Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kumbe ni dongo!Ni Matumaini yangu Mteuliwa @Pascal Mayalla kwakuwa kule Kawe ulipotia Nia ndani ya CCM ulipata Kura Moja ( 1 ) tu ninaamini huku Kwingine utazoa Kura zote za Wapiga Kura ( Wajumbe ) kwani ukishakuwa tu Wakili Msomi hakuna wa Kukukataa na Kukupinga popote pale ukizingatia Wewe ni Maarufu, Mwanahabari Mkubwa na Mwana JamiiForums Mwerevu kushinda Wote.
HajateuliwaIle dharau ya cheo cha U District Commissioner pengine imechangia.
Others are Sadists by nature Okay?Hata kama unachukia mtu Kwa sababu yeyote ile na hajakufanyia ubaya wowote wewe binafsi, hauwezi kuwa na chembe ya huruma au ubinadam hata kidogo?
Kwa ufupi, usifurahie anguko la binadam mwenzako, hasa kama hajakufanyia chochote kibaya ( Kwa wakomavu hata kama umekosewa, ubarikiwe tu).
You are right sir!Others they are Sadists by nature Oky?
Ww mtu ndumila kuwili, anajiongeleshaongelesha tu bila sababu za msingi...nani amteue? Labda sio CCM ninayoifahamu mm, mwaka 2018 mwishoni..nilimpenyezea issues flani ya uteuzi kupitia Id nyingine...asee alijibu hovyo mpaka wazee wakasema Cancel hilo jina,Dah kumbe ni dongo!
Bunge limejaa akina babu Tale. Namshauri role model wangu Pascal Mayalla atakapopewa muda wa kujinadi aongee kwa maneno laini (aepuka kutumia maneno magumu). Ili akina babu Tale waambulie kitu.Wacha weeee hongera zake.
Ila watu mna maneno ati alipata kula moja? Anyway wananchi hawapendi watu wasomi ndo maana unakuta mbunge ni form 4B karan wake au dereva wake ana degree.
Sasa tunawasubiri wasomi wetu walioko bungeni kama watamfanyia unafiki
Ana ujuaji mwingi sana, akamtafute Mzee Mdee aendelee na project yao ya kuwasafisha,Kuna Siku alianzishiwa Uzi hapa ambao ulikuwa ni wa Kimkakati na Mtego Kwake baada ya Watu wake wa karibu ambao Wawili wapo Kitengo Kumsoma kuwa alikuwa na Hasira na Mamlaka inayomilikiwa na CCM yake na Yeye Kichwa Kichwa akauachangia ule Uzi na kusema Kauli ambayo ndiyo Imemmaliza na Kumgharimu ya kusema Yeye hana Hadhi ya kuwa Mkuu wa Wilaya ( DC ) kutokana na Elimu yake Kubwa na kuwa Mwerevu ( Intelligent ) kuliko Wana JamiiForums na Watanzania wote.
Alitegwa patamu tu nae akajaa pia.
Endelea ndg Pasco kuuimarisha upinzani indirect ktk JAMII, KAZI hiyo ni kubwa.Umestahili Ndugu yangu ( japo wapo Wasaga Kunguni hapa JamiiForums ila siyo Mimi MINOCYCLINE ) kutwa hawakutakii Mema.
Nichukue nafasi hii Kukupongeza Ndugu yetu na Genius JamiiForums nzima kwa kuwa Shortlisted huko na CCM hivyo tunaokupenda na kuwachukia wale Wasaga Kunguni hapa JamiiForums wanaokuandama Kutwa tunakutakia Kila Ia Kheri.
Hakika Ndugu Pascal Mayalla ile Michango yetu Kwako imelipa na Baraka zaidi Kwako hadi kupelekea CCM Kukuona unafaa na Kukuteua kuwa Mmoja wa Wagombea wa CCM huko EALA.
Ni Matumaini yangu Mteuliwa Pascal Mayalla kwakuwa kule Kawe ulipotia Nia ndani ya CCM ulipata Kura Moja ( 1 ) tu ninaamini huku Kwingine utazoa Kura zote za Wapiga Kura (Wajumbe) kwani ukishakuwa tu Wakili Msomi hakuna wa Kukukataa na Kukupinga popote pale ukizingatia Wewe ni Maarufu, Mwanahabari Mkubwa na Mwana JamiiForums Mwerevu kushinda Wote.
Hongera sana kwa Kuaminiwa CCM.