Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Kwa hiyo kuna double road au ring road inatengenezwa Mbeya.Hiyo ilikuwa enzi za Mwendazake
Au ndiyo hivyo vi service road vinavyoleta vumbi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kuna double road au ring road inatengenezwa Mbeya.Hiyo ilikuwa enzi za Mwendazake
Kwa hiyo kuna double road au ring road inatengenezwa Mbeya.
Au ndiyo hivyo vi service road vinavyoleta vumbi.
Kahama ilichokufanya huko nyuma..itakua ni zaidi ya psychological torture..pole sana ila tunaendelea kutengeneza pesa...chuki zako na kahama na kanda ya ziwa kwa ujumla ni kama kelele za chura..wasaka mali wote mejichimbia kanda ya ziwa where wealth is being generated.Kuwa tuu na movement kubwa ya watu sio ndio kwamba kuna hela.Baada ya Dar bandari yenye shughuli nyingi ni Tanga ,pia baada ya Dar,Pwani mkoa wenye viwanda vingi ni Tanga.
Je wewe unaamini siasa uchwara kwamba kijiji cha Wachuuzi cha Kahama kinaweza kuizidi Tanga kwa lipi?
Wasaka mali za ushirikina labda ila kama na malighafi za kuzalisha pesa wako Njombe na Kanda yote ya Kusini kiujumla.Kahama ilichokufanya huko nyuma..itakua ni zaidi ya psychological torture..pole sana ila tunaendelea kutengeneza pesa...chuki zako na kahama na kanda ya ziwa kwa ujumla ni kama kelele za chura..wasaka mali wote mejichimbia kanda ya ziwa where wealth is being generated.
#MaendeleoHayanaChama
Wilaya za mkoa wa Lindi na Pwani bado zina fursa nyingi Sana ambazo ni untapped, utashangaa Sana by 2025.
Mkoa wa Tabora zaidi ya Kaliua kuna nini huko kwingine?
Kila sehemu Mungu kawapa chakula Chao,miji mingi ya Kanda ya Ziwa pia inategemea tozo na service charge za Madini.Hata Chalinze, kama mji hauna biashara youote, tozo za machimbo ya kokoto nyeusi(granite) za Msolwa, Mdaula na Vigwaza vimeipaisha sana Chalinze
Hakuna Kitu huko Kanda ya Ziwa mkuu ,mnajilisha upepo tuu👇Kahama ilichokufanya huko nyuma..itakua ni zaidi ya psychological torture..pole sana ila tunaendelea kutengeneza pesa...chuki zako na kahama na kanda ya ziwa kwa ujumla ni kama kelele za chura..wasaka mali wote mejichimbia kanda ya ziwa where wealth is being generated.
#MaendeleoHayanaChama
Halmashauri ya Kilimanjaro ipo mkoa gani?
Hata mm nimeshangaaChalinze na Mkuranga kuna kitu gani?
Viwanda vya wachina VimejaaHata mm nimeshangaa
Mkuu kati ya mkuranga na chalinze wilaya gan nzuri kwa makazi ya kuishiViwanda vya wachina Vimejaa
To live and die in DSM, period.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali.
Mpangilio umewekwa kwa kuangalia wingi wa mapato halisi kuanzia kiasi cha Tsh. bilioni 3.5 na kuendelea yaliyokusanywa na Halmashauri mwaka wa fedha 2020/21 kutoka vyanzo vya shughuli za kiuchumi za wananchi kama biashara,kilimo,ufugaji,viwanda nk. Figures in Tsh.bilion
1.Dar es Salaam CC(Ilala) = 48.17
2.Dodoma CC=36.32
3.Kinondoni MC=33.11
4.Temeke MC=28.05
5.Mbeya CC=15.27
6.Ubungo MC=14.22
7.Mwanza CC=12.70
8.Arusha CC=12.36
9.Tanga CC=11.07
10.Chalinze DC=9.64
11.Geita TC=9.38
12.Kahama MC=7.98
13.Ilemela MC=7.76
14.Mkuranga DC=7.65
15.Njombe TC=7.50
16 . Morogoro MC=7.18
17.Kigamboni MC=6.90
18.Mufindi DC=6.52
19.Tunduma TC=6.33
20.Tarime DC=5.76
21.Rungwe DC=5.53
22.Moshi MC=5.21
23.Rufiji DC=5.21
24.Mbarali DC=5.13
25.Geita DC=4.92
26.Muleba DC=4.84
27.Kibaha TC=4.54
28.Mafinga TC=4.36
29.Nachingwea DC=4.30
30.Kilwa DC=4.22
31.Hanang' DC=4.16
32.Kilosa DC=4.16
33.Tandahimba DC=4.10
34.Mbeya DC=4.06
35.Ruangwa DC=4.03
36.Mbozi DC=3.95
37.Msalala DC=3.92
38.Mbinga DC=3.76
39.Kyela DC=3.75
40.Misenyi DC=3.68
41.Kaliua DC=3.65
42.Morogoro DC=3.62
43.Masasi DC=3.62
44.Karatu DC=3.57
45.Arusha DC=3.54
46.Njombe DC=3.54
47.Tunduru DC=3.51
48.Meru DC=3.50
49.Mtwara MC=3.46
50.Chato DC=3.46
My Take.Hizi Takwimu zinaonesha Uchumi unakua,mwaka wa fedha uliopita kulikuwa na Halmashauri 37 tuu lakini sasa ziko 50 zilizokidhi vigezo.
