MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Maji mawili yamejaa mpk sasa taifa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuamini hivyo mpendwa ?mbona zanzibar haipo, mie naamini kwa miji yote tz. inazidiwa na dar tu???
Mapato ya TRA mkoa wa kilimanjaro ni wa tatu au wanne na hiyo ndo metrics nzuri alafu unasema ni mji uliokufa acha uongoMoshi ni dead town, ilikuwa zamani enzi za Panjuani, Arawa hotel n.k mji ukishakuwa na masheria mengi fursa za biashara zinapotea unaendelea kubali hivyo hivyo, watafutaji wanakimbilia sehemu zilizo looz kwa biashara (la manyani) ninyi endeleeni na vibiashara vyenu vilivyopitwa na wakati vya karanga, ku brash viatu, na umachinga wa kutembea na mabango ya bidhaa halafu mkipata miatano mkanywe mbege ndio maendeleo yenu.
Endelea kuamini hivyo mpendwa ?
Watu wanaongelea miji we unaongelea mkoa ,by the way moshi manispaa kimapato hamna kitu halmashauri ya chalinze ipo juu kimapato kuliko moshi ,moshi iko overrated sanaMapato ya TRA mkoa wa kilimanjaro ni wa tatu au wanne na hiyo ndo metrics nzuri alafu unasema ni mji uliokufa acha uongo
Hii ndo inakuonyesha mzunguko sahihi wa fedha angalia kilimanjaro hapo ni ya ngapi usiwe unaongea pumba mbele za watu
Mkoa wa kilimanjaro ukitoa moshi ni wilaya ipi ambayo ipo vizuri kati ya same, mwanga, rombo, moshi vijijini au siha usiwe unaongea kama mwehuWatu wanaongelea miji we unaongelea mkoa ,by the way moshi manispaa kimapato hamna kitu halmashauri ya chalinze ipo juu kimapato kuliko moshi ,moshi iko overrated sana
Wacha uongo.Mkoa wa kilimanjaro ukitoa moshi ni wilaya ipi ambayo ipo vizuri kati ya same, mwanga, rombo, moshi vijijini au siha usiwe unaongea kama mwehu
Ni mkoa wa tatu kwa mapato ya TRA baada ya dar es salaam na Arusha, unashughuli za kiuchumi nyingi
Na TRA ndo metrics nzuri
kwa nchi kama Tanzania GDP kamwe haiwez kupa clear picture kwa sababu ukusanyaji wa data ni mbovu kupita maelezo
Parameters zipi wanaziignorekwa nchi kama Tanzania GDP kamwe haiwez kupa clear picture kwa sababu ukusanyaji wa data ni mbovu kupita maelezo
Ndo maana tuna-rely na data za TRA ndo angalau zinaweza tupa clear picture
Hata sahivi utaambiwa uchumi umekua ila njoo huku mtaani uone hali ilivyo-kuna parameters nyingi wanazi-ignore wanapo calculate GDP kwa nchi maskini ndo maana haiwez kukupa full picture
Kama watu wenye account bank hawafiki hata million 10 unapataje presicely gdp figure
| Achana na Kilimanjaro??? Angalia TRA 2022 walikusanya bilioni 227 wakati mwa nza na kuwa jini 222? Ila kuna sehemu zinasikitisha yaani Lindi na Katavi bilioni 6?? wanastahili kuwa mkoa??? Arusha | 415,417.6 |
| Coast | 96,596.1 |
| Dodoma | 190,197.6 |
| Iringa | 59,935.4 |
| Kagera | 94,864.3 |
| Kigoma | 19,210.7 |
| Kilimanjaro | 227,430.7 |
| Lindi | 6,503.6 |
| Mara | 99,147.9 |
| Mbeya | 73,300.4 |
| Morogoro | 99,545.3 |
| Mtwara | 54,972.4 |
| Mwanza | 221,186.2 |
| Ruvuma | 19,857.0 |
| Shinyanga | 33,371.8 |
| Singida | 11,876.2 |
| Tabora | 21,613.9 |
| Tanga | 206,260.8 |
| Rukwa | 20,767.9 |
| Manyara | 27,900.4 |
| Kariakoo | 148,393.5 |
| Geita | 34,370.0 |
| Kahama | 16,103.4 |
| Katavi | 7,142.5 |
| Njombe | 26,540.5 |
| Simuyu | 9,537.8 |
| Songwe | 117,166.9 |
Moja kwa Moja kwenye mada,
Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..
Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.
Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..
Figures are in Billions Tanzania Shilling.
