Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Dawa gani iyo?
 
Na vikipona ntaweza tena kurudia kuwa na hasira, pilipili, pombe nk?
 
Mimi nasumbuliwa sana na tonsils(MAFINDOFINDO) msaada wa dawa nzuri naona humu Kuna watu mnajua sana dawa
 
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:

1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari

Ongezeeni mengine hapo
Muwe makini vijana kwenye uandishi. Heading inasema "HAYATIBIKI hapa Tanzania" content inasema "NI NGUMU SANA kutibika" rekebisha kimoja.
 
Acha kumuingiza Mungu kwenye shida za hapa duniani, Adam alishaharibu na ndio maana Kuna mashida kibao.
 
Daktari mwenyewe tangu ahitimu na kupewa ofisi hajawahi kushughulisha na kusoma magonjwa wanatibu kwa uzoefu. Ukipata Dr anayejisomea na kuchimbua vizuri atajaliwa na wateja mpaka akome hata kama yupo gvt jamii nzima itamjua.

Tatizo la kutoendeleza udadis kwa Tanzania ninkubwa sana kwa kada zote.

Nichagueni niwe Rais lazima Niwekeze sana kwenye research na technology.
 
TMDA wamelala usingizi, hii nchi ina dawa feki sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mtu alipata saratani akatibiwa na kupona anaeza kunywa pombe ?
 
Wapo kibao tu hataki kujitangaza maana ukimwi ni mradi wa watu Wakubwa, Wewe kama una mgonjwa sema tumtafute tuone kama mgonjwa wako hajapona

Ushuhuda unatakiwa utoke kwa mtu aliyepona na si wewe ambaye unasema watu kibao wamepona ,ilitakiwa useme mimi nimepona.
 
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:

1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari

Ongezeeni mengine hapo
4. HIV
5. Ugonjwa wa kutupiwa (uchawi)
6. Kuamini dini za watu wa nje (Uislam na Ukristu) - huu ni ugonjwa wa akili na wa kujitakia
 
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…