita ya nuclear ianze Marekani anajua Mrusi anaweza akampiga na Mrusi anajua mmarekani anaweza kumpiga ila kinachotafutwa hapo nani atatandikwa zaidi ili aombe poo
 
Kmmk nimecheka Sana 😁 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuna Yule Jamaa alikuwa Anachukua video clip yaani mpaka alikuwa anaweweseka honestly inatisha haya mambo tuyasikie tu Kwa wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…