Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihiMara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.
Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Unaniuliza kama nimeridhika ina maana we huridhiki kusema caf confederation cup?Haya wacha tuseme CAF Confederation cup, umeridhika? lakini bado una cha kujibu kwanini timu zinazopoteza kwa Mkapa ndizo zinazocheza finals?
Inamaana hapa huoni kwamba uzi umekuwa hauna maaana kwa sababu final ya caf championship haichezwi na timu ulizotaja?Message sent hata ukosee kati ya champions na confederation haitabadili maana ya uzi huu.
Villareal kamwondoa Bayern msimu huuSimba imekuwa na bahati mbaya ya kukutana na finalists=the best team at KO stage.
msimu uliopolita tulitoka kwa GD-1, msimu huu GD 0. Naiona Simba ikivuka robo msimu ujao iwapo tutafanya marekebisho kidogo na iwapo tutaepuka kukutana na the likes of Ahly, mazembe. Ni sawa na uefa ukikutana ko na real Madrid, Bayern Munich hata kama unatimu nzuri utaaga tu. Waulize city, psg
Wakienda kucheza kimataifa kutwa kuitaja Yanga na kuidharau yanga kisa walitolewa mapema akili nyingi wanaelekeza kwa yanga acha tu waishie robo fainali wanajionaga wamemaliza hawajui mpira una matokeo ya kikatili Sana.Tatizo la Simba ni kushindwa kuisahau Yanga katika kila mechi zake. Wanajidanganya wenyewe kwa false wins.
Wakienda kucheza kimataifa kutwa kuitaja Yanga na kuidharau yanga kisa walitolewa mapema akili nyingi wanaelekeza kwa yanga acha tu waishie robo fainali wanajionaga wamemaliza hawajui mpira una matokeo ya kikatili Sana.
1. Ligi yetu ni mbovu, mshindi anapatikana kwa michongo tu kwa njia ya waamuzi.Nyie ambao hamtumia vitu ivo mmefika hatua gani
Ina maana kwamba Simba SC ni Timu yenye Mafanikio East Africa nzima na kwamba Yanga SC bado ina Safari ndefu kuyafikia Maendeleo ya Simba SC na kama watakubali kuacha kuwa Mapopoma na Watu wa Kununua ( Kuhonga ) Mechi kupitia Mdhamini wao Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wa Makao Jengo refu kiasi Posta.Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
Angalia ligi ya misri hatuna tofauti nao sana hicho sio kigezo1. Ligi yetu ni mbovu, mshindi anapatikana kwa michongo tu kwa njia ya waamuzi.
2, Simba na Yanga hazipati washindani sahihi wa level zao, timu zote ni ndogo na masikini zisizotoa ushindani wenye hadhi ya mashindani ya caf. Angalia alama za Yanga na Simba kwenye ligi, halafu anagalia alama za timu nyingine kwenye ligi, karibu timu zote kuanzia inayoshika nafasi ya 3 hadi 16 zinaweza kushuka daraja.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana kwamba Simba SC ni Timu yenye Mafanikio East Africa nzima na kwamba Yanga SC bado ina Safari ndefu kuyafikia Maendeleo ya Simba SC na kama watakubali kuacha kuwa Mapopoma na Watu wa Kununua ( Kuhonga ) Mechi kupitia Mdhamini wao Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wa Makao Jengo refu kiasi Posta.
Kwahio Orando na Berkane wamecheza na Simba tu?Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
Hii inamaanisha Utopolo mnawekeza zaidi kwenye hayo mautumbo.... maana huu ni mwaka wa 2 sasa hatujawafunga kwa MkapaSimba uwanja wa Taifa haishindi kwakua ni timu Bora, inashinda Kwa hongo na ulozi wa kiwango Cha juu (JUJU) na Kama awata jikita katika uwekezaji na utaalamu, wataendelea kubaki hivyo Kwa miaka mingi.
Simba imepata mafanikio kwa kununua mechi na mipango mingine ya nje ya uwanja. Ndiyo maana imepigwa faini ya dola 10,000Ina maana kwamba Simba SC ni Timu yenye Mafanikio East Africa nzima na kwamba Yanga SC bado ina Safari ndefu kuyafikia Maendeleo ya Simba SC na kama watakubali kuacha kuwa Mapopoma na Watu wa Kununua ( Kuhonga ) Mechi kupitia Mdhamini wao Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wa Makao Jengo refu kiasi Posta.
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
inge inge inge.... mbona nyingi sana? Hao wachezaji walikuwepo pia hata msimu uliopita. Ukimuona kobe juu ya mti ujue kuwa kuna mtu amempandisha. Simba 'inanunua' mechi na waamuzi. Timu zetu zijenge misingi ya soka kuanzia kwenye soka la vijana, makocha, TFF, waamuzi na viwanja vizuri vya kuchezea. TFF hii ya aina hii inayoweza kuahirisha mechi kwa maagizo ya wanasiasa haitufikishi mbali. Simba imefika hapo ilipofika kwa kupepewa na TFF na mo mwenyewe.Kiufundi Simba ilikuwa na matatizo makubwa sana kwenye eneo la ushambuliaji toke a mwanzoni mwa msimu. Kushuka viwango ghafla na majeruhi ya mara kwa mara ya Boko, Mugalu na Kagere ndio kulikowagharimu Simba msimu huu vinginevyo sasa hivi wangekuwa fainali ya shirikisho na hata baadae kubeba kombe. Iwapo mwaka huu ndio ingekuwa ile Simba ya Luis na Chama wapo "on fire" halafu Boko, Mugalu na Kagere wote wapo vizuri nina hakika historia mpya ingeandikwa Afrika na Simba.