Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
NomaWahindu, Kumbaru, Shia na waarabu.
Familia zao zilifika Afrika wakiwa marofa lakini uchapakazi wao na nidhamu ya pesa vimewafanya wamiliki ukwasi wa kutupa.
Watu weusi tumeweka rehani vipato vyetu ili kufurahisha mikuyenge.
Tumebaki na chuki dhidi ya Walionacho.