Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Dawa za GSK PRODUCT (UK) Zina Bei juu pia ufanisi wake Ni mkubwa sanaaa...
Sio za GSK tu dawa yoyote yenye nembo ya GMP, shida inayokuja haya makampuni kwa bahati mbaya yote yamefunga operation zao direct hapa Tanzania hivyo kuliachia soko la dawa kutawaliwa na bidhaa kutoka India, Pakistan, bangaladesh na china hivyo tunapoelekea unaweza ukawa na pesa na still usipate GMP product maana hazitakuwepo sokoni.
Watu wengi wanapenda vitu vya Bei Chee hivyo makampuni makubwa bidhaa zao haziuziki
Ceftriaxone 1gm ya Europe 8000tsh while ya India 750tsh
Meropenem 1gm og 100,000tsh while from India 15,000
 
Mkuu unalijua gemu vyema 😊😊 pia MEPHA PRODUCT za Switzerland nazo Zina Bei juu

Pia Hata SUN products nazo sio hapaa Bei ipo juu

India product ndio Bei Chee Kama usemavyo..
 
kabisa aisee....

saa zingine hasa kwenye shida ya moyo mi naonaga ni kwasababu ya kung"ang"ana na vinyongo, visasi na manung"uniko yasio isha....

life style ni tiba mujarabu sana kwa magomjwa mengi ya binadamu...
 
 
Tena km hii Ceftriaxone, Meropenem and other antibiotics ndio zimechezewa sana na Wahindi. Nashangaa nchi hii kuruhusu below par medications kutawala soko huku zikiua figo na kufanya usugu wa vimelea nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…