fagio zote unazo ziona madukani 70% zina tengenezwa hapa hapa na Wachina!Mzawa akiuza kwa 5000 atapiga hela sana ila kwa kuwa threat of new entrants ni kubwa baada ya miezi minne utashangaa watengeneza mifagio wameongezeka kama mara 20. Hapo lazima washushe bei ili wakae sokoni, bei itakuwa chini ya 3000 ya huyo Mchina
Hahaha atarudia kazi yake ya zamani alipokuwa bongoChris Lukosi atakufa Njaa.
Hatari sana mkuuBado tatizo linabakia kuwa tanzania tuna gap au ombwe la uongozi. Watu waliopo serikalini na meza kuu za maamuzi hawana best interest at heart kwa vijana na taifa. Wanalenga kujenga maisha yao, familia zao na koo zao. Hii ni laana kwa taifa.
Hahaha atarudia kazi yake ya zamani alipokuwa bongo
Ila dah jamaa mpiganaji sana hapo tu namkubali
Ova
Wachina Mbagala kwa mpalange mkuuKuna fagio, tooth stick zinazalishwa tz je wanaozalisha hizo ni wabongo au wachina ?
Ova
Sana anapambana sana na mi usedHahaha labda aende kulinda na gobole kwenye gas station umri ushamtupa kuruidia ile kazi.
Jamaa anapambana na makinikia yake.
Hahaha kwa hiyo made by Chinese in tanzania hiyoWachina Mbagala kwa mpalange mkuu
hilo kweli ndio linaokuumiza mkuu utaendelea kuumia tena sana,wewe zama hizi tulizopo unakuta huko kwenye wasomi tunawaowategemea tena wenye elimu za juu huko vyuo vikuu ndio kwanza wako very busy to create sanamu za mabati halafu anaalikwa na kiongozi kwenda kushuhudia uzinduzi huo, kwahiyo sisi bado sana kujiumiza huko binamu ni kwa kujitakia, Tuko zama za mawe sisi labda tuzidi kuwekeza veta maana huko kuna angalau watu wanaojaribu kufanya vitu ila fungu dogo la bajeti yaoMimi la kuona tunanunua mafagio kutoka China linaniumiza sana
Ndio maana yake! ila kutengeneza fagio kuna kazi sio rahisi sana kama ambayo inaweza kumjia mtu kichwani!Hahaha kwa hiyo made by Chinese in tanzania hiyo
Ova
Discount centre sasa hivi furniture zao wanatengeneza hapa hapa na zinaridhisha. Kuna fundi juma wako vizuri balaa. Nina fundi wangu ni balaa kazi yangu natoa picha Google nampa anatoa kitu kikali kuliko cha kwenye picha kwa material unayotaka wewe.Ni ajabu hakika. Akili zimelala kabisa.
Ila kwa niijuavyo bongo na wabongo wenyewe, mtu yupo radhi kununua kitu kwa bei kubwa na poor quality cha nje kuliko kizuri kwa bei poa cha ndani. Utasikia ninunue meza ya fundi Juma mimi kwa laki2 wakati shoppers zipo za Uturuki ilhali ya Uturuki ni laki5 and no any better than Juma's.
katiba yetu inahusika 100% viongozi wa kisiasa wana weza kufunga kiwanda chochote bila sababu za msingi!Long time mitaani kulikuwa na mafundi wazuri sana wa viatu kiatu kinaundwa mwanzo mwisho
Mpaka unakivaa, nashangaa miaka ya sahv wamepotea
Ova
Kuna jamaa wachagga nimeona viatu vyao jamaa yangu kavaa sikuamini kama ni made in Tz. Nimeamua naenda kununua soon. Bei kuanzia 45,000Long time mitaani kulikuwa na mafundi wazuri sana wa viatu kiatu kinaundwa mwanzo mwisho
Mpaka unakivaa, nashangaa miaka ya sahv wamepotea
Ova
Utani pm # yke mzee mwenzanguDiscount centre sasa hivi furniture zao wanatengeneza hapa hapa na zinaridhisha. Kuna fundi juma wako vizuri balaa. Nina fundi wangu ni balaa kazi yangu natoa picha Google maps anatoa kitu kikali kuliko cha kwenye picha kwa material unayotaka wewe.
kazi za mbao ni rahisi sana Tatizo ni machine mafundi wetu hawana! na uzuri wa mchine za mbao unakuta machine moja ina operesheni 4, 6 serekali inge ondoa ushuru kwa 100% kwenye machine ndogo ndogo na zakati! au ingesaidia kutengeneza karakana za kisasa kwa vijana wa vyuo vya ufundi!Discount centre sasa hivi furniture zao wanatengeneza hapa hapa na zinaridhisha. Kuna fundi juma wako vizuri balaa. Nina fundi wangu ni balaa kazi yangu natoa picha Google maps anatoa kitu kikali kuliko cha kwenye picha kwa material unayotaka wewe.