Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

Utazuiaje kabla hujaanza tengeneza?

Tengenezeni kwanza afu ndio vya nje vitozwe kodi ili visije
Kwahyo utengeneze mzigo ukudodee kiwandan...yaan inabid wafanye maamuz magum kama walivyo fanya kwenye mifuko ya plastic...umeona sasa.kuna mifuko ya kila aina mtaan.jambo ambalo lilionekana haliwezekan

Wakizuia hzo bidhaa italeta mwamko mkubwa sana wa watu kujiajir..watu watatengeneza tutauziana humu hum ndan.soko la ndan watu 50m ni tosha kabisa.....ajira hakuna sabab..utatengeneza nin mabacho mchina hajatengeneza..na anatengeneza cheap kwelkwel..mzawa anaona hii bora kuacha tu..viwanda vya ndan kwishaa
 
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka ...kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato...na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.

Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira

1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia

Mnaweza ongezea.
Mkuu Dunia kijiji mambo yakufungia aliyaleta jiwe kwenye Ndege unaweza kuona tabu iliyopo labda ungesema waongeze Kodi maana mtu mwenye hela yake utamzuiaje kununua kava ya Simu ya elf 20 yenye muonekano mzuri badala yake ananunue ya bongo ya elf 3 yenye finishing mbovu
 
Kwahyo utengeneze mzigo ukudodee kiwandan...yaan inabid wafanye maamuz magum kama walivyo fanya kwenye mifuko ya plastic...umeona sasa.kuna mifuko ya kila aina mtaan.jambo ambalo lilionekana haliwezekan

Wakizuia hzo bidhaa italeta mwamko mkubwa sana wa watu kujiajir..watu watatengeneza tutauziana humu hum ndan.soko la ndan watu 50m ni tosha kabisa.....ajira hakuna sabab..utatengeneza nin mabacho mchina hajatengeneza..na anatengeneza cheap kwelkwel..mzawa anaona hii bora kuacha tu..viwanda vya ndan kwishaa

Mkuu I wish Samia apite hapa akusome
 
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka ...kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato...na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.

Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira

1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia

Mnaweza ongezea.
Sukari
Mafuta ya kula
Mchele
Juisi zote
Blue band n.k shida vikitengenezwa hapa bei inakuwa kubwa kuliko vikitoka nje. Kwa hiyo hata ukizuia bado tu
 
Tatizo sio wachina tatizo wabongo hawawazi vzr waoa wanaamini ktk ujinga

Wachina wanamwaga vya bei rahisi
Sisi lazima tujipe muda wa kukomaa hatuwezi shindana na wachina
 
Furniture. Furniture. Furniture. Wakianza na hilo watakua wamefanya jambo kubwa sana

Huwa nashangaa watu kununua furniture kutoka nje wakati mafundi kitaani wanatengeneza furniture nzuri sana kwa bei poa. Imagine ofisi zote zingekua na furniture zilizotengenezwa nchini tungekua wapi.
MagufuliJP kafa nothing Will go on. Huna uwezo wa kuzuia tena
 
Jambo lingine la kuzuia kwa vile sheria za kimataifa za kibiashara zitatubana. Ni kuweka masharti magumu au kuweka bodi, zitoe vibari vigumu vya mahitaji yasiyo ya lazima mfano tunakuwa na bodi ya vifaa vya ndani. Ili mtu aagize vikombe, mwiko, jiko, sofa, pazia, etc nje lazima apate kibali uko. Kwenye bodi unawapa mwongozo wamzungushe mtu yeyote anayeagiza vitu vya kipuuzi kama mwiko, toothpick na viti.

Mpaka unaagiza mwiko kutoka China na kodi yake kama mara mbili ya bei lazima ushachoka na wanaokata tamaa ni wengi. Wazalishaji wa ndani wanapeta. Tatizo uzalendo watu hawana na wizi ndio sifa kuu ya wabongo.
 
Tatizo viongozi wetu "walishauza nchi". Literally namaanisha kuwa hao wanaotuletea hizo bidhaa tayari tulishasainia nao makubaliano ya kuruhusu waingize bidhaa zao huku wao wakitupa mikopo yenye unafuu (tunadanganywa).

Kitu kingine ni kuwa uki ban importation za bidhaa kutoka nchi nyingine ina maana nao wata ban wewe usipeleke zako kwao. Hapo kunakuwa hakuna International trade so hautatengeneza foreign currency ku boost uchumi.

Pia kutatokea kutetereka mahusiano kati ya nchi na nchi kiasi cha kupeleka vikwazo vingi vya kiuchumi na kidiplomasia.

Hivyo sio jambo dogo kufungia uingizwaji wa bidhaa kama mnavyodhani.
 
Mkuu I wish Samia apite hapa akusome
Kuna vitu unawaza hiv watunga sheria na wafanya maamuz wa ndan wanashindwa ngamua logic ndogo ndogo kamaa hzi wasaidie taifa....vijana wanamaliza vyuo hawana cha kufanya kabisa..yaan hata aseme ni buni kutengeneza hata stik za meno...anaenda sokon anakuta tayar mchina kaleta stick anauza bei ya jumla mpaka mia3...

