Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

Haijaanza kujengwa Serikali inamobilise funds,watafanya yafuatayo,

1.Watajenga njia 4 yaani dual carriage way kuanzia Inyala hadi Songwe.

2.Watajenga Mbeya Bypass kuanzia Uyole hadi Mbalizi,

3.Watajenga Iwambi Bypass ikatokee karibu na airport


Kwa hiyo kuna double road au ring road inatengenezwa Mbeya.
Au ndiyo hivyo vi service road vinavyoleta vumbi.
 
Kahama ilichokufanya huko nyuma..itakua ni zaidi ya psychological torture..pole sana ila tunaendelea kutengeneza pesa...chuki zako na kahama na kanda ya ziwa kwa ujumla ni kama kelele za chura..wasaka mali wote mejichimbia kanda ya ziwa where wealth is being generated.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wasaka mali za ushirikina labda ila kama na malighafi za kuzalisha pesa wako Njombe na Kanda yote ya Kusini kiujumla.

This year Kahama 7.89b Vs Njombe 7.5b ,last year Kahama 7.12b Vs Njombe 5.6b

Baada ya kusema hayo ni kwamba Njombe TC tunadaiwa mil.300 tuu kufunga gap na Kahama kutoka gap ya mabilioni 😃😃.

Sasa kwa Takwimu hizo unazani wapi kuna wasaka pesa?👇👇 Njombe















 
Wilaya za mkoa wa Lindi na Pwani bado zina fursa nyingi Sana ambazo ni untapped, utashangaa Sana by 2025.

Mkoa wa Tabora zaidi ya Kaliua kuna nini huko kwingine?

Hata Chalinze, kama mji hauna biashara youote, tozo za machimbo ya kokoto nyeusi(granite) za Msolwa, Mdaula na Vigwaza vimeipaisha sana Chalinze
 
Hata Chalinze, kama mji hauna biashara youote, tozo za machimbo ya kokoto nyeusi(granite) za Msolwa, Mdaula na Vigwaza vimeipaisha sana Chalinze
Kila sehemu Mungu kawapa chakula Chao,miji mingi ya Kanda ya Ziwa pia inategemea tozo na service charge za Madini.

Bora hata Njombe na Mafinga kuna mchanganyiko wa shughuli kiasi licha ya kutegemea zaidi ushuru wa Mazao ya misitu .

Wilaya za Mkoa wa Iringa zimefeli Sana mwaka huu kulinganisha na mwaka Jana shida nini?

Kwa sera ya serikali kwamba Halmashauri zenye mapato zaidi ya 5b zitumie 60% ya mapato kwenye maendeleo bila shaka sasa tutaanza kuona impacts ya hizo pesa kwenye jamii badala ya kukusanya nyingi afu wanaenda kutumia wengine.
 
Hakuna Kitu huko Kanda ya Ziwa mkuu ,mnajilisha upepo tuu👇

 
To live and die in DSM, period.
 
Hata Chalinze, kama mji hauna biashara youote, tozo za machimbo ya kokoto nyeusi(granite) za Msolwa, Mdaula na Vigwaza vimeipaisha sana Chalinze
Kwamba chalinze hakuna biashara yoyote, fafanua
 
Hakuna Kitu huko Kanda ya Ziwa mkuu ,mnajilisha upepo tuu👇

View attachment 2213977

Punguza chuki na hoja zako mfu,

Kanda ya Ziwa ina mikoa ya Mara, Mwanza, Kagera, Simiyu, Geita na Shinyanga

Mwanza ina 33bl, Geita ina 20bl na Shinyanga ina 21 bl,,,, inamaana kama hii mikoa ( Shinyanga na Geita) isingekuwa imemegwa kutoka Mwanza basi MWANZA ingekuwa imekusanya jumla ya tsh 74bl.

Na kama tukiongezea mikoa mingne kanda ya Ziwa ya Kagera 21 bl, Mara 17bl na Simiyu 10bl inafanya kanda ya Ziwa kwa ujumla iwe ina makusanyo ya tsh 122bl

Hitimisho ni kwamba ukitoa kanda ya Pwani ( Dar, pwani) basi kanda ya Ziwa ndio inayofuatia kwa makusanyo makubwa zaidi nchini
 
Mkuu kati ya mkuranga na chalinze wilaya gan nzuri kwa makazi ya kuishi
kaa chalinze wewe!! ukiingia bongo unaanzia kuonsa mahali pasafi mbezi au kimala...lkn mkuranga unaanza kuona uchafuuuuuu!
 
Acha kufananisha KAHAMA na upuuzi
 

Bukoba mbona haionekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…