Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

mbona zanzibar haipo, mie naamini kwa miji yote tz. inazidiwa na dar tu???
 
Mapato ya TRA mkoa wa kilimanjaro ni wa tatu au wanne na hiyo ndo metrics nzuri alafu unasema ni mji uliokufa acha uongo

Hii ndo inakuonyesha mzunguko sahihi wa fedha angalia kilimanjaro hapo ni ya ngapi usiwe unaongea pumba mbele za watu
 
Endelea kuamini hivyo mpendwa ?
Watu wanaongelea miji we unaongelea mkoa ,by the way moshi manispaa kimapato hamna kitu halmashauri ya chalinze ipo juu kimapato kuliko moshi ,moshi iko overrated sana
 
Watu wanaongelea miji we unaongelea mkoa ,by the way moshi manispaa kimapato hamna kitu halmashauri ya chalinze ipo juu kimapato kuliko moshi ,moshi iko overrated sana
Mkoa wa kilimanjaro ukitoa moshi ni wilaya ipi ambayo ipo vizuri kati ya same, mwanga, rombo, moshi vijijini au siha usiwe unaongea kama mwehu

Ni mkoa wa tatu kwa mapato ya TRA baada ya dar es salaam na Arusha, unashughuli za kiuchumi nyingi

Na TRA ndo metrics nzuri
 
Dar
Mwanza
Arusha
Mbeya
Kahama
Kigoma
Morogoro
Iringa
Musoma
Geita etc
 
Wacha uongo.

Shughuli za kiuchumi zinapimwa na GDP ..sio TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha uongo.

Shughuli za kiuchumi zinapimwa na GDP ..sio TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nchi kama Tanzania GDP kamwe haiwez kupa clear picture kwa sababu ukusanyaji wa data ni mbovu kupita maelezo
Ndo maana tuna-rely na data za TRA ndo angalau zinaweza tupa clear picture

Hata sahivi utaambiwa uchumi umekua ila njoo huku mtaani uone hali ilivyo-kuna parameters nyingi wanazi-ignore wanapo calculate GDP kwa nchi maskini ndo maana haiwez kukupa full picture
 
Parameters zipi wanaziignore

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Kilimanjaro??? Angalia TRA 2022 walikusanya bilioni 227 wakati mwa nza na kuwa jini 222? Ila kuna sehemu zinasikitisha yaani Lindi na Katavi bilioni 6?? wanastahili kuwa mkoa???

Arusha
415,417.6
Coast96,596.1
Dodoma190,197.6
Iringa59,935.4
Kagera94,864.3
Kigoma19,210.7
Kilimanjaro227,430.7
Lindi6,503.6
Mara99,147.9
Mbeya73,300.4
Morogoro99,545.3
Mtwara54,972.4
Mwanza221,186.2
Ruvuma19,857.0
Shinyanga33,371.8
Singida11,876.2
Tabora21,613.9
Tanga206,260.8
Rukwa20,767.9
Manyara27,900.4
Kariakoo148,393.5
Geita34,370.0
Kahama16,103.4
Katavi7,142.5
Njombe26,540.5
Simuyu9,537.8
Songwe117,166.9
 

Kyela haipo wkt tuna boda kubwa pale?
Rungwe ipo mara 2 mbona?
Utafiti huu upuuzwe.
 
Kama watu wenye account bank hawafiki hata million 10 unapataje presicely gdp figure

GDP= Investment+saving+government spending+ (Export-import)
Unajuaje saving kama watu hawana bank account
Wanaangalia pesa zilizopo kwenye mzunguko.....kama wewe huna account.mwenye duka utayeenda kununua bidhaa ana account kama yeye Hana bas distributor aliyempa hzo bidhaa anayo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASHANGAA KWENYE ULE UZI WA KATORO NA KAHAMA

KUNA WAPUUZI WALIFANANISHA KAHAMA NA KATORO

NIMESIKITIKA SANAAA

UKWELI NI KUWA KAHAMA NI YA 8 HAPO ILA TUMEHUJUMIWA
 
Ebu zitafute takwimu za kimapato kupitia TRA halafu tuone kama utaongea kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…