Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

True,
Halafu tuna mawazo ya Tz ya viwanda,

Tutaishia kuvichora kwenye makaratasi.
lol.
 
Mkuu weka top 10 ya Id zinazoandika na kujibu "Pumba" katika "comments" zao
 
kuna watu mna tabia ya kupenda vibovu, asa list gani mbovu ivo

japo umetutaka kutoa list zetu ila iyo list yako ni mbovu sana. nenda jukwa la intelligence uone wanavyo tupia madude ya maana.
Hata haya majukwaa mengine yana umuhimu sana tu
 
Watu wanapenda sana mada za mapenzi,kuchekesha nadhani zinawapunguzia mawazo
 
Unamuachaje



The bold


Ontario




Na mimi ntaanza baada ya miaka miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…