Orodha ya mataifa yenye jeshi lenye nguvu kubwa duniani

Orodha ya mataifa yenye jeshi lenye nguvu kubwa duniani

Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani:

1. USA
2. Israel
3. Russia
4. China
5. India

Ukraine hayupo kabisa asee
 
Mkuu unatumia criteria zipi kutathimini nchi zenye majeshi yenye nguvu duniani?
 
Hivi inakuwaje Russia anayewahenyesha NATO wote Pamoja na EU azidiwe na USA half na Israel et?
Bomu lilipotua Poland
Russia ; let me tell you something let me tell you something
 
Bomu lilipotua Poland
Russia ; let me tell you something let me tell you something
nye nye nyeee....wakati majero wa nato na marekani wanakufa huko ukraine kila siku ......alafu unasema russia anawaogopa poland ....
Em angalia hiyo polanda russia ameipiga mara ngapi...?
View attachment 2650215
 
Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani:

1. USA
2. Israel
3. Russia
4. China
5. India

Futa Russia weka UK, France au hata Germany.......huyu Russia hana lolote.
T14 Armata
 
duh aiseee
.
20230429_115906.jpg
 
Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani:

1. USA
2. Israel
3. Russia
4. China
5. India

1. USA
2. China
3. Russia
 
Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani:

1. USA
2. Israel
3. Russia
4. China
5. India

1. USA
2. China
3. Russia
Futa Russia weka UK, France au hata Germany.......huyu Russia hana lolote.
T14 Armata
Vigumu sana kupanga top 10 maana unazingatia vitu vingi na makadirio mengine si lazima yatokee vilevile. Ila top three ni USA, China na Russia.
Wanaojazia wengine bila kufuata rank ni France, UK, India, Germany, Turkey, Israel, Canada, Japan, South Korea na Iran.

Miaka mitatu ijayo Poland atakuwa amepanda sana nafasi na vita ikiisha Ukraine atakuwa kwenye 15 bora. Iran ikiendelea na uwekezaji wake itapanda zaidi. Canada inaweza shuka, South Korea wako serious.

North Korea itabebwa na nukes baadae sio sasa, hata hivyo haipo na haitokaa iwe juu. Kuwa mpiga mikwara maarufu na kuwa mpiganaji maarufu ni vitu viwili tofauti.
 
Vigumu sana kupanga top 10 maana unazingatia vitu vingi na makadirio mengine si lazima yatokee vilevile.
Kama unaongelea wingi wa askari (active and reserve troops) , hawa lazima waongoze ukijuimuisha na India.

Ila tukiongeza vingine kama uchumi wa kuhimili Vita, logistics chain, teknolojia huenda akabakia US pekee na rank nyingine zikagombewa.
 
Hiyo ni website unaweza tengenezewa bure ukilipia domain name na hosting, chini ya laki hapo. Hata Musiba alipewa mitambo ya magazeti yanachapisha
Ha haa,unamkumbuka "bi mchele" mpaka Leo nacheka ,sijui uliwaza Nini kuyaandika Yale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230430_093851.jpg
 
Mnaposoma muwe mnaangalia chanzo cha habari sio mnakaa tu kulaumu mleta mada hasa pale mnapoona orodha inapingana na matakwa yenu.
 
Propaganda hizo!
Ya kwangu:
1,Russia.(sababu anapigana na Mataifa yote ya Nato akiwemo mfadhili.) Maana hizo siraha Waukraine hawajuhi kuzitumia hivyo yapo Majeshi ya wafathili wa Vita.
2, UK. (INTEREJENSIA YAKE NA ASKARI WA NCHI KAVU WANAJITAHIDI SANA IJAPOKUWA BUDGET YAO NDOGO.
3,USA ( WANAJESHI WANATAKIWA KUWA NA NIDHAMU ILA HAWANA NIDHAMU PIA MIUNGONI MWAO WALIOBADIRISHA JINSIA NI WENGI, MASHOGA WENGI.) WANABEBWA NA KIKOSI CHA ANGA NA BUDGET KUBWA DUNIANI. JESHI HALINA UWEZO KUPIGANA ZAIDI YA MASAA 4. ILA WARUSI NA WAINGEREZA HATA MASAA 10 WANAWEZA.
5, ISRAEL NA INDIA WAPO NAFASI MOJA.
 
Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani:

1. USA
2. Israel
3. Russia
4. China
5. India


Nakuliza swala mtoa mada

Endapo israel angeivamia ukraine alafu ukraine asaidiwe na Nato countries + usa pia israel iwekeze vikwazo lukuki na nato countries + usa,

Swali; unafikiri israel bado angekua na nguvu ya kupigana na ukraine mpaka sasa?
 
Nakuliza swala mtoa mada

Endapo israel angeivamia ukraine alafu ukraine asaidiwe na Nato countries + usa pia israel iwekeze vikwazo lukuki na nato countries + usa,

Swali; unafikiri israel bado angekua na nguvu ya kupigana na ukraine mpaka sasa?
badili swali,
sema ingekua marekani kaivamia Mexico alafu mexico asaidiwe na nchi zote (uk, france, russia, germany, italy, spain,), alafu hapo hapo apigwe vikwazo asiweze kama alivyopigwa russia.... je US angeendesha vita kwa zaidi ya miez 5???
 
Back
Top Bottom