Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Kaongea upumbavu tu wala usimoe kongole yoyote. Hana akil kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mutu hatari sana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongea upumbavu tu wala usimoe kongole yoyote. Hana akil kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mutu hatari sana!!!
Shida za kitaani quality mkuu,muda wanapamba juu huku ndani huko balaa,sofa baada ya miezi 6 tu linapoteza mvuto
Ishu sio bei ishu fund juma kawa mwana siasa na kusahau yy ni fundi
Hapana haitakiwi kuzuiwa. Najaribu kuwaza kwann hivi vitu havijawekewa Excise Duty mpaka leo, kama bado.Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.
Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira.
1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia
Mnaweza ongezea.
8. Chupi za mitumbaBinafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.
Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira.
1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia
Mnaweza ongezea.
Vitu vinakua na quality mbaya sabab kuna zipo zinazotoka nje..sasa wakizuia kabisaa 100%...watu watatengeneza na ushindan utakuepo kias kwamba wanaotengeneza famba watajitenga wenyew automaticaly...
Ila nin mkuu huu uzi wako mzur sana ila kuna akil ndogo zmeanza ingia hum ambazo hata uchambuz kwao ni mgum. Naomba wala usiwajibu
Ilipigwa marufuk mifuko hapa gafla ..na sasa kuna mifuko ya kila aina kwa bei nafuu na kwa ubora na viwango vya hal ya juu...mfano mdogo tu.
furniture za bongo ni ovyo mno unanunua furniture mil 2.5 Baada ya mwaka mbao zote zinatoa unga.ni wachache wanaotengeneza furniture zenye uboraNi ajabu hakika. Akili zimelala kabisa.
Ila kwa niijuavyo bongo na wabongo wenyewe, mtu yupo radhi kununua kitu kwa bei kubwa na poor quality cha nje kuliko kizuri kwa bei poa cha ndani. Utasikia ninunue meza ya fundi Juma mimi kwa laki2 wakati shoppers zipo za Uturuki ilhali ya Uturuki ni laki5 and no any better than Juma's.
Kwani Tanzania ni tumbo la uzazi (womb)?Mafuta ya kula je..
Sukari
Ni aibu kwa nchi fertile kama hii
Ahaha umeona sasa... 😂😂Ndo tutengeneze yetu😋 yes very tastey...ila mayonnaise ya american dream wasiitoe aise
Kuna watu humu wachache wao wanataka wa import tu ukisema uzalishe humu, subiria zengwe lakeSema tu ni kwasababu africa tumebanwa kende na hawa wenzetu walioendelea na hii mikopo na misaada yao..ila ingewezekana mfano tukapiga stop mitumba ya nguo na nguo zenye ubora wa chini(lonya lonya) dk sifuri tu viwanda vya nguo bongo hii vingefurika na bei ya nguo hizo kadri muda unavyoenda ingekuwa ni sawa tu na hizo lonya za China..
This applies pia kwa bidhaa nyingine ndogondogo..
Sema ni ngumu maana tumekuwa kama dampo vile la bidhaa za china..na tunajenga uchumi wao..tukipiga ban figisu zinaanza..Africa tupo kwenye trap moja mbaya sana..kuchomoka hapo sijui aisee.
Wanajua kucheza na hizo policy zao vizuri. Mloganzila ile ina product za Korea nyingi sana.Ukisikia china India..Vietnam .....Korea wametoa misaada ujue moja ya masharti ni kuacha bidhaa zao ziingie nchini bila vikwazo......ukitaka kuzuia anza kwanza na misaada nchi inayopata
Walijaribu viongozi wetu wa East Afrika miaka hii enzi ya Magufuli, wakaweka azimio la kutoingiza mitumba. Wamarekani walikuja na vifungu mpaka viongozi wakanyoosha mikono.Sema tu ni kwasababu africa tumebanwa kende na hawa wenzetu walioendelea na hii mikopo na misaada yao..ila ingewezekana mfano tukapiga stop mitumba ya nguo na nguo zenye ubora wa chini(lonya lonya) dk sifuri tu viwanda vya nguo bongo hii vingefurika na bei ya nguo hizo kadri muda unavyoenda ingekuwa ni sawa tu na hizo lonya za China..
This applies pia kwa bidhaa nyingine ndogondogo..
Sema ni ngumu maana tumekuwa kama dampo vile la bidhaa za china..na tunajenga uchumi wao..tukipiga ban figisu zinaanza..Africa tupo kwenye trap moja mbaya sana..kuchomoka hapo sijui aisee.
Stick za mishikakiBinafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.
Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira.
1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia
8. Miswaki
9. Viwembe
10. Chanuo
11. Makobazi/Ndala/Yeboyebo
12. Kalamu aina zote za risasi na wino
13. Bidhaa zote za stationary
14. Baiskeli
15. Matairi ya gari
16. Vyombo vya jikoni
17. Mapambo