Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Figure zinaongea sio maneno..hata morogoro Ina mwingiliano mkubwa wa watu lakini sio jiji
Ukiniletea figure mbeya Ina watu hao milioni ..niite mbwa Niko hapa
Sio wakazi tumesema muingiliano mbona akili yako unaikunja kama kobe
 
K Kuna tajir gan mzawa kutokea kanda ya ziwa hapa nchin sio unaongea upuzi tu hata huerew nn maana ya nyanda za juu kusin
 
Sio wakazi tumesema muingiliano mbona akili yako unaikunja kama kobe
Basi kwenye vigezo vya kuwa jiji lazima uwe na wakazi laki 5 ..mbeya ilikuwa na wakazi laki 3 ..suala la muingiliano hata iringa Ina mwingiliano mkubwa wa watu na sio jiji
 
K
Kuna tajir gan mzawa kutokea kanda ya ziwa hapa nchin sio unaongea upuzi tu hata huerew nn maana ya nyanda za juu kusin
Unaongea porojo eti tajiri gani niambie kwa walio hai Kuna tajiri gani Top ten kutoka mkoa wako au mtanzania halisi yaani black ...

Hizo point unaleta za kishamba na kipuuzi !!
 
Hayo ni maoni yako
 
Basi kwenye vigezo vya kuwa jiji lazima uwe na wakazi laki 5 ..mbeya ilikuwa na wakazi laki 3 ..suala la muingiliano hata iringa Ina mwingiliano mkubwa wa watu na sio jiji
Ni laki moja mzee sio 5 kama unavyotaka ww
 
Unaongea porojo eti tajiri gani niambie kwa walio hai Kuna tajiri gani Top ten kutoka mkoa wako au mtanzania halisi yaani black ...

Hizo point unaleta za kishamba na kipuuzi !!
Sasa mbona makasiriko sijasema ulete wa top 10😂😂😂😂😂😂 nimesema taja tu hata mmoja maana tutajua tu hata kwa jina tutaweza kumjua
 
Sasa mbona makasiriko sijasema ulete wa top 10😂😂😂😂😂😂 nimesema taja tu hata mmoja maana tutajua tu hata kwa jina tutaweza kumjua
😅😅😅Leta wa kwenu au tuangalie google kama sio wa Asia tu toa ujinga kwenu hamna utajiri Kuna waganga njaa tu.
 
Ttzo ni akili tu na kufatilia mambo... Mwanza na mbeya GDP ina tofauti ya 1. Kwa mwaka jana. 10 kwa 9. Geita na njombe, njombe yupo juu... Somiyu na songwe songwe mbali kbsa...

Mwanza haikuwah kohoa kwa mbeya enzi hizo wote hawajamengwa
Mwanza trillion 11, mbeya trillion 8 Geita trillion 6 njombe triliion 2 songwe 1.5 trillion acha ushabiki wa kijinga.
 
Sifa ya jiji mapato yake yasitegemee kilimo lakini mbeya mashamba ndio mengi, then unataka kulinganisha na lijiji kubwa dubwasha kubwa kama la mwanza
 
Sasa mbona makasiriko sijasema ulete wa top 10😂😂😂😂😂😂 nimesema taja tu hata mmoja maana tutajua tu hata kwa jina tutaweza kumjua
Nitajie tajiri mweusi hapa Tanzania ukitoa wanasiasa kama kikwete n.k
 
Sasa mbona makasiriko sijasema ulete wa top 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesema taja tu hata mmoja maana tutajua tu hata kwa jina tutaweza kumjua
Mapenzi yako Kwa mbeya yasikifanye kuropoka ropoka
 
Mkuu hicho kigezo kwa mapato ya ndani kukitumia sio sahihi sababu,Majiji na mini kama Kwanza,Morogoro,Kahama,Mkuranga,Geita ,Mbeya,Chalinze mapato mengi yanatokana na viwanda ambavyo Watanzania sio wamiliki na mbaya zaisi mapato hayo yanarudishwa katika miradi ya kijamii sio ya kiuchumi.
Hapo sehemu yenye mzunguko mkubwa wa fedha ni Njombe,DSM,Dodoma,Arusha ambapo mapato hayo yanatokana na kazi za wananchi na sio viwanda.
 
Haaah mshamba mkubwa hujui nn unaongea nitajie mapato ya wananchi ya Arusha kama sio hotel za kitalii , ambazo ni mzunguko wa juu kwa juu mwanancho wa mwisho hamgusi

Mji pekee mapato yake yanatokana na nguvu za wananchi ni kilimanjaro ndo maana hamna maskini wengi. Arusha wengi maskini sana mno hali mbya hata zile hotel hawawezi kufika piga mahesabu Wana maukumbi ,mahotel makampuni ya kutalii ambayo wananufaika watu wachache tu
 
Inawezekanaje Chalinze ikaizidi Geita…

Soko la kodi inayokusanywa kwenye masoko ya dhahabu huu mkoa imejumuishwa..?
Je uwekezaji mkubwa wa migodi mikubwa ya GGM na wenzake imewekwa pia maana hizo 9b naona kama ni ndogo sana…

Kuna masoko na mji kama Katoro Geita na masumbwe nayo wamehesabu..

Sijaona kama kuna uhalisia hapa..
 
Naww hujitambui kabsa maana iyo chunya na kyela unazozisifia hapo kwamba ni Bora kuriko Rungwe
Kumbe huijui mbeya vizuri iv Kuna mwaka umewahi kuona kyela au chunya zimeipita Rungwe ya magharibi mapato bila ata kunchanganya ata na ile Rungwe mashariki
Jitafakiri kwanza ndo uandike mamb yako
 
Rungwe inapitwa vizuri tu.
 
Rungwe ni kisanga mkuu..... that's why iligomewa kupewa mkoa..ndipo ikapewa songwe....coz ilionekana ingeipunguzia mbeya

.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…