Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
MkuuWe'unamfahamu vizuri sana kumbe.
Kipindi'cho nilikuwepo Mwanhuzi, hadi anapokonywa Ubunge na Oplukwa.
Ugombe Uchukue Jimbo
MkuuWe'unamfahamu vizuri sana kumbe.
Kipindi'cho nilikuwepo Mwanhuzi, hadi anapokonywa Ubunge na Oplukwa.
Hatuna kelele nyingi...1.Ameir nahd & family
OILCOM
WATERCOM
2.Yogesh manec
MAC GROUP
3.Atul Mittal & family
MOUNT MERU GROUP
4. Karmali family
GF GROUP of companies
5.Rehamtullah habib
SATURN CORPORATION Ltd
AM PM logistics
6.Rajabali family
PLASCO limited
MEGAPIPE SOLUTIONS
INVESTMENT
7.Seif A. seif
SUPER GROUP
Kagera sugar
Mtibwa sugar
8.Salum khamis salum
JAMBO GROUP of companies
9.Fuad Edha nahdi
AZANIA GROUP of companies
10.Badar sood
GULF BULK PETROLEUM (GBP)
11.Altif mansoor
MOIL ENERGIES
SYNERGY Tanzania Co.ltd
12.Ezzy family
AFRICAB GROUP
13.Shaffin jamal
UNION TRUST INVESTMENT (UTI)
13.zakaria family
MURZAH WILMAR EAST AFRICA
14.Turky family
VIGOR GROUP of companies
Na wafanya biashara hawa wote kampuni zao zina mapato yanayozidi bilioni 500 kwa mwaka
Orodha hii bado ina muendelezo wa matajiri wengine wakimya
Watanganyika wote wako suppressedWamo watanganyika wangapi?
Duh! Kweli wewe ni mwenyeji.Namfahamu vizuri sana!.
Juhudi na na kujituma zimemfikisha hapo alipo....
Miaka ya nyuma yeye alikuwa zaidi akipiga mishe nje ya ofisi, ofisi watendaji walikuwa ni wadogo zake selemani na na mtoto wa dada yake anaitwa sudi.
Kazunguka sana minadani kuuza mbuzi,
udalali wa land cruiser
kuchimba almasi.
mkataba na olam ulimpa pesa nyingi sana
Huwa anasema hana akili ya darasani lakini ya kutafuta hela imejaa.
Swali dogo umekuja na article,tupac ni mwafrika?Sio Pac tu black America wote ni wana wa asili ya Afrika sema wale wajinga huukataa Uafrika wako kwa sababu wanaona namna ngozi nyeusi tunavyofanyiana figisu huku nyumbani ila wakati huo huo nao wakiyafanya huko USA waliko.
Hao kisheria ni Wamarekani lakini kiasili ni Waafrika sheria haiwezi kubadilisha asili tusifarijiane hii ina-apply pia kwa hawa ghabachori hapa tz
Sema huu Uzi unachekesha sana"Ukiwaondoa wahindi na waarabu ,waswahili wenye pesa ni wa kuwahesabu halafu weekend angalia nyendo zao kuchukua wake za watu na kufanya mambo nje ya uwezo wao".
Nimekujibu kwa ujumla wewe usichokielewa ni kipi?ukishakuwa na nywele kipilipili asili yako ni Africa tu hiyo haitokaa ibadilike.Swali dogo umekuja na article,tupac ni mwafrika?
Sio kweliUnaijua biashara ya utumwa vizuri? Nani aliyekuwa ananunua nani aliyekuwa ananunuliwa, waafrika mlikuwa mnauzana wenyewe kwa wenyewe
Mzanzibar unaongea sana bichwa flatWatu kama nyinyi ndo kielelezo cha ni kwanini watu weusi ni wapumbavu na masikini.
Kwa hiyo kama sio watz ni raia wa nchi gani?
Kwenye katiba ya Tz Kuna kifungu kinacho sema kigezo cha kuwa raia wa Tz ni kuwa na rangi nyeusi au ni kuwa na kabira fulani.
