Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hamna quality ya kushinda away.......Gemu zote za away tungekuwa tuna zi approach kama tulivyocheza na orlando tungefika mbali.
Sema na fitna za nje ya uwanja Ni muhimu sana kuzi zidisha. Wenzetu waarabu wanatuzidi hapa.