Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Yes, Arusha ni safi kuliko Dar na ina hali ya hewa nzuri, huwezi kukuta uholela holela...
Unadhani nyumba za udongo za Mbeya ni sawa na hizo za kwenu huko? Unajua Kwa nini Mbeya Kuna Madini ya Pozollana ya kuzalishia saruji?Mbeya pale soweto ambapo ni mjini kabisa unakutana na nyumba za udongo.
Sheria imeweka vigezo; population ni moja wapo.Dah! Population haimake sense
Lindi unapasika au unapajua?Sumbawanga ilipaswa kuwa ya kwanza hapo
Mbona Iringa town pako fresh tu. Unataka makao makuu yawe Mafinga Kwa sababu zipi?Naomba serikali ihamishie makao makuu ya mkoa wa iringa iwe mafinga tu
Lakini sasa naiona ikiinuka kwa kasi sanaMkuu nakubaliana nawe, zamani Tanga ilikuwa mji wenye viwanda vingi, vikiwemo:- vya nguo, plastiki, mkonge, sement, maziwa n,k; Tanga ndio mji uliopiwa na kupimika kwa ajili ya makazi ya watu na viwanda,ila nadhani kuna mdudu mtu ame idhofisha TANGA
Tanga ni jiji hasa, hata wajerumani walipotawala Tanganyika makao makuu ya inchi yalikuwa Tanga bwasheeMkuu na Tanga pia
SiijuiSwax unaijua kweli wewe?
Umewahi kufika sumbawanga au umehadithiwa tu?Mkuu lkn Sumbawanga bado sana, tuwe wakwel
Niulize chochote kuhusu Sumbawanga nikujibu muda huu.Umewahi kufika sumbawanga au umehadithiwa tu?