Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Kuuliza sio ujinga kwa faida ya wengi hizo CC, MC, TC na DC zinasimama baada ya nini yaani zinamaanisha nini? Ungeweka ufafanuzi kidogo
 
Kuuliza sio ujinga kwa faida ya wengi hizo CC, MC, TC na DC zinasimama baada ya nini yaani zinamaanisha nini? Ungeweka ufafanuzi kidogo
Cc: city council
Mc: manispaa
Tc : town council
DC : district council
 
We naye utakuwa una shida kichwa, Mkoa wa geita na simiyu ilikuwa wapi kama si Mwanza. Kumbuka kwasasa gdp ya mbeya na geita kuna gap kidogo sana. Je Geita ingekuwa bado ni sehemu ya Mwanza tungekuwa wapi kiuchumi?
Ttzo ni akili tu na kufatilia mambo... Mwanza na mbeya GDP ina tofauti ya 1. Kwa mwaka jana. 10 kwa 9. Geita na njombe, njombe yupo juu... Somiyu na songwe songwe mbali kbsa...

Mwanza haikuwah kohoa kwa mbeya enzi hizo wote hawajamengwa
 
Ivi unaongelea mbeya ya ndotoni au...???

Uwanja wa ndege ni upendeleo...??? Route za ATCL shauri ya uchache wa ndege ndio hazikua nyingi mbeya imekua na route nying za precision air na zamani kdg fast jet na ndio main route yao na huko walitoa takwimu na kupt local routes nying zaid kuriko kwingine ukitokea Dar.

Bypass mbeya haipo.
Vyuo vikuu mbeya ni majengo ya kikoloni mfn MUST. Na wingi wa vyuo mbeya kwasbb wakazi wao ni watu wa shule, yan shule mbeya ni issue ya miaka yote jamii yao inapenda usomi na inaamin ktk elimu.

Lkn vyuo vya serikali vyenye hadhi ya university vya serikali n 3. TIA, MZUMBE na MUST. lkn vyote hivyo vimewek kwny majengo ya kikolon toka enzi kbla ya uhuru.

Unasem mbeya hakun foleni...😂😂😂😂 nikukumbushe tu MBUNGENI waliongelea sn issue ya folen ya mbeya kuwa sio folen ya kawaud n mateso, ni mbeya tu ambako gari za abiria na za mizigo hupean masaa 3 ili kuepusha foleni isio na kifan. Yan unakaa kweny daladala masaa 3 mnapisha malori arafu ww umevimbiana huko unakuj kusem hakun foleni unaijua mbeya au unaharisha tu huko.

NHIF ukisem ina jengo refu zaid mbeya lbd kwasbb hujui lolote mzee... Mwaza ina majengo kila kona ya mifuko ya jamii arafu poa tu.

Naendelea kukumbusha soko la mwanjelwa sio soko kuu la mbeya soko kuu la mbeya lilikua uhindini ambako ni mwak wa 20 sasa hakun lolote n uwanja tu serikl inasem inajeng mall ya green city mall lkn ni simuliz. Soko la mwanjelwa ilikuj baada ya kuchomwa moto soko lililokuepo hivyo lile halikua plan ilikua lazm maan uhindin hakun na mwanjelwa imeungua haikua upendeleo.

Mbeya kutok uyole mpk mbaliz mpk hakun jengo lolote la serikali ni vituo vya police tu, hiyo uyole na mbaliz kwa asie jua pana KM 25. IN CITY na hakun jengo lolote la serikali zaid ya hospital arafu unasem mbeya inapewa upendeleo...

Tulia ackson aliwah kuhoji mbeya kunyimwa kbsa support na serikl na bila kuipa nafas ya upendeleo km majiji yanavyotakiwa kupikwa kwa kuzingatia sheria
 
Kwaiyo sumbawanga ilikua kwa baba ako sio....????
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]usirudie Tena kuandika hvi .sumbawanga ilikuwa mbeya wapi ...hata wa la Saba hawezi tapika uchafuu ...
 
Ttzo ni akili tu na kufatilia mambo... Mwanza na mbeya GDP ina tofauti ya 1. Kwa mwaka jana. 10 kwa 9. Geita na njombe, njombe yupo juu... Somiyu na songwe songwe mbali kbsa...

Mwanza haikuwah kohoa kwa mbeya enzi hizo wote hawajamengwa
Angalia hyo figure af undelee kuropoka takataka zako
 
Ukisema Kila mkoa ulalamike hatuwezi fika ... unaongea uongo uongo.eti ndege chache hamna route yenye wasafiri wengi wa ndani Kwa mashirika yote kama sio dar -mwanza ....
suala la kusema serikali haina majengo mbeya unachekesha ..jengo la cwt ,jengo la NHIF , nyumba za NHC ,kwamba hazipo mbeya au ..
Mbeya hata city status ilipewa tu kisiasa vigezo haijawahi fikia una lalamika nini ...
Iache
 
Oya mkuu yako mambo ww unafahm fika huijui mbeya wala vigezo vya jii huvijui kbsa.

Yan interaction ya mbeya kwa siku ni 1M people. Local people na globally..

Mbeya jiji budget yk inatosha miaka yote. CBD ya mbeya ni more than 25KM unajua kutok songwe mpk mjini ni 22km. Na kutok mjin mpk nsalaga ni 15km. Mbeya ni kubwa sn.

Achan na hizo sifa eti wakaz wasitegemee kilimo km chanzo cha mapato 🤣🤣🤣🤣🤣 ivi akili huna kwa kias hiki. Kipato ni kipato huwa hatutakiw kujua chanzo chk n dhahabu au ni korosho hayo sio muhim kun wakulim mbeya weng sn wanawazd kipato watu wa geita wa dhahabu mkuu
 
Figure zinaongea sio maneno..hata morogoro Ina mwingiliano mkubwa wa watu lakini sio jiji
Ukiniletea figure mbeya Ina watu hao milioni ..niite mbwa Niko hapa
 
Naona unanitajia Hadi vijiji sasa ....mbeya Ina anzia uyole ..inaisha hata mbalizi hufiki...
 
Vi
Viwanda mbeya ni vingi sana na ni mega one, sio vya kijinga jinga kama uwazavyo, TBL, CPS mbeya cement na vingne ving sana sanaaaaa sasa... Unataka nn zaid. Jiji la mbeya halitegemei kilimo tu pamoja na kuwa mkoa unasifik kwa kilimo. Anyway mapato ya mwanza pamoja na kupendelewa kote lkn inapumuliwa vema kbsa na mbeya na fresh tu kwa kigezo cha GDP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…