The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.
Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira.
1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia
8. Miswaki
9. Viwembe
10. Chanuo
11. Makobazi/Ndala/Yeboyebo
12. Kalamu aina zote za risasi na wino
13. Bidhaa zote za stationary
14. Baiskeli
15. Matairi ya gari
16. Vyombo vya jikoni
17. Mapambo
18.mapanga
19.majembe
20.matoroli..