Takwimu hizi ni kwa Mujibu wa website ya Tamisemi.[emoji116]
Kwamba chalinze hakuna biashara yoyote, fafanuaHata Chalinze, kama mji hauna biashara youote, tozo za machimbo ya kokoto nyeusi(granite) za Msolwa, Mdaula na Vigwaza vimeipaisha sana Chalinze
Inategemea mishe zako,popote tuu ila zaidi ChalinzeMkuu kati ya mkuranga na chalinze wilaya gan nzuri kwa makazi ya kuishi
Inategemea mishe zako,popote tuu ila zaidi ChalinzeMkuu kati ya mkuranga na chalinze wilaya gan nzuri kwa makazi ya kuishi
kaa chalinze wewe!! ukiingia bongo unaanzia kuonsa mahali pasafi mbezi au kimala...lkn mkuranga unaanza kuona uchafuuuuuu!Mkuu kati ya mkuranga na chalinze wilaya gan nzuri kwa makazi ya kuishi
Tulia wewe .....
Acha kufananisha KAHAMA na upuuziWasaka mali za ushirikina labda ila kama na malighafi za kuzalisha pesa wako Njombe na Kanda yote ya Kusini kiujumla.
This year Kahama 7.89b Vs Njombe 7.5b ,last year Kahama 7.12b Vs Njombe 5.6b
Baada ya kusema hayo ni kwamba Njombe TC tunadaiwa mil.300 tuu kufunga gap na Kahama kutoka gap ya mabilioni [emoji2][emoji2].
Sasa kwa Takwimu hizo unazani wapi kuna wasaka pesa?[emoji116][emoji116] Njombe
View attachment 1887443
View attachment 1887444
View attachment 1887445
View attachment 1887447
View attachment 1887448
View attachment 1887449
View attachment 1887450
View attachment 1887451
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali.
Mpangilio umewekwa kwa kuangalia wingi wa mapato halisi kuanzia kiasi cha Tsh. bilioni 3.5 na kuendelea yaliyokusanywa na Halmashauri mwaka wa fedha 2020/21 kutoka vyanzo vya shughuli za kiuchumi za wananchi kama biashara,kilimo,ufugaji,viwanda nk. Figures in Tsh.bilion
1.Dar es Salaam CC(Ilala) = 48.17
2.Dodoma CC=36.32
3.Kinondoni MC=33.11
4.Temeke MC=28.05
5.Mbeya CC=15.27
6.Ubungo MC=14.22
7.Mwanza CC=12.70
8.Arusha CC=12.36
9.Tanga CC=11.07
10.Chalinze DC=9.64
11.Geita TC=9.38
12.Kahama MC=7.98
13.Ilemela MC=7.76
14.Mkuranga DC=7.65
15.Njombe TC=7.50
16 . Morogoro MC=7.18
17.Kigamboni MC=6.90
18.Mufindi DC=6.52
19.Tunduma TC=6.33
20.Tarime DC=5.76
21.Rungwe DC=5.53
22.Moshi MC=5.21
23.Rufiji DC=5.21
24.Mbarali DC=5.13
25.Geita DC=4.92
26.Muleba DC=4.84
27.Kibaha TC=4.54
28.Mafinga TC=4.36
29.Nachingwea DC=4.30
30.Kilwa DC=4.22
31.Hanang' DC=4.16
32.Kilosa DC=4.16
33.Tandahimba DC=4.10
34.Mbeya DC=4.06
35.Ruangwa DC=4.03
36.Mbozi DC=3.95
37.Msalala DC=3.92
38.Mbinga DC=3.76
39.Kyela DC=3.75
40.Misenyi DC=3.68
41.Kaliua DC=3.65
42.Morogoro DC=3.62
43.Masasi DC=3.62
44.Karatu DC=3.57
45.Arusha DC=3.54
46.Njombe DC=3.54
47.Tunduru DC=3.51
48.Meru DC=3.50
49.Mtwara MC=3.46
50.Chato DC=3.46
My Take.Hizi Takwimu zinaonesha Uchumi unakua,mwaka wa fedha uliopita kulikuwa na Halmashauri 37 tuu lakini sasa ziko 50 zilizokidhi vigezo.
Takwimu hizi ni kwa Mujibu wa website ya Tamisemi.[emoji116]