Jamaa kila kitu alichonitengenezea lazima mtu aulize umenunua wapi!Utani pm # yke mzee mwenzangu
Mm nakubaliana na wewe ufundi wa wa furniture's kote duniani ukiona wanavyotengeneza unaweza usitoe hela
Sema fundi wanazidiana kuna wengine wanajua kuweka uimara na muonekano unakuwa mzuri
Ova
Enzi za utoto kitaani kulikuwa na fundi mmoja anaitwa mfinanga,alikuwa anaunda viatu vizuri sana ...soli kali,ngozi badaye akaachana na shuguli hiyo kabisaKuna jamaa wachagga nimeona viatu vyao jamaa yangu kavaa sikuamini kama ni made in Tz. Nimeamua naenda kununua soon. Bei kuanzia 45,000
Huyo siyo ouwiso wa salasalaKuna jamaa wachagga nimeona viatu vyao jamaa yangu kavaa sikuamini kama ni made in Tz. Nimeamua naenda kununua soon. Bei kuanzia 45,000
Kuna jamaa enzi za sekondari nishachonga English boot hapo mtaa wa Sekenke Kinondoni Manyanya. Huwezi amini kama ya BongoEnzi za utoto kitaani kulikuwa na fundi mmoja anaitwa mfinanga,alikuwa anaunda viatu vizuri sana ...soli kali,ngozi badaye akaachana na shuguli hiyo kabisa
Hapo kwake tulipiga sana deiwaka za kushona ndala na kuweka viraka kwenye viatu
Najiulizaga hao wanashindwa nn kujitanua wigo awe na kijikiwanda
Ova
Yes huyo huyo. Nimeambiwa ana duka mbezi beach piaHuyo siyo ouwiso wa salasala
Ova
Ah basi tu mafundi wetu hawataki kujiongezakazi za mbao ni rahisi sana Tatizo ni machine mafundi wetu hawana! na uzuri wa mchine za mbao unakuta machine moja ina operesheni 4, 6 serekali inge ondoa ushuru kwa 100% kwenye machine ndogo ndogo na zakati! au ingesaidia kutengeneza karakana za kisasa kwa vijana wa vyuo vya ufundi!
zinge inua ubunifu!
Tatizo mafundi wetu hawajielewi hawana professionalism kbsa wameendekeza sana uswahili, usipokuwa makini kabati tu utajengewa kwa miezi hta nane!...ndio maana watu wengi hawataki usumbufu wanaamua kwenda dukani kununua furniture za mchina.
Shida na mafundi wetu upuuzi ni mwingi. Mtu anaweza lipa fundi ila akazungushwa hadi akajuta kuingia nae mkataba wa kazi.
Anauza sana vitambaa vya ngozi anatoa KenyaYes huyo huyo. Nimeambiwa ana duka mbezi beach pia
Discount centre sasa hivi furniture zao wanatengeneza hapa hapa na zinaridhisha. Kuna fundi juma wako vizuri balaa. Nina fundi wangu ni balaa kazi yangu natoa picha Google maps anatoa kitu kikali kuliko cha kwenye picha kwa material unayotaka wewe.
Nilienda pale Mlimani city nikakuta Sofa seats 7pc zinauzwa milioni kumi na laki kadhaa...nikasema Hiiiii (kwa sauti ya Mwanakwenda)Ni ajabu hakika. Akili zimelala kabisa.
Ila kwa niijuavyo bongo na wabongo wenyewe, mtu yupo radhi kununua kitu kwa bei kubwa na poor quality cha nje kuliko kizuri kwa bei poa cha ndani. Utasikia ninunue meza ya fundi Juma mimi kwa laki2 wakati shoppers zipo za Uturuki ilhali ya Uturuki ni laki5 and no any better than Juma's.
