Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

Hivi wewe unajuwa binadamu anavyotakiwa kuishi?

Ingia hata ChartGtp uliza sumu ya kuuwa paka uone kama utajibiwa.
This content was flagged for possible biological safety risk

Did we get it wrong? Please tell us by giving this response a thumbs down and then try rephrasing your request. You can read more about our approach in our .....
 
Sasa akitokea mmja wenu akadai chake na akaenda mahakamani mtagawana.

Lakini jambo la msingi Mali zijengwe msingi wa wengine kuendelea zaidi
Haujanielewa na siwezi kukuelewesha, sisi hatujazaliwa kama panya, ni ndoa ya mke mmoja na tuko wachache tu, hatuna cha kugombea mama yuko hai na watoto wote walipewa kila mtu nyumba yake mzee akiwa hai.

Hakuna anayetegemea family asset iuzwe ndio apate mtaji au pesa ya kwenda kutambia mitaani.

Hizi sheria za Mirathi zina dosari ukikaa na kuzichunguza kwa makini, nadhani hata Waislamu walipotaka mahakama ya kadhi huenda wana hoja ya msingi, mimi sijaonaga wahindi wakigawa mali na kuuza badala ya kuendeleza.

Mo Dewji tayari ameanza kumtambuisha mtoto wake ndio successor wake.
 
Mtu mweusi hayupo ndio wale wachuuzi tu unakuta mtu anaitwa bilionea yuko Katoro kajenga nyumba ina paa refu na Crown used... Sisi tumebakia wachuuzi TUNAKAA kusema kuna Bilionea ujinga umekua mwingi sana....Hivi Bilionea akae Katoro kweli??? yaani huyo ni sawa na Dangote kweli Aliko anaweza kwenda Katoro pale ??Ujinga na uhayawani umesababisha watu kujiridhisha na vitu vya hovyo...
 
Ukwasi pekee ambao black tanzania tumeweza kuridhi kwa uchache na kuendeleza ni ng'ombe kwa watu wa kanda ya ziwa,kaskazini,kusini pia watu huridhi mashamba pori na kwa uchache wameridhi nyumba na wengi tumeridhi majina ya ukoo
 
1.Ameir nahd & family
OILCOM
WATERCOM

2.yogesh manec
MAC GROUP

3.Atul Mittal & family
MOUNT MERU GROUP

4. karmali family
GF GROUP of companies

5.Rehamtullah habib
SATURN CORPORATION Ltd
AM PM logistics

6.rajabali family
PLASCO limited
MEGAPIPE SOLUTIONS
INVESTMENT

7.Seif A. seif
SUPER GROUP
kagera sugar
mtibwa sugar

8.Salum khamis salum
JAMBO GROUP of companies

9.Fuad Edha nahdi
AZANIA GROUP of companies

10.Badar sood
GULF BULK PETROLEUM (GBP)

11.Altif mansoor
MOIL ENERGIES
SYNERGY Tanzania Co.ltd

12.Ezzy family
AFRICAB GROUP

13.Shaffin jamal
UNION TRUST INVESTMENT (UTI)

13.zakaria family
MURZAH WILMAR EAST AFRICA

14.turky family
VIGOR GROUP of companies

na wafanya biashara hawa wote kampuni zao zina mapato yanayozidi bilioni 500 kwa mwaka

orodha hii bado ina muendelezo wa matajiri wengine wakimya
naona hapo GF GROUP , kijana wao mmoja wakuitwa Abbas mwana sana,penda sana mbio za magari
 
Hapo hamna mtanzania
Hao wote watanzania tena wa kuzaliwq,sisi ngozi ya tako tuna roho mbaya,familia nyingi tu mtu hata ndugu yake wa tumbo 1 akianza kunyanyuka kimaisha atamletea husda na uchawi ili tu asifanikiwe badala ya kushirikiana,tungekaa na tukajua mohamed interprises ilivyoanza hadi kufikia ilipo tungeamini ushirikiano wa ndugu au rafiki unavyoleta mafanikio
 
Hao wote watanzania tena wa kuzaliwq,sisi ngozi ya tako tuna roho mbaya,familia nyingi tu mtu hata ndugu yake wa tumbo 1 ananyanyuka,atamletea husda na uchawi ili tu asifanikiwe badala ya kushirikiana,tungekaa na tukajua mohamed interprises ilivyoanza hadi kufikia ilipo tungeamini ushirikiano wa ndugu au rafiki unavyoleta mafanikio
Hao ni kabila gani? Kuzaliwa sio hoja!
Hata Abood ,tunaambiwa ni Mluguru,Mtanzania
 
Back
Top Bottom