zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
badili swali,
sema ingekua marekani kaivamia Mexico alafu mexico asaidiwe na nchi zote (uk, france, russia, germany, italy, spain,), alafu hapo hapo apigwe vikwazo asiweze kama alivyopigwa russia.... je US angeendesha vita kwa zaidi ya miez 5???
Ilo pia badili mpe hili
Marekani na nato yake walipotaka kumtoa rais Assad wa Syria mrusi akaingilia mpk saiv Assad yuko madarakan au lah.na alipotaka kuivamia cuba [emoji1083] mrusi akaingia tena [emoji23]nn kilihappen pande zile,saiv mrusi kaingia ukraine kwann marekani isilipize kisasi kwa kuingia Ukraine kumzuia urusi kama mrusi alivomzuia mara kadhaa???