Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Inategemea uko mkoa/wilaya gani Kama upo Dar/Pwani kamata Shabiby Kama upo Mwanza kamata SATCO utafika Dodoma hatiamae na mjengoni utapaona hata kwa mbali tu mkuu

Typed Using KIDOLE

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hakuna bajaji ya moja kwa moja?
 
mkuu mnyika yupo kibamba.
ubungo yupo kubenea a.k.a tiamaji tiamaji kuunga mkono juhudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
, Mkuu, wewe kaa karibu tu na anayewapitisha kwenye Chama huko, lkn pia lile Jimbo uspokuwa CCM utapata tabu Sana aisee,

Mimi siangalii chama mkuu,naangalia nitwazaje kuwafikia na kuwasaidia watanzania wenzangu, vipi mtanichaguaaaaaaaaaaaa?lol
 
Huu uchaguzi mkuu ujao vikwazo vitafuatia kutokana na njama za wizi wa kura
 
Na siasa Na siasa siku zote ni ujanjaujanja na kuongea kwingi,
 
Ngoja watetezi wao waje kuleta porojo hapa Ila Ukweli wanaujua kabisa!! Uchaguzi tuanaenda ni uchaguzi mwepesi mno kwa kila level!!

Typed Using KIDOLE
 
Huu uchaguzi mkuu ujao vikwazo vitafuatia kutokana na njama za wizi wa kura
Hakuna mtu atakaeibiwa kura!! Ila waTZ sahv sio mapopoma wa kiwango unachofkria wewe wakachagua watu wasio na Impact kabisa

Typed Using KIDOLE
 
mpaka sasa tume ya uchaguzi isha hakiki wapiga kura milioni 31,,,!!!!.
yani hata upinzani hawajateuwa watakao wania urais tyr kichwa kishaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja watetezi wao waje kuleta porojo hapa Ila Ukweli wanaujua kabisa!! Uchaguzi tuanaenda ni uchaguzi mwepesi mno kwa kila level!!

Typed Using KIDOLE
Wacha waje maana upinzani unatakiwa kweli lakini sio kila siku mahakamani mara kufukuzwa bungeni huku mitaa yetu kero tupu hatuwaoni
 
Yule anayelala kwenye mawe nae nilimsikia akisema
Nani anataka kukaa kwenye haya maofisi
Nahisi nae amechoka ile kazi
 
Ili mikopo na misaada muitafune bila kunawa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu, πŸ˜‚πŸ˜‚ ulivyojibu hapo, πŸ˜‚πŸ˜‚ basi nimecheeeka, kwamba watafune bila kunawa 🀣🀣 unamasihara Sana mkuu, na unakipaji pia cha kuchekesha aisee
 
Hakuna mtu atakaeibiwa kura!! Ila waTZ sahv sio mapopoma wa kiwango unachofkria wewe wakachagua watu wasio na Impact kabisa

Typed Using KIDOLE
Unaongea kwa ushabiki zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…