Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Kuna dogo kapona huo ugonjwa tena pale Kariuki Hospital na Yeye aliupata Comoro maana alipoenda kule Kuna chanjo hakuchanja, ugonjwa ukaanza kumsumbua na alihangaika sana mpaka dogo alikuwa anatamani kujiua lakini alipoenda Kariuki Hospital katibiwa na yuko fresh kapona kabisa na afya yake imerejea tena
 
Mhhh
 
Magonjwa mengi sana huwa yanatibika sema tu tatizo ni mfumo wetu wa kuwatambua na kuwapa support wataalam wetu hawa Waasili. Kuna Jamaa anatibu ukimwi kabisa na anaponyesha yupo Lushoto na ndugu zake wapo Kurutuni-Ukonga Dar es salaam na nimeshawahi kuonana na hao ndugu zake pale Kurutini. Tatizo ni kwamba Jamaa anaogopa hata kujitangaza kwa sababu anasema ukimwi ni mradi wa watu Wakubwa akijitangaza hadharani watamuua. Huwa anasaidia kimya kimya.
 
Dawa gani mkuu? Itaje kwa manufaa ya wengi humu ndani
 
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:

1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari

Ongezeeni mengine hapo
Lakini kwa Mungu yote yanawezekana, hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu, hakuna ugonjwa Mungu haponyi, haupo, hakuna kinachomshinda Mungu. Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Pia Zaburi imeandikwa, Eeh nafsi yangu umhimidi Bwana, Naam wala usisahau fadhili zake, akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote.

Wale walio na matumaini katika Bwana, amewatokea, wale wasio na matumaini katika Bwana hatawatokea na kuwaponya. Tumaini langu mimi binafsi ni kwa Bwana kwa maana ana uweza wa milele.
 
Kwahiyo wanaokufa kwa cancer wote Huwa hawamtumaini bwana si ndio manake?
 
Acha uongo na upotoshaji mkuu. Watu wangapi amewatibu walikuwa confirmed positive na sasa ni confirmed negative in three consecutive tests?
 
Acha uongo na upotoshaji mkuu. Watu wangapi amewatibu walikuwa confirmed positive na sasa ni confirmed negative in three consecutive tests?
Wapo kibao tu hataki kujitangaza maana ukimwi ni mradi wa watu Wakubwa, Wewe kama una mgonjwa sema tumtafute tuone kama mgonjwa wako hajapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…