Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

Haya wacha tuseme CAF Confederation cup, umeridhika? lakini bado una cha kujibu kwanini timu zinazopoteza kwa Mkapa ndizo zinazocheza finals?
Unaniuliza kama nimeridhika ina maana we huridhiki kusema caf confederation cup?
 
Message sent hata ukosee kati ya champions na confederation haitabadili maana ya uzi huu.
Inamaana hapa huoni kwamba uzi umekuwa hauna maaana kwa sababu final ya caf championship haichezwi na timu ulizotaja?
 
Simba imekuwa na bahati mbaya ya kukutana na finalists=the best team at KO stage.
msimu uliopolita tulitoka kwa GD-1, msimu huu GD 0. Naiona Simba ikivuka robo msimu ujao iwapo tutafanya marekebisho kidogo na iwapo tutaepuka kukutana na the likes of Ahly, mazembe. Ni sawa na uefa ukikutana ko na real Madrid, Bayern Munich hata kama unatimu nzuri utaaga tu. Waulize city, psg
Villareal kamwondoa Bayern msimu huu
 
Tatizo la Simba ni kushindwa kuisahau Yanga katika kila mechi zake. Wanajidanganya wenyewe kwa false wins.
Wakienda kucheza kimataifa kutwa kuitaja Yanga na kuidharau yanga kisa walitolewa mapema akili nyingi wanaelekeza kwa yanga acha tu waishie robo fainali wanajionaga wamemaliza hawajui mpira una matokeo ya kikatili Sana.
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu [emoji1787][emoji1787]
Wakienda kucheza kimataifa kutwa kuitaja Yanga na kuidharau yanga kisa walitolewa mapema akili nyingi wanaelekeza kwa yanga acha tu waishie robo fainali wanajionaga wamemaliza hawajui mpira una matokeo ya kikatili Sana.
 
Nyie ambao hamtumia vitu ivo mmefika hatua gani
1. Ligi yetu ni mbovu, mshindi anapatikana kwa michongo tu kwa njia ya waamuzi.
2, Simba na Yanga hazipati washindani sahihi wa level zao, timu zote ni ndogo na masikini zisizotoa ushindani wenye hadhi ya mashindani ya caf. Angalia alama za Yanga na Simba kwenye ligi, halafu anagalia alama za timu nyingine kwenye ligi, karibu timu zote kuanzia inayoshika nafasi ya 3 hadi 16 zinaweza kushuka daraja.
 
Inamaana hapa huoni kwamba uzi umekuwa hauna maaana kwa sababu final ya caf championship haichezwi na timu ulizotaja?
wote wamenielewa kasoro wewe tu, shida inaanzia hapo
 
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.

Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
Ina maana kwamba Simba SC ni Timu yenye Mafanikio East Africa nzima na kwamba Yanga SC bado ina Safari ndefu kuyafikia Maendeleo ya Simba SC na kama watakubali kuacha kuwa Mapopoma na Watu wa Kununua ( Kuhonga ) Mechi kupitia Mdhamini wao Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wa Makao Jengo refu kiasi Posta.
 
1. Ligi yetu ni mbovu, mshindi anapatikana kwa michongo tu kwa njia ya waamuzi.
2, Simba na Yanga hazipati washindani sahihi wa level zao, timu zote ni ndogo na masikini zisizotoa ushindani wenye hadhi ya mashindani ya caf. Angalia alama za Yanga na Simba kwenye ligi, halafu anagalia alama za timu nyingine kwenye ligi, karibu timu zote kuanzia inayoshika nafasi ya 3 hadi 16 zinaweza kushuka daraja.
Angalia ligi ya misri hatuna tofauti nao sana hicho sio kigezo
 
Ina maana kwamba Simba SC ni Timu yenye Mafanikio East Africa nzima na kwamba Yanga SC bado ina Safari ndefu kuyafikia Maendeleo ya Simba SC na kama watakubali kuacha kuwa Mapopoma na Watu wa Kununua ( Kuhonga ) Mechi kupitia Mdhamini wao Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wa Makao Jengo refu kiasi Posta.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiufundi Simba ilikuwa na matatizo makubwa sana kwenye eneo la ushambuliaji toke a mwanzoni mwa msimu. Kushuka viwango ghafla na majeruhi ya mara kwa mara ya Boko, Mugalu na Kagere ndio kulikowagharimu Simba msimu huu vinginevyo sasa hivi wangekuwa fainali ya shirikisho na hata baadae kubeba kombe. Iwapo mwaka huu ndio ingekuwa ile Simba ya Luis na Chama wapo "on fire" halafu Boko, Mugalu na Kagere wote wapo vizuri nina hakika historia mpya ingeandikwa Afrika na Simba.
 
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.

Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
Kwahio Orando na Berkane wamecheza na Simba tu?
 
Simba uwanja wa Taifa haishindi kwakua ni timu Bora, inashinda Kwa hongo na ulozi wa kiwango Cha juu (JUJU) na Kama awata jikita katika uwekezaji na utaalamu, wataendelea kubaki hivyo Kwa miaka mingi.
Hii inamaanisha Utopolo mnawekeza zaidi kwenye hayo mautumbo.... maana huu ni mwaka wa 2 sasa hatujawafunga kwa Mkapa
 
Ina maana kwamba Simba SC ni Timu yenye Mafanikio East Africa nzima na kwamba Yanga SC bado ina Safari ndefu kuyafikia Maendeleo ya Simba SC na kama watakubali kuacha kuwa Mapopoma na Watu wa Kununua ( Kuhonga ) Mechi kupitia Mdhamini wao Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wa Makao Jengo refu kiasi Posta.
Simba imepata mafanikio kwa kununua mechi na mipango mingine ya nje ya uwanja. Ndiyo maana imepigwa faini ya dola 10,000
 
Timu ya wachawi haiwezi kucheza fainali
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.

Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
 
Kiufundi Simba ilikuwa na matatizo makubwa sana kwenye eneo la ushambuliaji toke a mwanzoni mwa msimu. Kushuka viwango ghafla na majeruhi ya mara kwa mara ya Boko, Mugalu na Kagere ndio kulikowagharimu Simba msimu huu vinginevyo sasa hivi wangekuwa fainali ya shirikisho na hata baadae kubeba kombe. Iwapo mwaka huu ndio ingekuwa ile Simba ya Luis na Chama wapo "on fire" halafu Boko, Mugalu na Kagere wote wapo vizuri nina hakika historia mpya ingeandikwa Afrika na Simba.
inge inge inge.... mbona nyingi sana? Hao wachezaji walikuwepo pia hata msimu uliopita. Ukimuona kobe juu ya mti ujue kuwa kuna mtu amempandisha. Simba 'inanunua' mechi na waamuzi. Timu zetu zijenge misingi ya soka kuanzia kwenye soka la vijana, makocha, TFF, waamuzi na viwanja vizuri vya kuchezea. TFF hii ya aina hii inayoweza kuahirisha mechi kwa maagizo ya wanasiasa haitufikishi mbali. Simba imefika hapo ilipofika kwa kupepewa na TFF na mo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom