Orodha ya Mistari iliyo nichanganya kwenye Biblia takatifu kuhusu Ubatizo

Iko hivi, vitabu vyote watu wanavyoviita vitakatifu vimeandikwa katika codes, na hizi codes sio rahisi kuzi.break kama ulivyosoma, mfano mdogo ni sheria. Huwezi kuijua sheria kama si mwanasheria. Vinginevyo utatafsiri tofauti vifungu vya sheria
Ndomana ameleta hapa sasa wenye kuzijua izo code wafafanue.
 
Sawa ongozwa na roho utoe ufafanuzi kwani shida ipo wapi?
 
Mmh mbona maji yalitumika kama maji pure ( H2O)na hayakutumika kama lugha ya picha kwa nini moto tu utumike kama lugha ya picha?
 
Ubatizo maana yake "kuzamisha" kama ulivyosema. Ubatizo upo wa aina mbili.
1. Ubatizo wa maji tena mengi- Hii ni ishara ya nje kuwa umeamini, kutubu na kuondolewa dhambi zako mara baada ya kutubu. Yesu alibatizwa hivi na Yohana japo hakuwa na dhambi ili ilikuwa ni "dhihirisho kwetu sisi kutimiza yote" na ndio maana baada ya kubatizwa tu "Roho alikuja/alijifunua kama njiwa" pia na Yesu mwenyewe alibatiza hivi pamoja na wanafunzi wake (Yohana 3:22)
Haikuwa desturi ya Wayahudi ila Yohana aliyetangulia kutengeneza njia ya Bwana alibatiza hivi kama "Ishara ya kutubu na kugeuka" na Maji yalikuwa yanawakilisha ubatizo wa Roho Mtakatifu ajaye(Yohana 7:38, Ezekiel 47:1,12, Zekaria 13:1, 14:8, Yoel 2:28) yeye atakayetusaidia na kutupa badiliko la kweli.

2. Ubatizo wa Pili ni wa Roho Mtakatifu na Moto. Hiko ni kimoja mkuu kwani Ubatizo wa Mwanzo wa Roho Mtakatifu kwa wanafunzi wale 150, Roho alishuka kama "Upepo" ikionesha "Mamlaka, uhai na nguvu" pia kulikuwa na "ndimi za Moto" zilizokuwa zinamaanisha "Ndimi ni Karama" "walinena kwa Lugha" na "Moto" ikimaanisha "Roho Mtakatifu anayechoma na kutakasa kila aina ya uovu" kama ambavyo moto uteketezavyo kila kitu.(Matendo 2:1-4)

Naona pia unapotosha na kulipindisha neno la Mungu ustaadhi kama mungu wenu alivyompotosha Hawa pale Bustanini. Paulo na mitume wote wa Mwanzo hakuwa na ubatizo wao na hakuna sehemu inaonesha walikuwa nao kwani wao ni watenda kazi shambani kwa Yesu. Wao walitimiza agizo la Yesu kuwabatiza wote kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ambalo ndilo "Jina la Yesu" kwani ndio utimilifu wa utatu wa kiungu (Mathayo 28:19, Matendo 8:38-39, 19:3-6)

Karibu kwa maswali na hoja zaidi kwa lengo la kujifunza na wala sio kushindana.
 
Upo sahihi kabisa bro. Jamaa anachanganya na kupotosha makusudi. Yeye anataka watu wapitishwe kwenye moto ndio anavyotaka. Amekaa kimwili zaidi kama anavyoambiwa atapewa wanawake bikira 72 wenye macho ya gololi na atakuwa na nguvu ya kuwalala wanawake 1000 kwa siku kwenye Pepo yao iliyo chini ya uvungu wa Mwanamke.

Matendo 2:2-6 inaeleza vizuri tu "kubwa ulitokea uvumi kama uvumi wa upepo na zikatokea ndimi kama ndimi za moto zilizogawanyika pande zote". Katika tukio hilo kuna vitu vitatu vilijitokeza.
1. Upepo- Huo ulimaanisha Nguvu, Mamlaka na Uhai. Roho alijifunua hivyo.
2. Ndimi- Hapa inamaanisha Karama za Roho Mtakatifu ambazo zinapatikana katika 1Korintho 12:1 -11
3. Moto- Uliokuwa unamaanisha "kuteketeza au kuangamiza dhambi zote" Roho alijifunua hivyo.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘βœ…
 
Amina, ubarikiwe Sana kwa ufafanuzi wako.
 
Aliekuambia kua kila mtu anazaliwa muslim ni nani,au andiko gan hilo lililokudanganya?
 
Hii Ni Aya ya majini Nini?
Hapana

Binafsi sizijui Aya za majini, labda wewe uliyeniuliza huwenda unazijuazaidi kuniliko.

Hayo ni maneno ya mtume, laiti ungejua tafsiri yake huwenda ungegonga like.
 
Kitu cha kwanza hakuna binadamu anayezaliwa akiwa Muislamu isipokuwa amezaliwa na wazazi Waislamu. Uislamu umeanza miaka 600 baada ya Yesu na mtu wa kwanza kusilimu anajulikana. Vitabu vinavyoelezea hayo vipo, ukiachana na hayo mnayoaminishana huko misikitini.

Cha tatu, ndugu watoa majibu mtu anapotaka kujua kitu muelewesheni kuliko kumuambia kuwa apambane na upande wake aachane na kusikomuhusu, unajuaje labda majibu yako yatamfanya ampokee Yesu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…