ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Inaumiza sana kuona matajiri ni wahindi na Waarabu pekee.Sisi weusi sijui tumechagua njia gani au kifumo yetu ya Malezi inasabanisha tushindwe kurithisha vizazi vyety Utajiri au tunaweza kwenye mambo ya Elimu ambayo hayaleti Utajiri?1.Ameir nahd & family
OILCOM
WATERCOM
2.yogesh manec
MAC GROUP
3.Atul Mittal & family
MOUNT MERU GROUP
4. karmali family
GF GROUP of companies
5.Rehamtullah habib
SATURN CORPORATION Ltd
AM PM logistics
6.rajabali family
PLASCO limited
MEGAPIPE SOLUTIONS
INVESTMENT
7.Seif A. seif
SUPER GROUP
kagera sugar
mtibwa sugar
8.Salum khamis salum
JAMBO GROUP of companies
9.Fuad Edha nahdi
AZANIA GROUP of companies
10.Badar sood
GULF BULK PETROLEUM (GBP)
11.Altif mansoor
MOIL ENERGIES
SYNERGY Tanzania Co.ltd
12.Ezzy family
AFRICAB GROUP
13.Shaffin jamal
UNION TRUST INVESTMENT (UTI)
13.zakaria family
MURZAH WILMAR EAST AFRICA
14.turky family
VIGOR GROUP of companies
na wafanya biashara hawa wote kampuni zao zina mapato yanayozidi bilioni 500 kwa mwaka
orodha hii bado ina muendelezo wa matajiri wengine wakimya