Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Moshi ilitakiwa iweyamwisho kutokana nawazawa wa moshi kushindwa kuwekeza kwako naenda kuwekeza kwa wengine. Kwa sasa hivi watu wa moshi wamehasi kwao tofauti na henzi hizo wazee walikimbilia kuwekeza nyumbani maana walikuwa wanaitamikoa mingini ni porini kwaiyo walikuwa awawekezi uko zaidi ya kwenda kuchuma Mali na kurudi nyumbani ila kwa sasa mambo hayo ayapo kabisa
 
Dodoma siyo long run ,kwa sababu mapato meng yamechangiwa na ununuz wa viwanja,ujenzi,na weng walikimbilia huko kwa pupa kufungua biashara ,hivyo baada ya miaka mitano Dodoma itashuka sana ,Dodoma naona haina tofaut na timu ya geita gold,inapanda kwa matukio,kwa ushauri wangu sehemu yenye biashara nzuri na unaweza kudumu kwa mda mrefu ni Dar esalaaam,mwanza,mbeya,morogoro na arusha kwingine wanaenda kimatukio
Kwa hiyo huko long run vyote hivyo havitafanyika au sio? 😆😆😆😆
 
Dodoma siyo long run ,kwa sababu mapato meng yamechangiwa na ununuz wa viwanja,ujenzi,na weng walikimbilia huko kwa pupa kufungua biashara ,hivyo baada ya miaka mitano Dodoma itashuka sana ,Dodoma naona haina tofaut na timu ya geita gold,inapanda kwa matukio,kwa ushauri wangu sehemu yenye biashara nzuri na unaweza kudumu kwa mda mrefu ni Dar esalaaam,mwanza,mbeya,morogoro na arusha kwingine wanaenda kimatukio
Songea je
 
TRA hawatoi kiwilaya bali kimkoa,wakofanya update nitayaleta..

Mimi naamini mapato ya Halmashauri ndio kipimo sahihi kwa sababu sehemu kubwa ni shughuli za moja kwa moja za Wananchi badala ya mapato ya TRA ya migodi na mali asili za Nchi kama Utalii nk.
Kwa sasa Mwanza hakuna stendi wala soko sasa hayo mapato ya ndani yanatoka wapi?
 
Moja kwa Moja kwenye mada,

Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..

Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.

Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..

Figures are in Billions Tanzania Shilling.

1.Dar es Salaam CC=167.557

2.Dodoma CC=45.108,

3.Mwanza CC=27.688,

4.Arusha CC=24.333'

5.Tanga CC=17.392,

6.Mbeya CC=15.228,

7.Chalinze DC=10.240,

8.Mkuranga DC=10.011,

9.Kahama MC=9.957,

10.Morogoro MC=9.353,

11.Geita TC=9.024,

12.Tunduma TC =8.593,

13.Njombe TC=8.473,

14.Mufindi DC=8.232,

15.Moshi MC=7.570,

16.Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18.Mbarali DC=6.241,

19.Rufiji DC=6.040,

20.Muleba DC=5.718,

21.Hanang' DC=5.655,

22.Mbinga DC=5.578,

23.Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25.Morogoro DC=5.268,

26.Geita DC=5.186,

27.Chunya DC=5.113,

28.Shinyanga MC=5.100,

29.Kilosa DC=5.093,

30.Iringa MC=5.018,

31.Kaliua DC=4.981,

32.Songea MC=4.912,

33.Ifakara TC=4.898,

34.Tabora MC=4.827,

35.Kilwa DC=4.779,

36.Mbeya DC=4.778,

37.Karatu DC=4.746,

38.Kibaha DC=4.664,

39.Msalala DC=4.634,

40.Misenyi DC=4.595,

41.Tandahimba DC=4.507,

42.Tanganyika DC=4.452,

43.Rungwe DC=4.421,

44.Tunduru DC=4.400,

45.Bagamoyo DC=4.322,

46.Singida MC=4.286,

47.Igunga DC=4.207,

48.Wanging'ombe DC=4.186,

49.Ngara DC=4.142,

50.Njombe DC=4.001..

My Take..

Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro,Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.[emoji116]

View attachment 2313627View attachment 2313628
Chalinze inaizidi Kahama
 
mzunguko wa pesa unapimwa na vitu vifuatavyo -#
uwekezaji wa huduma za kifedha ..
..1 -dar es salaam Ina banki zote
2 Mwanza Ina benki 27
3 arusha Ina benki 24
4 Dodoma Ina benki 15
idadi ya watu wanaoingia na kutoka ndani ya mji
1 dar es salaam watu milioni 6
2 Mwanza watu milioni 2
3 arusha watu milioni 1
4 mbeya na Dodoma watu laki 8
idadi ya wafanya biashara wadogo na WA kati
1 dar es salaam at least 1 milioni
2 Mwanza at least laki 2
Idadi ya hotel na kumbi za starehe
1 dar es salaam
2 arusha
3 mwanza
NB mapato ya halmashauri sio kielelezo Cha mzunguko wa pesa katika mji Bali ni ishara ya uwezo wa halmashauri kujiendesha Kwa kutumia vyanzo vya ndani
 