Kwa hiyo watu weusi ,na wazungu walioko American sio waamerica Kwa sababu Watu wa asili ni wahindi wekundu?
Sio chuki, walihusika au hawakuhusika na biashara ya utumwa?gsm,lake oil na gabachori wengine wana uhusiano mzuri kifisadi na msoga family unadhani bahati mbaya?bakhresa group na mwinyi family wana uhusiano mzuri tu,unadhani bahati mbaya?hawa wetu hawajawahi kujiita watanganyika hata siku moja na hawaamini ivyo, na watakushangaa sana wewe unayewateteaUna fikra za kimasikini sana,kwa akili hiyo,utajikuta kila siku upo pale pale ukilalamika tu,
Umri haumsubiri mtu,malalamiko yako sio justification ya failure zako,
Kwahiyo baada ya miaka yote hiyo kupita hujachukua hatua zozote za kuimprove maisha yako? unafikiri haya malalamiko na hizi chuki zitakuondoa hapo ulipo?
US alitawaliwa na UK ila hakukaa kulalamika mpaka leo kua alitawaliwa hivyo hawezi kuendelea,China ilitawaliwa na Japan,China hawakukaa kuulalamikia ukoloni mpaka leo,
Ondoa hizo mindset kwenye akili yako and Get a Life.
Ndiyo Tupac ni Mwafrika.Swali dogo umekuja na article,tupac ni mwafrika?
Huwezi liona ila huyo mzee nuksi sana kwenye mafekeche ya upigajiMbona sijaona jina la Jakaya Kikwete
Akili yako imekutuma kua kuna watu nawatetea hapa?Sio chuki, walihusika au hawakuhusika na biashara ya utumwa?gsm,lake oil na gabachori wengine wana uhusiano mzuri kifisadi na msoga family unadhani bahati mbaya?bakhresa group na mwinyi family wana uhusiano mzuri tu,unadhani bahati mbaya?hawa wetu hawajawahi kujiita watanganyika hata siku moja na hawaamini ivyo, na watakushangaa sana wewe unayewatetea
Nilisoma na abdallah msabatoTanzania haujawahi kukuta majina ya kiarabu yanayotumiwa na wasio Waislamu? Basi bado haujatembea.
Tembea uone haswa kanda ya ziwa Juma na Abdallah ndio majina yao pendwa na siyo waislamu tena kuna ambao wana majina ya kike kabisa.
nadhani ujumbe umeupata sheikh hao watu sio wema kabisa kwa mstakabari wa tanganyika na ndio maana wengi wao ndio wanaongoza kutakatisha fedha na kuzipeleka nje kwa njia haramAkili yako imekutuma kua kuna watu nawatetea hapa?
Fuata ushauri wangu,usipobadili hiyo mindset yako,utajikuta miaka na miaka upo pale pale tu,halafu utasema umerogwa kumbe umejifunga kwenye kifungo cha fikra,
Wake up and live.
Upo tayari kwenda kutoa ushahidi huu mahakamani?nadhani ujumbe umeupata sheikh hao watu sio wema kabisa kwa mstakabari wa tanganyika na ndio maana wengi wao ndio wanaongoza kutakatisha fedha na kuzipeleka nje kwa njia haram
Tatizo letu lipo kwenye kurithishana mali. Kuna jamaa jirani yetu alikuwa mfanyabiashara,kapamba baadaye akaanzisha biashara ya mabasi hadi yakafika manne. Alipofariki watoto wake nane wakagawana mali na kampuni ya mabasi ikawa imekufa.Wahindu, Kumbaru, Shia na waarabu.
Familia zao zilifika Afrika wakiwa marofa lakini uchapakazi wao na nidhamu ya pesa vimewafanya wamiliki ukwasi wa kutupa.
Watu weusi tumeweka rehani vipato vyetu ili kufurahisha mikuyenge.
Tumebaki na chuki dhidi ya Walionacho.
African American.Ndiyo Tupac ni Mwafrika.