Atasema ngoja bas nilime alizet..analima anapata mafuta anaweka kwenye dumu auze..anakuta kuna lichupa la korie hapo muhind katoa mafuta brazil...hiv kijana afanyeje..soko letu linafaidisha mataifa ya nje huko

Imagine wapige marufuk nguo za mtumba...heee....utaona baada ya miez sita pamba yetu imepanda thaman ..watu wanatengeneza nguo had uswahili viwanda had tutakimbiana..sasa hiv mifuko inafyatuliwa had vibarazan...kwan china walifikaje huko...china kuna viwanda had kero. Vidogo vidogo kibao...sabab walifanya maamuz magum.. yaan hyo ndo njia pekee ya kukuza uchum..mbal na hapo...ni ku mark time tu
 
Haya unayosema ni kama utazuia bidhaa zote za nchi fulani
But nchi kama China inaingiza bidhaa aina tofauti zaidi ya elfu kumi..
Uki ban lest say bidhaa 100 Tu hakuna tatizo..

Halafu Sisi tuna bidhaa ngapi tunaenda uza huko China?
 
Tatizo viongozi wetu "walishauza nchi". Literally namaanisha kuwa hao wanaotuletea hizo bidhaa tayari tulishasainia nao makubaliano ya kuruhusu waingize bidhaa zao huku wao wakitupa mikopo yenye unafuu (tunadanganywa).

Kitu kingine ni kuwa uki ban importation za bidhaa kutoka nchi nyingine ina maana nao wata ban wewe usipeleke zako kwao. Hapo kunakuwa hakuna International trade so hautatengeneza foreign currency ku boost uchumi.

Pia kutatokea kutetereka mahusiano kati ya nchi na nchi kiasi cha kupeleka vikwazo vingi vya kiuchumi na kidiplomasia.

Hivyo sio jambo dogo kufungia uingizwaji wa bidhaa kama mnavyodhani.

Sheria zitatubana kama ni total ban
Ukiweka partial ban hakuna shida..

Una ban finished products
Unaachia semi finished na machines kutoka huko huko China..
 
Sukari
Mafuta ya kula
Mchele
Juisi zote
Blue band n.k shida vikitengenezwa hapa bei inakuwa kubwa kuliko vikitoka nje. Kwa hiyo hata ukizuia bado tu
Bei itakua kubwa kwa mda tu sasa hiv watu wameamka..heb wasitishe kuagiza nje waone . Kama hujakuta blueband zmejazana huko hadi za jero....kama inavyokuaga matikitik vile. Watu wana motivetiana weeee lima matiktk .wakija kulima wanalima woote yanajaa had inakua kero..bei inashuka had chin...

China kuna vtu ukienda nunua dukan unashangaa yan unasema dah...hiz deodorant huku zinauzwa sjui elf5...kule ni mpaka 800...hvyo vtu vya electronics sasa ndo utashangaa...flash unanunua huku elf15 kule flash had 1000.
 
Kuna vitu unawaza hiv watunga sheria na wafanya maamuz wa ndan wanashindwa ngamua logic ndogo ndogo kamaa hzi wasaidie taifa....vijana wanamaliza vyuo hawana cha kufanya kabisa..yaan hata aseme ni buni kutengeneza hata stik za meno...anaenda sokon anakuta tayar mchina kaleta stick anauza bei ya jumla mpaka mia3...

Atasema ngoja bas nilime alizet..analima anapata mafuta anaweka kwenye dumu auze..anakuta kuna lichupa la korie hapo muhind katoa mafuta brazil...hiv kijana afanyeje..soko letu linafaidisha mataifa ya nje huko

Imagine wapige marufuk nguo za mtumba...heee....utaona baada ya miez sita pamba yetu imepanda thaman ..watu wanatengeneza nguo had uswahili viwanda had tutakimbiana..sasa hiv mifuko inafyatuliwa had vibarazan...kwan china walifikaje huko...china kuna viwanda had kero. Vidogo vidogo kibao...sabab walifanya maamuz magum.. yaan hyo ndo njia pekee ya kukuza uchum..mbal na hapo...ni ku mark time tu

Tena kwenye nguo unaweza acha 'semi finished 'kutoka nje
Ukazuia 'finished products' only

Mtu akilet mapazia seti hapati kibali
Lakini akiagiza Majora ya mapazia ambayo
Lazima yakatwe na kupindwa hapa hapa Tz
Unamuacha
 
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi itaathirika ni ni mazoea tu.

Hapa naomba tuoredheshe bidhaa ambazo Serikali ikizuia zisiingie kutoka nje na ikiwezekana Serikali itoe nafuu ya Kodi kwa watakao taka kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kuingiza mashine za kutengeneza bidhaa hizi. Na tutajikuta tumepunguza .mno tatizo la ajira.

1. Mafagio
2. Cover za simu
3. Vijiti vya meno
4. Furniture za mbao
5. Car accessories
6. Mabegi
7. Mapazia

Mnaweza ongezea.
8. Madodoki kutoka 中国拼写
 
Back
Top Bottom