Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

Joined
Oct 1, 2026
Posts
8
Reaction score
63
1.Ameir nahd & family
OILCOM
WATERCOM

2.Yogesh manec
MAC GROUP

3.Atul Mittal & family
MOUNT MERU GROUP

4. Karmali family
GF GROUP of companies

5.Rehamtullah habib
SATURN CORPORATION Ltd
AM PM logistics

6.Rajabali family
PLASCO limited
MEGAPIPE SOLUTIONS
INVESTMENT

7.Seif A. seif
SUPER GROUP
Kagera sugar
Mtibwa sugar

8.Salum khamis salum
JAMBO GROUP of companies

9.Fuad Edha nahdi
AZANIA GROUP of companies

10.Badar sood
GULF BULK PETROLEUM (GBP)

11.Altif mansoor
MOIL ENERGIES
SYNERGY Tanzania Co.ltd

12.Ezzy family
AFRICAB GROUP

13.Shaffin jamal
UNION TRUST INVESTMENT (UTI)

13.zakaria family
MURZAH WILMAR EAST AFRICA

14.Turky family
VIGOR GROUP of companies

Na wafanya biashara hawa wote kampuni zao zina mapato yanayozidi bilioni 500 kwa mwaka

Orodha hii bado ina muendelezo wa matajiri wengine wakimya
 
1.Ameir nahd & family
OILCOM
WATERCOM

2.yogesh manec
MAC GROUP

3.Atul Mittal & family
MOUNT MERU GROUP

4. karmali family
GF GROUP of companies

5.Rehamtullah habib
SATURN CORPORATION Ltd
AM PM logistics

6.rajabali family
PLASCO limited
MEGAPIPE SOLUTIONS
INVESTMENT

7.Seif A. seif
SUPER GROUP
kagera sugar
mtibwa sugar

8.Salum khamis salum
JAMBO GROUP of companies

9.Fuad Edha nahdi
AZANIA GROUP of companies

10.Badar sood
GULF BULK PETROLEUM (GBP)

11.Altif mansoor
MOIL ENERGIES
SYNERGY Tanzania Co.ltd

12.Ezzy family
AFRICAB GROUP

13.Shaffin jamal
UNION TRUST INVESTMENT (UTI)

13.zakaria family
MURZAH WILMAR EAST AFRICA

14.turky family
VIGOR GROUP of companies

na wafanya biashara hawa wote kampuni zao zina mapato yanayozidi bilioni 500 kwa mwaka

orodha hii bado ina muendelezo wa matajiri wengine wakimya
MFUMO ISLAM🤣
 
Wahindu, Kumbaru, Shia na waarabu.
Familia zao zilifika Afrika wakiwa marofa lakini uchapakazi wao na nidhamu ya pesa vimewafanya wamiliki ukwasi wa kutupa.
Watu weusi tumeweka rehani vipato vyetu ili kufurahisha mikuyenge.
Tumebaki na chuki dhidi ya Walionacho.
 
Wahindu, Kumbaru, Shia na waarabu.
Familia zao zilifika Afrika wakiwa marofa lakini uchapakazi wao na nidhamu ya pesa vimewafanya wamiliki ukwasi wa kutupa.
Watu weusi tumeweka rehani vipato vyetu ili kufurahisha mikuyenge.
Tumebaki na chuki dhidi ya Walionacho.
Huwezi kuamini nimesoma na Nilesh Suchak Zanaki Primary mpaka la saba tumemaliza wote, na tumewahi kwenda mpaka kwao, walikuwa pale Livingstone kwenye nyumba ya tope tu imepigwa ripu.
 
Mababu na mababu zao waliwakuta mnatembea uchi na mnakula mizizi
Kwa hiyo kuweni wapole tu Wamewapa raslimali zetu.

Kwakuwa babu zetu hawakuwa wakijua lolote kuhusu mali, ustawi nk wamewapa bure raslimali zetu.

Baba zetu nao wakawapa zabuni za serikali, sisi wajukuu tumebakia molofa walalamishi,😇😇
Hiyo ndiyo Afrika.😏😏
 
Back
Top Bottom