Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

Achana nasis wew, bila sie, usingepata jeul ya kula ugali ndiz kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni maeneo mawili tofauti ya kiutawala,nyie mko nchi gani mnashangaa huu mgawanyo wa kiutawala?
Yawezekana Arusha CC na Arusha DC yakawa maeneo mawili ya kiutawala...

Lakini ukiangalia kwa kina ni eneo moja kiasi kwamba unashindwa kuchanganua lipi ni pato la Halmashauri ya Wilaya na lipi la Jiji..

Kwanini isiwe moja kuondoa utata?
 
Yawezekana Arusha CC na Arusha DC yakawa maeneo mawili ya kiutawala...

Lakini ukiangalia kwa kina ni eneo moja kiasi kwamba unashindwa kuchanganua lipi ni pato la Halmashauri ya Wilaya na lipi la Jiji..

Kwanini isiwe moja kuondoa utata?
Wenaoongoza hizo Halmashauri wanajua mipaka na hivyo vyanzo vilivyopo kwenye maeneo yao wanavijua japo kuna muingiliano
 
Kwahiyo wilaya yangu pendwa ya musoma mjini aipo😂 hakika kumbe nilikuwa sahihi kuikimbia hiyo wilaya kama mpaka tumezidiwa na wilaya ya mwenda zake bac hatuna maana yoyote
 
Na kuna Arusha CC na Arusha DC... 8 & 45
Yaani Arusha CC (Halmashauri ya Jiji la Arusha) ni jiji la Arusha na Arusha DC (Halmashauri ya Wilaya ya Arusha) ni kama Arusha vijijini ila wao walikataa neno vijiji ndipo ikabaki kuwa Arusha DC.
 
Manyara ni moja ya miko inayoongoza kwa kilimo.Usiangalie nje nje mkuu! Hanang kuna wakulima ma wafugaji wengi mno!
nilipata kuishi hanang' kuna kipindi, maisha ya wale watu yapo tofauti,mzee amevuna magunia ya kutosha ya mahindi, na maharage, ana ngo'mbe wa maziwa lakini maisha yake nyumbani ni yale yale, utamkuta mtoto peku au kavaa tishet tuu, nadhani elimu na exposure ya maisha hawana, ni mfumo wao wa maisha, wale watu si masikini,
.
.
.
ni sawa na kusema masai ana ng'ombe elfu tatu, umkute anaishi kwenye boma wanae wanatembea peku na shuka moja la pembeni upepo ukija yupo uchi, nzi wamejaa kwenye uso usio na maji, useme ni maskini,
.
.
japo nikiri hizi shule za kata watu wanaozilaumu zinafanya kaz kwakweli, maisha yanabadilika kwa kasi si kama enzi zile, wanafunzi wanajifunza walau style mpya ya maisha!!
 
Back
Top Bottom