Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
-
- #101
Ah Sasa huyo HR aliajiri wafanyakazi wapumbavu wakamharibia uwekezaji wake hapo alianza Vibaya. Ndio maana unashauriwa kabla ya kuanzisha kampuni uwe makini Sana na wafanyakazi unaoajiri Nadhani walifungiwa leseni baada ya hapoBangbet
Na Gobet sijaziona.
Kuna wale walitutukana nchi nzima wakasema kama hatutumii kampuni yao ni wapumbavu.
Dah! Ila nakumbuka baada ya watu kulalamika siku ya pili au ya tatu wakatoka nje kuomba radhi kwa njia ile ile kwamba hawakumaanisha kuwa sisi ambao hatubetii kwao ni wapumbavu.Ah Sasa huyo HR aliajiri wafanyakazi wapumbavu wakamharibia uwekezaji wake hapo alianza Vibaya. Ndio maana unashauriwa kabla ya kuanzisha kampuni uwe makini Sana na wafanyakazi unaoajiri Nadhani walifungiwa leseni baada ya hapo
Nikweli mkuu waliingia Vibaya. Wakala hasara jumlaDah! Ila nakumbuka baada ya watu kulalamika siku ya pili au ya tatu wakatoka nje kuomba radhi kwa njia ile ile kwamba hawakumaanisha kuwa sisi ambao hatubetii kwao ni wapumbavu.
Wale inawezekana waliajiri marketing manager kilaza au labda wa nchi jirani ambaye kwao sio tusi lenye uzito au alikosa msamiati mzuri.
Hawa leonbet nao wapo vizuri.1.sportybet
2.meridianbet
3.sportpesa
Yes nikampuni mpyaHawa leonbet nao wapo vizuri.
Na sijasikia maskini akilalamikia Makampuni ya ku-beti ila wanalalamikia makanisa mengi yanafundisha kwamba kubeti ni dhambi/kamari.Kuna utitiri mwingi sana wa kampuni za kubet Tanzania na zote unaambiwa zinaingiza faida ya mamilioni kwa siku...... Wabongo tuna hela nyingi sana za mchezo
Kuna utitiri mwingi sana wa kampuni za kubet Tanzania na zote unaambiwa zinaingiza faida ya mamilioni kwa siku...... Wabongo tuna hela nyingi sana za mchezo
Kampuni zilizopo nichache Sana ukilinganisha na nchi nyingine. Tunahitaji kuwavutia wawekezaji zaidi kwenye tasnia hiiNa sijasikia maskini akilalamikia Makampuni ya ku-beti ila wanalalamikia makanisa mengi yanafundisha kwamba kubeti ni dhambi/kamari.
888, hamna limiti Hadi Quadrillion 😄Pm-bet
Faida
Inalipa chapchap
Easy withdraw
Livebet match nyingi
Markets ni nyingi corner offsides shots on target results goals yellow cards throw ins etc
Refund Kama ukichaniwa na match moja tuu
Hasara
Inakula bundle mnoo
Bonus ni mwendo wa Kobe
Limit ya win ni milioni 30 tu
Hakuna live match cash out, cash out Yao ni mpaka pasiwepo live match kwenye slip yako
Nimetia mzigo toka tar25/10 ngoma haijasoma hadi leo,kila ukiwacheki husema changamoto.Sina hamu nao haoPm-bet
Faida
Inalipa chapchap
Easy withdraw
Livebet match nyingi
Markets ni nyingi corner offsides shots on target results goals yellow cards throw ins etc
Refund Kama ukichaniwa na match moja tuu
Hasara
Inakula bundle mnoo
Bonus ni mwendo wa Kobe
Limit ya win ni milioni 30 tu
Hakuna live match cash out, cash out Yao ni mpaka pasiwepo live match kwenye slip yako
Mpesa hiyo wanazingua😄Nimetia mzigo toka tar25/10 ngoma haijasoma hadi leo,kila ukiwacheki husema changamoto.Sina hamu nao hao
Hiyo pesa ipo katikati ningumu kuipata ndani ya muda mfupi wape Muda wasumbue Airtel na hao paripesaNaitwa Godfrey
Salama.
Naombeni ushauri nilikuwa naweka pesa paripesa ikafeli na meseji ikaja kwenye app yangu kuwa deposit rejected. Ila cha ajabu pesa ilikuwa imeshatoka airtel money. Sasa haijafika kwenye app na airtel money poa imeshatoka. Nimewapigia airtel wanasema ela imeenda paripesa niwewaandikia email paripesa wanasema wamewajulisha payment system yao wanashughulikia leo siku ya nne pesa yangu haionekani... Kwa wazoefu naombeni mnishauri nafanyaje.
Ahsante
nilishatapeliwa kwa styl hyo hyo kipind wametoa mobile payment nililambwa dollar 100 baad ya kuekewa perfect ilikuja tu ujumbe login from turkwey kumamake nikaachiwaga dolar 1 kwa akaunt had na leo siwez wasahau hao ni majambaz wa kimataifa888 Starz utapeli mwingi,ukiwala pesa kubwa vikwazo vingi kwenye kutoa.mda mwingine wanafreez Mobile payment
Sasa hapo mbona maelezo yako inaonesha ulitapeliwa kwa uzembe wakonilishatapeliwa kwa styl hyo hyo kipind wametoa mobile payment nililambwa dollar 100 baad ya kuekewa perfect ilikuja tu ujumbe login from turkwey kumamake nikaachiwaga dolar 1 kwa akaunt had na leo siwez wasahau hao ni majambaz wa kimataifa