Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo ndo mwafrica alishikwa pu.mbu..hawez furukuta. Ukijifanya ooh hutak bidhaa kutoka njee utapigwa matukio ya vikwazo had ukubal..na kingne hii mikopo hiii daaah.ndo inawanyongonyeza kabisa watu wa africa..unaenda kwa mchina anakudai mabilion anakwambia lazima uruhusu bidhaa froma china.lazima uwe mpole.Tatizo viongozi wetu "walishauza nchi". Literally namaanisha kuwa hao wanaotuletea hizo bidhaa tayari tulishasainia nao makubaliano ya kuruhusu waingize bidhaa zao huku wao wakitupa mikopo yenye unafuu (tunadanganywa).
Kitu kingine ni kuwa uki ban importation za bidhaa kutoka nchi nyingine ina maana nao wata ban wewe usipeleke zako kwao. Hapo kunakuwa hakuna International trade so hautatengeneza foreign currency ku boost uchumi.
Pia kutatokea kutetereka mahusiano kati ya nchi na nchi kiasi cha kupeleka vikwazo vingi vya kiuchumi na kidiplomasia.
Hivyo sio jambo dogo kufungia uingizwaji wa bidhaa kama mnavyodhani.
Mkuu umemaliza kazi😁😁👏👏👏👏 sa tumuombe rais asitishe baazi ya bizaa,mfano nimekumbuka pia mifuko ilivyopigwa marufuku. Bei ya mwanzo na ya sasa. Afu jambo la kukumbuka kukiwa na changamoto ndio watu watafunguka akiliChina kuna vtu ukienda nunua dukan unashangaa yan unasema dah...hiz deodorant huku zinauzwa sjui elf5...kule ni mpaka 800...hvyo vtu vya electronics sasa ndo utashangaa...flash unanunua huku elf15 kule flash had 1000.
Ndio uhalisia huo mzee. Mfumo ulishasukwa sasa tupo trapped hakuna kuchomoka.Na hapo ndo mwafrica alishikwa pu.mbu..hawez furukuta. Ukijifanya ooh hutak bidhaa kutoka njee utapigwa matukio ya vikwazo had ukubal..na kingne hii mikopo hiii daaah.ndo inawanyongonyeza kabisa watu wa africa..unaenda kwa mchina anakudai mabilion anakwambia lazima uruhusu bidhaa froma china.lazima uwe mpole.
Inshort kuna uwezekano africa tukaendelea kuwa maskin na wategemez mpaka mwisho wa dunia hii..ila poa tu..
Ni ngumu sana mtu mwenye mshahara wa 11m ..kakopeshwa kitita kama 200m akiingia akitoka anapigwa tena kama hzo kadhaa. Anakula posho ya vikao..posho za kamat etc etc...kuweza waza mambo kama hayo ...nguuum snaa...ila shega tuTena kwenye nguo unaweza acha 'semi finished 'kutoka nje
Ukazuia 'finished products' only
Mtu akilet mapazia seti hapati kibali
Lakini akiagiza Majora ya mapazia ambayo
Lazima yakatwe na kupindwa hapa hapa Tz
Unamuacha
Anzisheni kampeni ya kununua bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi,
Hao wafanya biashara wanao agiza bidhaa toka nje wakikosa soko wataacha wenyewe automatic kuagiza hizo bidhaa,
Biashara ni demand and supply,kama demand ipo basi wafanya biashara wataendelea tu kuagiza bidhaa toka nje ila demand ikipungua wataacha wenyewe.
Tatuzo mentality yetu watu weusi tumejijengea kudharau vya kwetu. Mtu ukimwambia anunue bidhaa fulani akijua imetengenezwa Tanzania automatically anaji tune kuwa hiyo bidhaa ni mbaya.Anzisheni kampeni ya kununua bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi,
Hao wafanya biashara wanao agiza bidhaa toka nje wakikosa soko wataacha wenyewe automatic kuagiza hizo bidhaa,
Biashara ni demand and supply,kama demand ipo basi wafanya biashara wataendelea tu kuagiza bidhaa toka nje ila demand ikipungua wataacha wenyewe.
