mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,854
fagio zote unazo ziona madukani 70% zina tengenezwa hapa hapa na Wachina!Mzawa akiuza kwa 5000 atapiga hela sana ila kwa kuwa threat of new entrants ni kubwa baada ya miezi minne utashangaa watengeneza mifagio wameongezeka kama mara 20. Hapo lazima washushe bei ili wakae sokoni, bei itakuwa chini ya 3000 ya huyo Mchina