Moshi ilitakiwa iweyamwisho kutokana nawazawa wa moshi kushindwa kuwekeza kwako naenda kuwekeza kwa wengine. Kwa sasa hivi watu wa moshi wamehasi kwao tofauti na henzi hizo wazee walikimbilia kuwekeza nyumbani maana walikuwa wanaitamikoa mingini ni porini kwaiyo walikuwa awawekezi uko zaidi ya kwenda kuchuma Mali na kurudi nyumbani ila kwa sasa mambo hayo ayapo kabisa
Pia wageni hawapati fursa sana mji ule inahitajika interaction kubwa kama Arusha maana pale moshi ardhi ni ishu kama sio mzawa
 
mzunguko wa pesa unapimwa na vitu vifuatavyo -#
uwekezaji wa huduma za kifedha ..
..1 -dar es salaam Ina banki zote
2 Mwanza Ina benki 27
3 arusha Ina benki 24
4 Dodoma Ina benki 15
idadi ya watu wanaoingia na kutoka ndani ya mji
1 dar es salaam watu milioni 6
2 Mwanza watu milioni 2
3 arusha watu milioni 1
4 mbeya na Dodoma watu laki 8
idadi ya wafanya biashara wadogo na WA kati
1 dar es salaam at least 1 milioni
2 Mwanza at least laki 2
Idadi ya hotel na kumbi za starehe
1 dar es salaam
2 arusha
3 mwanza
NB mapato ya halmashauri sio kielelezo Cha mzunguko wa pesa katika mji Bali ni ishara ya uwezo wa halmashauri kujiendesha Kwa kutumia vyanzo vya ndani
Mwakani lazima Mwanza mjambiwe na Arusha sio kwa mafuriko yanayoendelea ya Watalii kwa sasa..

Mwisho Arusha imetoa wapi watu mil.1? Pole Sana Mzee sensa ya Mwisho Dom ni namba 3 Kwa idadi ya watu hata kabla ya Serikali kuhamia,saizi ndio itakuwa kwenye mil.1.

Mwanza mil.2 mjini hawapo labda 1.2 na Mbeya hata laki 6 hawajafika labda kama Mbalizi ikihusika.
 
Haitokija tokea kabisa hao watu Arusha imetoa wapi porojo tu

Arusha kuja kuipiku mwanza bado sana maana ukija overall ya mapato Arusha itakuwa ya sita mwanza ya pili usifikirie kabisa Arusha ashindane na moro tu maana ni pale mjini kuliko bakia umaskini tu
 
Hvi unaelewa au ..nimesema watu wanaoingia na kutoka ..Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2012 mwanza ilikuwa na watu 700000 lakini watu waliokuwa wanaoingia mwanza na kutoka idadi hufikia milioni 1.5 Hadi milioni 2 ...
 
Haitokija tokea kabisa hao watu Arusha imetoa wapi porojo tu

Arusha kuja kuipiku mwanza bado sana maana ukija overall ya mapato Arusha itakuwa ya sita mwanza ya pili usifikirie kabisa Arusha ashindane na moro tu maana ni pale mjini kuliko bakia umaskini tu
😁😁 Haya maneno ndio mlikuwa mnajifariji nayo miaka na miaka sasa mnajambiwa na Dom..

Nimekwambia kwa msululu wa Watalii wa mwaka huu mtapitwa..

Mwaka 2020/2021 Arusha ilikusanya Bil.16 ila Utalii ulivyofunguka 2021/2022 wamepata bil.24 sasa unadhani mwakani itakuaje?

Hapo Mwanza mko humo humo Mika yote Yaani bil.22-27.
 
Mwakani lazima Mwanza mjambiwe na Arusha sio kwa mafuriko yanayoendelea ya Watalii kwa sasa..

Mwisho Arusha imetoa wapi watu mil.1? Pole Sana Mzee sensa ya Mwisho Dom ni namba 3 Kwa idadi ya watu hata kabla ya Serikali kuhamia,saizi ndio itakuwa kwenye mil.1.

Mwanza mil.2 mjini hawapo labda 1.2 na Mbeya hata laki 6 hawajafika labda kama Mbalizi ikihusika.
Hao watalii hawajaanza leo ..hii season ya utalii Kwa hyo usilete hoja mfu
 
😁😁 Haya maneno ndio mlikuwa mnajifariji nayo miaka na miaka sasa mnajambiwa na Dom..

Nimekwambia kwa msululu wa Watalii wa mwaka huu mtapitwa..

Mwaka 2020/2021 Arusha ilikusanya Bil.16 ila Utalii ulivyofunguka 2021/2022 wamepata bil.24 sasa unadhani mwakani itakuaje?

Hapo Mwanza mko humo humo Mika yote Yaani bil.22-27.
Unachekesha sana tupinge hatokuja kuipita mwanza hata miaka 20 ijayo
 
Back
Top Bottom