Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hayajampunguzia chochote wala kumuongezea chochote anaelezea tuu kuonyesha kuwa dini zote zinaamini sehemu moja.Wewe hayo mafundisho yamekusaidia nini na wasabato ambao hawakuyapokea yamewapunguzia nini?
Dini zinapumbaza sana watu.
Hiyo inaonyesha wasabato wapo flexible, wakielewa kitu wana changeWadau hamjamboni nyote?
Uzi maalumu wenye orodha ya mafundisho ambayo Wasabato hapo awali hawakuyakubali ila sasa wameyapokea kwa moyo mmoja
Wakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana (Yesu Kristo) na Mungu Roho Mtakatifu, nafsi tatu tofauti
Fundisho hili Wasabato wamelikubali miaka ya 80
Karibuni tupate ilimu
Tumsifu Yesu Kristo
Wakatoliki wanamwamini yesuw wa Israeli, japokuwa waisraeli hawamuamini yesu na wanamuita "muhuni muigizaji'(impostor), ...na ndo maana sheria ilimuhukumu .sasa nyie wakristo wa ifakara na vatikani italy na waisraeli wazawa wa Israeli Nani anaujua ukweli??😂Wadau hamjamboni nyote?
Uzi maalumu wenye orodha ya mafundisho ambayo Wasabato hapo awali hawakuyakubali ila sasa wameyapokea kwa moyo mmoja
Wakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana (Yesu Kristo) na Mungu Roho Mtakatifu, nafsi tatu tofauti
Fundisho hili Wasabato wamelikubali miaka ya 80
Karibuni tupate ilimu
Tumsifu Yesu Kristo
Let ushahidi wa huo usawa katika bibleWakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana (Yesu Kristo) na Mungu Roho Mtakatifu, nafsi tatu tofauti
Ndoa za jinsia moja😂Hiyo inaonyesha wasabato wapo flexible, wakielewa kitu wana change
wakatolik wamekubali nini siku za karibuni