MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
CCM hawakuteui kama wanajua kuwa ni Mnafiki halafu na Dossier yako wanayo tena inaonyesha hutokuwa na Msaada wa Kisiasa na Kiutendaji Kwao au hata kwa Nchi ( Taifa )Bunge limejaa akina babu Tale. Namshauri role model wangu Pascal Mayalla atakapopewa muda wa kujinadi aongee kwa maneno laini (aepuka kutumia maneno magumu). Ili akina babu Tale waambulie kitu.
Mwenyezi Mungu huangalia pia wa Kuwatendea hayo Mema na si kila Mtu ( hata Hypocrite, Flatterer and a Pimp ) atamtendea tu na huyo atakayetenda hivyo atakuwa ni mungu na siyo Mungu huyu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo ambaye nami MINOCYCLINE namuabudu halafu ananipenda, ananilinda na ananibariki sana tu.Hongera sana Pascal.
Ninaamini Mwenyenzi Mungu atatenda
Kayataka. Wakikutaka watakupata!!!!Amekusikia, msameheni na yeye ana watoto jamani, dah CCM mbona mna vinyongo sana?
Yaani Uidharau na Uitukane Mamlaka ( inayoimiliki CCM ) halafu ikuteue tena EALA? Inakuogopa na Miwani yako kama Kobe au?Mkiambiwa CCM ina wenyewe hamuelewi. Again pole sana mkulu. Kalee wajukuu tu sasa.
Tunaenda na Maghembe 💪💪Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
View attachment 2351963
MY TAKE;
Pascal Mayala hayumo tena.
Pasco Kaa hapo hapo, nakumbuka Ulisema hukugombea kuomba huruma ya mtu Bali uwezo.Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
View attachment 2351963
MY TAKE;
Pascal Mayala hayumo tena.
Pascal ni mpinzani, anasaidia upinzani ujitambue kuchukua Dola, hapo anafanya vizuri.Mayala ni kichwa ila jana nilisema hawezi kula keki ya nchi hii kamwe maana post zake zimekaa kifasihi sana.anaonekana ni mwana CCM ila ukimsoma between the line utagundua ni mpinzani.wenye akili tu ndio huwa wanamuelewa
Ukijipendekeza huwa unakosa Sifa ya kuwa kiongozi
Kabisa ndugu yangu. Ukijiingiza kwe ye siasa "chombo" chako kitaoshwa na kusuguliwa.Acha nioshe vyombo tu,