mkuu katika hali ya kawaida fundi ukimuambia atafute 20m anunue machine au ata 10 au 8 ni kazi nzito sana! ila hakuna uwekezaji mwepesi kama kuwekeza kwenye machine za bidhaa za mbao na zina faida kubwa sana sana uimara ni chaguo la mteja! sio lazima uwe fundi mtu yoyote anaweza anzisha factory ya kuzalisha bidhaa za mbao!Ah basi tu mafundi wetu hawataki kujiongeza
Tatizo linakuja kwwnye uimara
Ova
Hapo kwenye kodi Hapo.Mimi sioni haja ya kuzuia hizo bidhaa maana sasa soko linataka bidhaa zilizotayari na tofauti kwa mtumiaji Ili aweze kuchagua sasa hao wanatengeneza kwanini hawatengenezi bidhaa zilizotayari? Tatizo ni ujuzi hawana kabisa na mashine hazipo hivyo Kama kweli wanataka kuzuia bidhaa basi ndani ya miaka mitano wangeruhusu mashine hizo bila kodi baada ya hapo hizo bidhaa zingetoweka zenyewe, sasa sokoni hatuna bidhaa so tunazihitaji sana.
Kuna siku nilikutana na mama m1 ni wazir machachar sana ananunua furniture za nyumban kwake mahali 24m jumla ilikua..mikochi ya leather mibayaaaaa...nkasema dah.kwel usipokua na hela unakua unajua vtu vzur sana...Nilienda pale Mlimani city nikakuta Sofa seats 7pc zinauzwa milioni kumi na laki kadhaa...nikasema Hiiiii (kwa sauti ya Mwanakwenda)
Utengenezaji wa masofa unafikiri inahitaji mambo ya mashine nyingi mambo madogomkuu katika hali ya kawaida fundi ukimuambia atafute 20m anunue machine au ata 10 au 8 ni kazi nzito sana! ila hakuna uwekezaji mwepesi kama kuwekeza kwenye machine za bidhaa za mbao na zina faida kubwa sana sana uimara ni chaguo la mteja! sio lazima uwe fundi mtu yoyote anaweza anzisha factory ya kuzalisha bidhaa za mbao!
Ulikuwepo ee?Umenikumbusha ZZK MBEYA
ova
Kuna siku nilikutana na mama m1 ni wazir machachar sana ananunua furniture za nyumban kwake mahali 24m jumla ilikua..mikochi ya leather mibayaaaaa...nkasema dah.kwel usipokua na hela unakua unajua vtu vzur sana...
Kitambo sana nlikuwaga kwenye chuo kimoja cha mafunzo,nje lkn huko walikuwa na kitengo cha mambo ya mbao,jamaa wanatengeneza masofa hTari walikuwa wanatumia mpaka mbao inayotokana na mnazimkuu katika hali ya kawaida fundi ukimuambia atafute 20m anunue machine au ata 10 au 8 ni kazi nzito sana! ila hakuna uwekezaji mwepesi kama kuwekeza kwenye machine za bidhaa za mbao na zina faida kubwa sana sana uimara ni chaguo la mteja! sio lazima uwe fundi mtu yoyote anaweza anzisha factory ya kuzalisha bidhaa za mbao!
kabisa mkuu na kitambaa imara tu! karibia maduka yote wana karakana za kutengenezea hapa hapa na ukiituta dukani utauzia 20 na zaidi utambiwa hii ni kutoka Uturuki au nje kumbe wametengeneza hapa hapa!!Utengenezaji wa masofa unafikiri inahitaji mambo ya mashine nyingi mambo madogo
Kikubwa kwenye utengenezaji uimara unatokana na ugongaji wa mbao tu
Ova
Mbeya tena wakati huo nafanya ukondaUlikuwepo ee?
Bei zake sasa za masofa alikuwa anauza kufurukabisa mkuu na kitambaa imara tu! karibia maduka yote wana karakana za kutengenezea hapa hapa na ukiituta dukani utauzia 20 na zaidi utambiwa hii ni kutoka Uturuki au nje kumbe wametengeneza hapa hapa!!
soko hili ni kubwa sana ni mtaji tu wala halihitaji akili kubwa sana soko lake ni kubwa sana sana na la uhakika sio rahisi mtu aliye anzisha akiwa na mtaji akaanguka ni ngumu sana maana kazi ni nyingi sana!
na mafundi ndio hawa hawa wa kwetu!
yule mjane wa mengi mbona alifanya vizuri sana sana sijui siku hizi yupo wapi na alikuwa ana tengenezea hapa hapa ila ukiona una hisi zimetoka UK