Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
IMG-20220910-WA0008.jpg
IMG-20220910-WA0009.jpg
 
Yaani Tanzania Usaniitupu, mtu anaanzisha ka biashara ka kijamii lakini ili ajulikane kisha atetee wanawake na atetee PEDI afu aje agombee ubunge CCM

Halafu mtegemee akili na nchi kuendelea,

Acha nioshe vyombo tu, maana unajua kabisa afya bure, elimu bure, maji safi, elimi safi
 
Failure is a proof that he has tried.

mimi binafsi siamini katika kugombea ,kuchaguliwa, kupendekezwa,au kuteuliwa.
nafasi ambayo inategemea maamuzi ya mtu mwingine kwa kweli sina imani nayo, bora kufanya mambo mengine tu, maana mwishowe itakubidi uwe unanyenyekea na kujipendekeza na matokeo yake ni aibu.
 
Raila ni mfano mzuri kwamba kuna mambo mtu anaweza kuyatamani sana kwenye maisha lakini asiyapate.

Wakati mwingine ni vyema tu kuridhika na ulicho nacho na kukifurahia.
Sema familia ya odinga omolo maana hata baba yake alikufa anasikitika kutokuwa Rais wa Kenya hata kwa siku moja
 
Umestahili Ndugu yangu ( japo wapo Wasaga Kunguni hapa JamiiForums ila siyo Mimi MINOCYCLINE ) kutwa hawakutakii Mema.

Nichukue nafasi hii Kukupongeza Ndugu yetu na Genius JamiiForums nzima kwa kuwa Shortlisted huko na CCM hivyo tunaokupenda na kuwachukia wale Wasaga Kunguni hapa JamiiForums wanaokuandama Kutwa tunakutakia Kila Ia Kheri.

Hakika Ndugu Pascal Mayalla ile Michango yetu Kwako imelipa na Baraka zaidi Kwako hadi kupelekea CCM Kukuona unafaa na Kukuteua kuwa Mmoja wa Wagombea wa CCM huko EALA.

Ni Matumaini yangu Mteuliwa Pascal Mayalla kwakuwa kule Kawe ulipotia Nia ndani ya CCM ulipata Kura Moja ( 1 ) tu ninaamini huku Kwingine utazoa Kura zote za Wapiga Kura (Wajumbe) kwani ukishakuwa tu Wakili Msomi hakuna wa Kukukataa na Kukupinga popote pale ukizingatia Wewe ni Maarufu, Mwanahabari Mkubwa na Mwana JamiiForums Mwerevu kushinda Wote.

Hongera sana kwa Kuaminiwa CCM.
 
Wacha weeee hongera zake.
Ila watu mna maneno ati alipata kula moja? Anyway wananchi hawapendi watu wasomi ndo maana unakuta mbunge ni form 4B karan wake au dereva wake ana degree.

Sasa tunawasubiri wasomi wetu walioko bungeni kama watamfanyia unafiki
 
Umestahili Ndugu yangu ( japo wapo Wasaga Kunguni hapa JamiiForums ila siyo Mimi MINOCYCLINE ) kutwa hawakutakii Mema...
Napenda nimuulize mkuu Paskali,hivi Kuna mtoto yoyote ambaye mzazi wake aliwahi kuwa kada,au kiongozi mkubwa kwenye "ccm"ambaye yupo vyama vya upinzani?au kuhama ccm,ni ngumu maana ndio kwenye ulaji?
 
Umestahili Ndugu yangu ( japo wapo Wasaga Kunguni hapa JamiiForums ila siyo Mimi MINOCYCLINE ) kutwa hawakutakii Mema.

Nichukue nafasi hii Kukupongeza Ndugu yetu na Genius JamiiForums nzima kwa kuwa Shortlisted huko na CCM hivyo tunaokupenda na kuwachukia wale Wasaga Kunguni hapa JamiiForums wanaokuandama Kutwa tunakutakia Kila Ia Kheri.

Hakika Ndugu Pascal Mayalla ile Michango yetu Kwako imelipa na Baraka zaidi Kwako hadi kupelekea CCM Kukuona unafaa na Kukuteua kuwa Mmoja wa Wagombea wa CCM huko EALA.

Ni Matumaini yangu Mteuliwa Pascal Mayalla kwakuwa kule Kawe ulipotia Nia ndani ya CCM ulipata Kura Moja ( 1 ) tu ninaamini huku Kwingine utazoa Kura zote za Wapiga Kura ( Wajumbe ) kwani ukishakuwa tu Wakili Msomi hakuna wa Kukukataa na Kukupinga popote pale ukizingatia Wewe ni Maarufu, Mwanahabari Mkubwa na Mwana JamiiForums Mwerevu kushinda Wote.

Hongera sana kwa Kuaminiwa CCM.
We Sasa unataka uchawa kwa mayalla, yaani unathubutu kusema mayalla ni mwerevu kushinda woote humu Jf??

Binafsi simjui vizuri huyu mtu siwezi sema chochote hapa ila kama yuko vzuri Basi kila lakheri.

Ila aachane na ile tabia yake yakujifanya yeye ndo yeye (hili alilisema mwenyewe nahisi baada ya kuitwa huko dodoma).
 
Back
Top Bottom