1. Dar es Salaam CC=167.557
2. Dodoma CC=45.108,
3. Mwanza CC=27.688,
4. Arusha CC=24.333'
5. Tanga CC=17.392,
6. Mbeya CC=15.228,
7. Chalinze DC=10.240,
8. Mkuranga DC=10.011,
9. Kahama MC=9.957,
10. Morogoro MC=9.353,
11. Geita TC=9.024,
12. Tunduma TC =8.593,
13. Njombe TC=8.473,
14. Mufindi DC=8.232,
15. Moshi MC=7.570,
16. Tarime DC=6.718,
17.Mafinga TC=6.306,
18. Mbarali DC=6.241,
19. Rufiji DC=6.040,
20. Muleba DC=5.718,
21. Hanang' DC=5.655,
22. Mbinga DC=5.578,
23. Rungwe DC=5.521,
24.Kibaha TC=5.352,
25. Morogoro DC=5.268,
26. Geita DC=5.186,
27. Chunya DC=5.113,
28. Shinyanga MC=5.100,
29. Kilosa DC=5.093,
30. Iringa MC=5.018,
31. Kaliua DC=4.981,
32. Songea MC=4.912,
33. Ifakara TC=4.898,
34. Tabora MC=4.827,
35. Kilwa DC=4.779,
36. Mbeya DC=4.778,
37. Karatu DC=4.746,
38. Kibaha DC=4.664,
39. Msalala DC=4.634,
40. Misenyi DC=4.595,
41. Tandahimba DC=4.507,
42. Tanganyika DC=4.452,
43. Rungwe DC=4.421,
44. Tunduru DC=4.400,
45. Bagamoyo DC=4.322,
46. Singida MC=4.286,
47. Igunga DC=4.207,
48. Wanging'ombe DC=4.186,
49. Ngara DC=4.142,
50. Njombe DC=4.001..
My Take..
Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro, Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.[emoji116]
View attachment 2313627View attachment 2313628
Wanaangalia pesa zilizopo kwenye mzunguko.....kama wewe huna account.mwenye duka utayeenda kununua bidhaa ana account kama yeye Hana bas distributor aliyempa hzo bidhaa anayo ...Kama watu wenye account bank hawafiki hata million 10 unapataje presicely gdp figure
GDP= Investment+saving+government spending+ (Export-import)
Unajuaje saving kama watu hawana bank account
Kuna wenye maduka kibao hawana account huku mitaani na vijijiniWanaangalia pesa zilizopo kwenye mzunguko.....kama wewe huna account.mwenye duka utayeenda kununua bidhaa ana account kama yeye Hana bas distributor aliyempa hzo bidhaa anayo ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu zitafute takwimu za kimapato kupitia TRA halafu tuone kama utaongea kama hiviMoja kwa Moja kwenye mada,
Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..
Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.
Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..
Figures are in Billions Tanzania Shilling.
1. Dar es Salaam CC=167.557
2. Dodoma CC=45.108,
3. Mwanza CC=27.688,
4. Arusha CC=24.333'
5. Tanga CC=17.392,
6. Mbeya CC=15.228,
7. Chalinze DC=10.240,
8. Mkuranga DC=10.011,
9. Kahama MC=9.957,
10. Morogoro MC=9.353,
11. Geita TC=9.024,
12. Tunduma TC =8.593,
13. Njombe TC=8.473,
14. Mufindi DC=8.232,
15. Moshi MC=7.570,
16. Tarime DC=6.718,
17.Mafinga TC=6.306,
18. Mbarali DC=6.241,
19. Rufiji DC=6.040,
20. Muleba DC=5.718,
21. Hanang' DC=5.655,
22. Mbinga DC=5.578,
23. Rungwe DC=5.521,
24.Kibaha TC=5.352,
25. Morogoro DC=5.268,
26. Geita DC=5.186,
27. Chunya DC=5.113,
28. Shinyanga MC=5.100,
29. Kilosa DC=5.093,
30. Iringa MC=5.018,
31. Kaliua DC=4.981,
32. Songea MC=4.912,
33. Ifakara TC=4.898,
34. Tabora MC=4.827,
35. Kilwa DC=4.779,
36. Mbeya DC=4.778,
37. Karatu DC=4.746,
38. Kibaha DC=4.664,
39. Msalala DC=4.634,
40. Misenyi DC=4.595,
41. Tandahimba DC=4.507,
42. Tanganyika DC=4.452,
43. Rungwe DC=4.421,
44. Tunduru DC=4.400,
45. Bagamoyo DC=4.322,
46. Singida MC=4.286,
47. Igunga DC=4.207,
48. Wanging'ombe DC=4.186,
49. Ngara DC=4.142,
50. Njombe DC=4.001..
My Take..
Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro, Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.[emoji116]
View attachment 2313627View attachment 2313628
Kama hyo itakuwa ngumu ...hutumia formula ya kujumlisha thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa na kuuzwa ndani ya eneo husikaKuna wenye maduka kibao hawana account huku mitaani na vijijini
How kwa mifumo ipi iliyopoKama hyo itakuwa ngumu ...hutumia formula ya kujumlisha thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa na kuuzwa ndani ya eneo husika
Sent using Jamii Forums mobile app