Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hamna quality ya kushinda away.......Gemu zote za away tungekuwa tuna zi approach kama tulivyocheza na orlando tungefika mbali.
Sema na fitna za nje ya uwanja Ni muhimu sana kuzi zidisha. Wenzetu waarabu wanatuzidi hapa.
🤣🤣🤣🤣Hii ina maana timu dhaifu haiwezi cheza fainali.
Hakuna anayemgombea kichaaWanamgombea Morris Ben huku wanamlilia.
Fuatilia viongozi wenu wa Yanga.Teh!Hakuna anayemgombea kichaa
Tumefanya ivo Mara ngapi? Au unijitia upofu.Hamna quality ya kushinda away.......
Watakuwa vichaa kuliko BenFuatilia viongozi wenu wa Yanga.Teh!
Mechi gani mmeshinda ugenini? Zaidi ya kula 5554Tumefanya ivo Mara ngapi? Au unijitia upofu.
Hio quality mnayo wananchi?
Sawasawa.Ngoja tuone mmeza dawa kama atatokea nyumbani au kwenye wards za Milembe.Watakuwa vichaa kuliko Ben
Hao wachezaji wenu ambao mnawategemea wawafikishe fainali kina moloko, sijui mayele, shabani djuma wanakumbukumbu nzuri ya vipigo vya nje ndani toka kwa mnyama mkali wa mwituniMechi gani mmeshinda ugenini? Zaidi ya kula 5554
Cuf ya Maalim au Lipumba?Hao wachezaji wenu ambao mnawategemea wawafikishe fainali kina moloko, sijui mayele, shabani djuma wanakumbukumbu nzuri ya vipigo vya nje ndani toka kwa mnyama mkali wa mwituni
Endeleeni kuwafunga kina dodoma jiji mji fanye nanyi mnatimu ya kucheza cuf
Ya mwakalibelaCuf ya Maalim au Lipumba?
Nyenyenyenye! Tumechukua kombe la Robo fainaliHao wachezaji wenu ambao mnawategemea wawafikishe fainali kina moloko, sijui mayele, shabani djuma wanakumbukumbu nzuri ya vipigo vya nje ndani toka kwa mnyama mkali wa mwituni
Endeleeni kuwafunga kina dodoma jiji mji fanye nanyi mnatimu ya kucheza cuf
Mkuu unaonekana una tatizo sana kwenye maswala ya kuandikaYa mwakalibela
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
Caf championship ambayo ukifika robo fainali unachukua kombeCaf championship final ni wydad AC vs Al ahly tar30 mwezi huu, au we unazungumzia caf championship ipi? Au mi ndo sijui mambo ya mpira 😳
Duh😂Caf championship ambayo ukifika robo fainali unachukua kombe
Haya wacha tuseme CAF Confederation cup, umeridhika? lakini bado una cha kujibu kwanini timu zinazopoteza kwa Mkapa ndizo zinazocheza finals?Caf championship final ni wydad AC vs Al ahly tar30 mwezi huu, au we unazungumzia caf championship ipi? Au mi ndo sijui mambo ya mpira 😳