Ni ngumu sana mtu mwenye mshahara wa 11m ..kakopeshwa kitita kama 200m akiingia akitoka anapigwa tena kama hzo kadhaa. Anakula posho ya vikao..posho za kamat etc etc...kuweza waza mambo kama hayo ...nguuum snaa...ila shega tu
Na sasa watu wameamka..wa Tz wa sasa si wa miaka ya 80 na 90....sasa hvi watu wamachangamkia fursa...ila huwez kuta watu wanaongea haya bungen...au kokote..mtu akivuta posho yake ..mshahara 11m...akiingia mkopo wa kama 200m ..akitoka baada ya 5yrs anakula tena kama 300m ..... Vikao vya kamat posho za kumwaga..hawez kumbuka hilo hata sku1....kwanza wao ndo wanaongoza kuagiza vtu toka dubai china na ulaya..utamwambia ninMkuu umemaliza kazi[emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] sa tumuombe rais asitishe baazi ya bizaa,mfano nimekumbuka pia mifuko ilivyopigwa marufuku. Bei ya mwanzo na ya sasa. Afu jambo la kukumbuka kukiwa na changamoto ndio watu watafunguka akili
Huwez shindana na mtu mwenye bidhaa yake anatengeneza na umeme wa nuclear na wew unatengeneza na umeme wa mafuta. Lazima production cost itofautiane...pia huwez shindana na mtu ambae ana ujuz kwenye hzo bidhaa kwa zaid ya karne mbili...lazima product yake iwe cheap tu compared na chako...uwekewe flash same storage moja from china inauzwa elf5 nyingne from Tz inauzwa elf 15...hata ukiwa huna akil timamu utanunua ya mchina tu...so lengo ni kuzuia kabisa ili wazawa akil ziwakae sawa ..utaona watu wanaanza tengeneza flash had vibarazan. Yaan flash ni mfano tu..kuna product nying zikizuiwa wa Tz akil itatukaa sawa ...Anzisheni kampeni ya kununua bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi,
Hao wafanya biashara wanao agiza bidhaa toka nje wakikosa soko wataacha wenyewe automatic kuagiza hizo bidhaa,
Biashara ni demand and supply,kama demand ipo basi wafanya biashara wataendelea tu kuagiza bidhaa toka nje ila demand ikipungua wataacha wenyewe.
Wakati wa Magu alipiga marufuku uagizaji wa sukari isipokuwa kwa kibali cha Ikulu.Sukari
Ni aibu kwa nchi fertile kama hii
Ndugu yangu..watu wana roho mbaya sana...mtu aliye kwenye kiyoyoz unahis hata kwanza ataskia kwamba ajira sjui watu wameitwa wamefurika...labda siku watoto wa watu wakanyagane wafe ndo akil itakaa sawaLakini wao hawaoni? Interview za ajira?
Nafasi 50 wanaibuka watu elfu 30 na vyeti?
Hatar sana....nchi ina laana perhaps.Wakati wa Magu alipiga marufuku uagizaji wa sukari isipokuwa kwa kibali cha Ikulu.
Akasema kwasababu viwanda vilivyopo vinadhalisha sukari ambayo haikidhi soko, wapewe wao wenye viwanda waagize ili kuziba nafasi ya tani zinazopungua.
Cha kushangaza hao hao wenye viwanda wakawa wanawauziwa vibali vya uagizaji importers wale wale wa sukari.
Mzee usiwaze namna hii yaani hutaki kuchangamka mpaka Serikali wafungieKuzuia bidhaa hzo na zinginezo itasaidia kuongeza ajira nchini...
Soko tayar tunalo..watu 50m
Imagine wapige marufuku..baadh ya product amabazo wazawa wanaweza tengeneza...vijana tutachangamkia fursa vibaya mno
Sasa imagine fagio linatoka china..bei elf3..mzawa utatengeneza nin hapo tena cha ziada
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.
Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira.
1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia
Mnaweza ongezea.
Mkuu ni usimamizi tu,Mamlaka zikiamua kufanya kazi price control inawezekana.Mzawa akitengeneza atauza 5,000.
Wewe utanunua wapi?
Jam wasizuie naipenda sana Zesta 😂😂Jam, paste zote juices.