Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

Gemu zote za away tungekuwa tuna zi approach kama tulivyocheza na orlando tungefika mbali.

Sema na fitna za nje ya uwanja Ni muhimu sana kuzi zidisha. Wenzetu waarabu wanatuzidi hapa.
Hamna quality ya kushinda away.......
 
Mechi gani mmeshinda ugenini? Zaidi ya kula 5554
Hao wachezaji wenu ambao mnawategemea wawafikishe fainali kina moloko, sijui mayele, shabani djuma wanakumbukumbu nzuri ya vipigo vya nje ndani toka kwa mnyama mkali wa mwituni

Endeleeni kuwafunga kina dodoma jiji mji fanye nanyi mnatimu ya kucheza cuf
 
Cuf ya Maalim au Lipumba?
 
Nyenyenyenye! Tumechukua kombe la Robo fainali
 
Caf championship final ni wydad AC vs Al ahly tar30 mwezi huu, au we unazungumzia caf championship ipi? Au mi ndo sijui mambo ya mpira 😳
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.

Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
 
Caf championship final ni wydad AC vs Al ahly tar30 mwezi huu, au we unazungumzia caf championship ipi? Au mi ndo sijui mambo ya mpira 😳
Message sent hata ukosee kati ya champions na confederation haitabadili maana ya uzi huu.
 
Caf championship final ni wydad AC vs Al ahly tar30 mwezi huu, au we unazungumzia caf championship ipi? Au mi ndo sijui mambo ya mpira 😳
Haya wacha tuseme CAF Confederation cup, umeridhika? lakini bado una cha kujibu kwanini timu zinazopoteza kwa Mkapa ndizo zinazocheza finals?
 
Simba imekuwa na bahati mbaya ya kukutana na finalists=the best team at KO stage.
msimu uliopolita tulitoka kwa GD-1, msimu huu GD 0. Naiona Simba ikivuka robo msimu ujao iwapo tutafanya marekebisho kidogo na iwapo tutaepuka kukutana na the likes of Ahly, mazembe. Ni sawa na uefa ukikutana ko na real Madrid, Bayern Munich hata kama unatimu nzuri utaaga tu. Waulize city, psg
 
Back
Top Bottom