Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Naona list imekamilika 😀
Kwani anabaka au anatongoza anapata mzigo?Hapo kwenye kuruti ni majaribu tu kwa mwanaume ase
Ndio una tongoz ila kurutu ana kukubalia ila apate mpoozo so wao wana tafsiri kama unyanyasaji so ikijulikana au uka kutwa nae una sex kazi hunaKwani anabaka au anatongoza anapata mzigo?
kwani kisheria wanakatazwa kuombana?
😁 niliwasahauVijana wa kiume wauza chipsi pembezoni mwa shule za wasichana
KabisaNdio una tongoz ila kurutu ana kukubalia ila apate mpoozo so wao wana tafsiri kama unyanyasaji so ikijulikana au uka kutwa nae una sex kazi huna
kumbe yalishawahi kutokea hayo?Kuruti ni wakuogopa kama ukoma
Watu wameacha vyeo, wengine wamevuliwa kombati sio poa
Yanatokea mara nyingi tukumbe yalishawahi kutokea hayo?