Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Nafikiri alimaanisha hiyo SUN ya India. At least hao SUN na Cipla kwa kampuni za India wana afadhali. Ila kampuni nyingi za India zinatuletea dawa za hovyo huku kwetu. Msinikariri vibaya nimesema ni afadhali ukilinganisha na kanji bhai wengine
Nimefanya field hapo SUN PHARMA wapo vizuri sana, na ndio top and largest pharmeceutical industry india huko.

Dawa zao huku bongo naona zinakwenda sana, ila ajabu sana naona dawa zao wanazoleta huku, na wanazopeleka ulaya na marekani muonekano wa packaging boxes zake na contents ni tofauti kabisa, nafikiri kuna kitu ila basi tuu.

Juzi nimeona kuna dawa ya ulcers ya kampuni ya moja ya india, huku kwetu ipo madukani ila huko india ipo discontinued.
 
Hao Wahindi kwenye dawa hawana tofauti na Wachina kwenye bidhaa nyinginezo. Wanakupa according to your pocket. Ubora wa bidhaa wanazoexport USA ni tofauti na wanazoleta huku nchi za dunia ya waamini uchawi. After all huku kwetu mgonjwa asipopona hawezi kuwaza labda tatizo ni ubora wa dawa bali atawaza amelogwa au akimbilie kwa mtumishi
 
Saratani inatibiwa; inategemea imeshambulia sehemu gani ya mwili na imegnduliwa ikiwa katika ngazi gani. Nadhani saratani ngumu kutibiwa ni ile ya Ubongo, Mapafu na ya kongosho (pancreatic -kama sikukosea). Nyingine zote zinatibika zikingundulika mapema katika stage 1 au stage 2.

Halafu pia elewa neno kutibu maana yake ni kurefusha maisha, siyo kuzuia kifo. Hakuna kiumbe kitakachoishi bila kuonja mauti.
Hiyo ya kuzuia kifo ni yako wewe, najua kutibu mi kuondoa shida ya kimwili au kiakili, kama shida haiondoki maana yake haitibiki
 
NCD'S hazina tiba mkuu ya kukufanya ukae sawa moja kwa moja, lazima zikuache na defects tu. Wewe omba Mwenyezi Mungu akuepushie tu, HE IS ABLE na badili mtindo wa maisha.
 
Nimefanya field hapo SUN PHARMA wapo vizuri sana, na ndio top and largest pharmeceutical industry india huko.

Dawa zao huku bongo naona zinakwenda sana, ila ajabu sana naona dawa zao wanazoleta huku, na wanazopeleka ulaya na marekani muonekano wa packaging boxes zake na contents ni tofauti kabisa, nafikiri kuna kitu ila basi tuu.

Juzi nimeona kuna dawa ya ulcers ya kampuni ya moja ya india, huku kwetu ipo madukani ila huko india ipo discontinued.
Tatizo as a country tunapenda sana vitu vya bei rahisi na bure. Mungu atuongezee ridhki tuachane na vitu vya bei rahisi kwa kweli.
 
Back
Top Bottom