Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

CCM ili uweze kupenya kwenye teuzi unahitaji mambo manne, yote kwa pamoja au moja kati yao.

1.Unahitaji mbuyu mnene sana. anaweza kuwa mama, baba, mjomba, Mume, mke, babu, mshikaji ambaye unazijua skeletoni zake, au mtu yeyote wa karibu anayeweza kufoward kimemo cha jina lako hata mara 50 bila kuchoka. Anapaswa kuwa mtu mwenye maslahi ya moja kwa moja na wewe.

2.Unahitaji kuwa kada -mafia ambaye watakutumia kwa dili zao chafu, hapa mifano yao ni mingi sana kama bwana tozo ndiko alikotokea.

3. Unahitaji kuwa na ushawishi kwenye jamii hasa ukiwa kijana, humu wametokea akina Kihongosi, Jojo, Teresia etc. Japo hawa ni wachache.

4. Unahitaji kuwa threat kwao, hapa formula ni moja tu ukifuatwa mara moja ili ufike bei usiringe, ukiringa wanakupotezea, na ukijibu kwa ujeuri unakua umetangaza vita rasmi watadeal na wewe sambamba. Ukifuatwa ukadengua halafu kuna siku ujaribu kuomba nafasi watakufungia vioo kama hawakujui sababu wanakua wameshapata uhakika kuwa huko uliko huna meno tena.

Mf. katika hili, yule kaka yetu mwenye ushawishi ambaye ni mbongo fleva alifuatwa 2020 kwamba bwana we huko kwenu hakuna atakayetoboa hata mmoja, Timka upewe nafasi huku, kaka alijua hata wote wakipigwa chini yeye atapeta sababu hana ubaya wala mikwaruzano na "wengi", Matokeo yake akapigwa chini kwenye uchaguzi, akawarudia washikaji zake ambao walitumwa wamshawishi atimke, wako mjengoni mweupe kitengo cha mawasiliano ya umma (sio hawa wa front, ni wa nyuma ya pazia) akawaambia nichekieni mchongo, washkaji wakamfuata mzee, mzee aliwavalia miwani ya mbao, ikabaki historia. Chama hakijui kama mfuasi wao alisaliti chini ya maji, wanamtambua kama ni mmoja wa wale waliogoma kusaliti. NB: Simzungumzii sugu, sababu sugu ni kati ya wale waliokaza nga! nga! nga!

Somo kwa watafuta nafasi, kujipendekeza pekee hakutoshi, wanaojipendekeza ni maelfu kwa maelfu, kwanini uwe wewe?
 
Pascal endelea kutuelimisha kuhusu faida na fursa za EAC kupitia bunge letu la Wananchi hapa JF , naamini CCM watatumia makala zako kama kigezo cha maswali kwa wagombea wa nafasi ya ubunge EALA:

 
Ni jambo lililo dhahiri JF kuna watu ni wachawi kamili ila walichokosa ni vitendea kazi tu.

Hivi kufurahia mwenzako anapokosa kitu kama siyo uchawi ni nini?

Ila hakika nawaambieni mtu mwenye uthubutu ipo siku atafanikiwa Kwa njia yoyote ile.

Kuna siku hapa mnaomchukia Pasco mtaona press release kutoka mawasiliano ikulu hamtoamini macho yenu.

Makonda alimdharau sana huyu Katibu mkuu wa Ccm kipindi cha ufalme wao, Leo baba kafa na jamaa ndio Mtendaji mkuu wa Ccm Makonda hajachukuwa fomu ya kuomba nafasi yoyote Kwa sababu anajuwa kifuatacho ITV.

Tuishi Kwa unyenyekevu hakuna aijuwaye kesho.

Uchawi aliuanza yeye mwenyewe, back then hakuna mtu alikua ana kinyongo na yeye

Swala la kumsifia Bashite na yale alikua akifanya yeye anasema ni kwa mkono wa Mungu.

Swala la Kabendera, hadi yule mama akafa

Aanze yeye kuuacha uchawi
 
Back
Top Bottom