Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

Mkuu kampun ipi nzur ya kubet?
Sportybet wapo vizuri sana masoko mengi wapo wide hawana mbambamba km wale wazee wa kupiga watu kuanzia shilingi 10 unatandika mkeka kwa hio ni affordable kuweka hela makato sio juu km kuuule kwa kina fulani wazee wa kubinya pumbu betpanga ubaya wa betpanga wanabinya masoko wanakuwekea masoko ambayo wanajua kabisa hapa huchomoki

Ubaya wa Sportybet ni mmoja tu inakula bando kinoma kwa hio jiandalie bando la kueleweka
 
Sportybet wapo vizuri sana masoko mengi wapo wide hawana mbambamba km wale wazee wa kupiga watu kuanzia shilingi 10 unatandika mkeka kwa hio ni affordable kuweka hela makato sio juu km kuuule kwa kina fulani wazee wa kubinya pumbu betpawa

Ubaya wa Sportybet ni mmoja tu inakula bando kinoma kwa jiandalie bando la kueleweka
Sawa mkuu shukran, vip kuhusu betika nao
 
Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza kukudababishia uraibu

1. 888bet Tanzania , Inamilikiwa na port achia ipo pia Kenya ,Tanzania Msumbiji, Angola, Zambia , na Malawi

2. Gal sport Tanzania , ipo pia Uganda, Zambia, Msumbiji, Congo, Tanzania, Guinea na ghana

3. Betway Tanzania , ipo pia Nigeria , Tz, Ghana, South Africa, Zambia, Malawi, n.k

4. Meridianbet Tanzania, ipo pia Kenya na Tanzania

5. Pmbet Tanzania , ipo pia Kenya na Tanzania

6. Helabet Tanzania, nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
7. Betwinner Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
8. 888starz Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
9. PremierBet Tanzania, inapatikana pia Uganda, Malawi, Msumbiji na Nigeria
10. Parimatch Tanzania , inapatikana pia Nigeria, ghana , Msumbiji na Ulaya
11. 1xbet Tanzania , hii inapatikana karibu nchi zote duniani

12. Melbet Tanzania , Hii nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi Duniani

13. Sportbet , inapatikana pia Zambia ,Kenya , Nigeria na Ghana
14. Betpawa Tanzania, inapatikana pia Kenya, Zambia,Malawi,Nigeria, Ghana,Rwanda na Uganda
15. Mbet Tanzania , inapatikana pia Congo
16. Sportpesa Tanzania ,inapatikana pia Kenya, na Italy
17. Leonbet Tanzania , inapatikana Tanzania na nchi kadhaa Ulaya
18. Sokabet Tanzania , hii inapatikana pia Kenya
19. Wasafi bet Tanzania Hili Ni tawi la kampuni ya oddi Bet Kenya
20. Betika Tanzania , hii inapatikana pia Kenya, Msumbiji na Zambia, na Ethiopia
21. Bikosport hii inapatikana Tanzania pekee yake
22. Mojabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na Congo , lakini sidhani Kama bado Ina operate lakini inaweza kuwa na leseni hai bado
23. Mrbet Tanzania , hii nikampuni mpaya ya kubeti Tanzania
24. Tembobet /betx , hii inapatikana Tanzania pekee yake
25 Gwala bet , hii inapatikana Tanzania pekee
26. Pigabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na ipo chini ya The Grand casino
27. Bonus Bet, hii inapatikana Tanzania pekee

28. Kingbet Tanzania, Hii inapatikana Tanzania pekee

29. Throne Bet Tanzania , hii inapatikana Tanzania pekee

Kampuni nyingine huendesha kasino za mtandaoni
30. Slotpesa
31. Nyotacasino
Mkuu, hivi hayo makampuni ya kimataifa kama 888starz, 1xbet, melbet, helabet, paripesa, betwinner, bet365 n.k ambayo pia unakuta hayana usajili wowote wa kisheria hapa bongo.

Haiwezi kutokea Siku yakapotea kinyemela nyemela Bila hata taarifa na yakapotea na hela zetu. Yakawa hayatumiki tena wala kuonekana?
 
Mkuu, hivi hayo makampuni ya kimataifa kama 888starz, 1xbet, melbet, helabet, paripesa, betwinner, bet365 n.k ambayo pia unakuta hayana usajili wowote wa kisheria hapa bongo.

Haiwezi kutokea Siku yakapotea kinyemela nyemela Bila hata taarifa na yakapotea na hela zetu. Yakawa hayatumiki tena wala kuonekana?
Hao Wana leseni za kimataifa kutoka CURACAO MKUU
 
Naona wa bongo wanaokwenda kwa mrusi ixbet na kununua hiyo duplicate ya app yake na kubadilisha majina na graphics lakini Kila litu ni ixbet
 
Mkuu, hivi hayo makampuni ya kimataifa kama 888starz, 1xbet, melbet, helabet, paripesa, betwinner, bet365 n.k ambayo pia unakuta hayana usajili wowote wa kisheria hapa bongo.

Haiwezi kutokea Siku yakapotea kinyemela nyemela Bila hata taarifa na yakapotea na hela zetu. Yakawa hayatumiki tena wala kuonekana?
Anytime wanasepa na kibunda. Jiulize 22bet inaingilika ukiwa bongo?
Walisepa na chenji zetu hao.
 
Back
Top Bottom